naweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. hijack

    NAWEZA KUANGALIA MICHANGO YANGU AU SALIO LA NSSF

    Wadau naombeni msaada Hivi naweza kuangalia michango yangu ya nssf kupitia simu
  2. Moviez Tz

    Nikitengeneza kozi inayohusiana na nini ? Naweza uza bongo

    Nilikua na kaplatform kangu ka kozi, hivyo nilikua nauliza nifundishe kuhusu nini angalau naweza Pata wateja kwa hili soko la bongo na pia budget yabei ikaaje ? Naombeni maoni yenu
  3. K

    Nashindwa kabisa kurudia tendo kwa mwanamke mmoja; lakini wakiwa tofauti naweza kwenda hadi mara nne. Nina tatizo?!!!

    Habarini wakuu! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nina changamoto hiyo; siwezi kamwe kurudia tendo nikiwa na mwanamke mmoja......yaani nakuwa mtu wa bao moja tu chali hata nifanye au anifanyie nini mwanamke. Yupo aliyenipenda na kutumia usiku mzima kunijaribu kwa kila hali ikiwemo kuloweka...
  4. Optimists

    Kuna njia nyingine naweza pata mkopo wa hazina bila kupita halmashauri?

    Hii ni mikopo inayotumwa halmashauri, nipo kigoma ni mtumishi mwaka wa nne nafatilia sipati, nikiingia kwenye hazina portal wanaonyesha naweza pata million 20, nimejitahidi kweli kweli kuupata lakini naona mambo yamekua magumu kweli. Vipi Kuna namna nyingine naweza pata huu mkopo Ambao hauna...
  5. BwanaSamaki012

    Wapi naweza kupata huduma ya Tractor kati ya maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe

    Wakuu habari za wakati huu? Nahitaji huduma ya tractor au grader kwenye maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe (Tanga) Kama kuna mdau yoyote anaweza kuniconnect na mtu au kampuni yenye tractor au grader naomba anisaidie tafaadhali, itakuwa vizuri kama nipata wasaliano yao ili tuwasiliane moja...
  6. Brightly

    Je? Nikifaulu oral interview utumishi naweza kubaki database?

    Habari wanajf, kuna suala ambalo linanitatiza naomba wenye uelewa wanisaidie!! Iko Hivi Mimi nina Diploma ya Civil engineering (Civil technician) nikafanya Oral interview ya ( VOCATIONAL TEACHER II PLUMBING AND PIPE FITTINGS) ambayo ilihitaji mtu mwenye diploma ya civil nikafaulu ila kutokana...
  7. Mwanaumke wa mithali

    Kufungua Bucha la samaki Dar kutoka Ziwa Victoria

    Kwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni. Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa inatosha ?? Naomba mnielekeze
  8. G

    Dully Sykes alinifanya nianze kujichua nikiwa na umri mdogo bila onyo la kusikiliza mashairi ya kiutu uzima, naweza kumshtaki?

    Ni mwaka 2002 nikiwa na miaka 12 nilikuwa nasikiliza nyimbo za Dully Sykes, Katika moja wa wimbo wake kuna unaoitwa "Nyambizi" kuna sehemu anaimba Nyambizi, nionee huruma mi sio kuchu, nipe japo kiduchu Mi nshachoka kupiga puchu! Kama mnavyojua zamani kaseti unaweza kuirudia hata mwaka mzima...
  9. B

    Msaada: Simu gani ina rekodi sauti vizuri ambayo naweza kuitumia ku record content you tube?

    Nahitaji simu ya kawaida kabisa bajeti yangu laki na 30. Kikubwa iwe ina uwezo wa kutoa audio inayo sikika vizuri. Iwe Type C ambayo inaweza kutumia vile vi microphone vya sh elfu 25. Nakumbuka mwaka 2017 nilinunua kisimu cha promotion pale Mlimani City cha VODAFONE. Nilikinunua sh elfu...
  10. Lomaa lolusa

    Naweza kupata shamba la kununua morogoro kwa installment!?

