Yah ni kweli..hivi kuweka zile tiles ukutani ni sharti la lazima?
Ni sharti la lazima Kwa ajili ya kumaintan usafi,bwana afya alikukuta huna mtasumbuana,ni sawa na kuwa na mashine ni lazima pia hawataki vile vigogo na panga japo Kuna wagumu bado wanaforce
 
Ni sharti la lazima Kwa ajili ya kumaintan usafi,bwana afya alikukuta huna mtasumbuana,ni sawa na kuwa na mashine ni lazima pia hawataki vile vigogo na panga japo Kuna wagumu bado wanaforce
Vip kwa uzoefu wako butcher ya nyama na samaki, ipi yenye afadhali kwenye changamoto!
 
Vip kwa uzoefu wako butcher ya nyama na samaki, ipi yenye afadhali kwenye changamoto!
Majority wanakula nyama,kwa maisha ya Sasa samaki inaangaliwa kama chakula Cha anasa....

Nyama inapatikana hapa hapa so unaipata fresh na unahakika ya kuimaliza, tofauti na samaki ,inatoka mbali na utokaji wake ni slow kidogo .

UTUNZAJI,ukipata Mtu anayekuletea kutoka Mwanza asipotunza vizuri kwenye 0-2degree kabla ya kusafirisha unaweza pokea mzigo hauna ubora,nadhani unajua ukipataa mzigo mbovu,itabidi uuze Kwa bei ya hasara.,hapa wateja ni wafanyabiashara wa kukaanga samaki mara nyingi Huwa wanafurahia hii sana...kuwauzia wateja wa kula nyumbani Huwa changamoto sana....

KUTAPELIWA,unaweza kuwa na Mtu anakuletea samaki kutoka Mwanza unamtumia pesa ya kutosha karibu mwaka mzima,ila siku isiyo na jina anaweza potea bila taarifa hapo umetuma 6M zako,usimpate tena

Kifupi,samaki inacomplication ila ikikubali inakutoa...
 
Una freezer?
Kodi hapohapo?
Una mizani?
Una mashine ya kukatia?
Una container/madishi ?

Kilo ya sangara Hadi inakufikia bei ya jumla ni 8400.,ukisema uchukulie Kwa hapahapa Dar 8700, Haya fanya mchanganuo
Tanzania ina mambo ya ajabu kweli; yaani unalipa kodi kabla hujatengeneza hela!! Sijui hela za kulipa kodi hiyo hutegenmewa zitoke wapi iwapo hujaanza biashara
 
Kwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni.

Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia

Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa inatosha ??

Naomba mnielekeze
cha kwanza unatakiwa kujua samaki kutoka mwanza to dar huwa wanakuja na ndege kwaio wewe unatakiwa kuandaa connection yako inaanzia wapi
 
Tanzania ina mambo ya ajabu kweli; yaani unalipa kodi kabla hujatengeneza hela!! Sijui hela za kulipa kodi hiyo hutegenmewa zitoke wapi iwapo hujaanza biashara
Kwa hiyo nje ya Tanzania wenzetu wanaanza biashara ndio baadae wanalipa Kodi?🤔🤔
 
Kwa hiyo nje ya Tanzania wenzetu wanaanza biashara ndio baadae wanalipa Kodi?🤔🤔
Ndiyo; kwani kodi hutokana na mapato. Ukianzisha biashara lakini kwenye quarter ya kwanza ukapata hasara, hutalipa kodi katika quarter hiyo na utakata hiyo hasara kutoka kwenye faida ya quarter ijayo kabla hujalipa kodi
 
Ooh basi hiyo Iko poa sana
 
Back
Top Bottom