    Mm ninakipato Cha kawaida nataka nipate shamba ambalo ntalifyeka lakini nitalipa kwa installment
  11. Mwanaumke wa mithali

    Naomba msaada wa ushauri jinsi ya kupata laini za uwakala

    Nahitaji laini za wakala Tigo. (TigoPesa) Halotel (halopesa) Vodacom (m pesa) Airtel (Airtel money) Kwa atakayeweza kunisaidia Nipo Dar es salaam
  12. Bakulutu

    Wapi maeneo ya Pwani naweza pata ng’ombe wa maziwa wazuri?

    Pwani, Bagamoyo na Morogoro wapi naweza ng’ombe wa maziwa wakuuza? Wengi naona ni janda za juu na kaskazini. Nipe location au contacts kwa anaejua please!
  13. K

    Ushauri juu ya huu ugonjwa na wapi naweza kupata huduma nzuri ya matibabu

    Habari wana jamii, Ninasumbuliwa na tatizo la miguu kukaza kuanzia unyayoni mpaka kiunoni na hata mgongoni kiasi kwamba nakosa balance, siwezi kusimama au kutembea muda mrefu mpaka nitumie nguvu kubwa mno pia kukimbia siwezi nikikimbia kidogo tu miguu hukaza na kubana. Naombeni ushauri tatizo...
  14. hermanthegreat

    Kama ilivyo Alibaba China ni app gani naweza kuitumia kununua vitu Dubai

    Wakuu kama Mada tajwa hapo juu inavojieleza, wakati napitia Facebook Marketplace nimegundua kuna bidhaa zina bei ya chini sana Dubai. Mfano: Hiyo tecno 106, ina 12k China alibaba, ina 25k up to 35k Bongo lakini kilichonivutia zaidi ni ina AUED 1 , sawa na Tsh.700 yaani 0.7k Dubai. Facebook...
  15. Zinnob5

    Naweza kupata chumba Cha 20k Arusha

    Wadau wa Arusha mambo niaj vip nawez kupata Getto la 20k arusha. Kama lipo ni maeneo gani na vipi kuhusu swal la ulinzi
  16. D

    Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

    Nimepata conditional admission vyuo mbalimbali. Courses ni masters ya leadership na education leadership. Uingereza nimepata vyuo vinne. Sweden chuo 1 Finland 1 Poland 1 Tatizo ni uwezo wa kujisomesha. Naomba mwenye kufahamu taasisi ninayoweza kuomba full funded scholarship/sponsorship...
  17. runyaga

    Mwanangu amepata kigugumizi cha ghafla, msaada kama naweza kupata tiba

    Mtoto wangu ni mdogo ana miaka miwili na nusu. Ndiyo alikuwa ameanza kuongea ila alikuwa anaongea kwa kutoa neno vizuri kabisa, ila sasa kama wiki hivi naona amekuwa na kigugumizi kwenye kuongea kwake. Sasa nilikuwa naulizia kama kuna msaada anaweza kupata.
  18. James_patrick_

    Msaada: Kuna namna naweza kupata kopi ya cheti cha kuzaliwa online?

    Habari, nipo Wizara ya Mambo ya Ndani hapa kuna jambo nafatilia wameniomba cheti cha kuzaliwa. Sina kwa hapa ila wameniomba hata copy tu au picha yake. Je, kwa mwenye kujua kuna tovuti naweza kuingia nikapata au ndio nijiondokee tu kinyonge kabisa?
  19. E

    Wapi naweza kupata uzoefu wa kazi ama internship nikiwa fresh gradute wa bsc Environmental sciences and management

    Habari za muda huu wakuu. Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo kikuu cha SUA. Ninachukua Bachelor of Science in Environmental Sciences and Management. Ninatarajia kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu mwishoni mwa mwezi wa 7 mwaka huu. Hivyo basi nilikuwa naomba wenye uzoefu na course yangu...
Back
Top Bottom