JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

A viral image circulating on social media claims that Nominated MP Sabina Chege said she is ready to give out clothes even her “underwear” to mobilize residents of Murang'a County to welcome William Ruto during his upcoming visit. What is True President Ruto is indeed expected to tour Murang’a County on Friday, April 24, 2026, as part of an ongoing development tour. What is Misleading There is no verified record from credible media houses confirming that Sabina Chege made the quoted statement. The viral graphic uses a generic “News Update” format, not linked to any recognized newsroom. Where the Confusion Comes From Some interpretations suggest the statement may be a mistranslation of a Gikuyu expression, possibly referring to “going...
The claim that Winnie Odinga declared James Orengo as her party leader and said ODM was “sold to a thief” is unverified and likely fabricated. There is no credible evidence she made such remarks. While internal differences exist within Orange Democratic Movement after Raila Odinga’s passing, Winnie has maintained she remains in ODM and supports internal reforms—not exit. Verdict: FALSE / MISLEADING
kumekuwepo na chapisho lililosambazwa na mtumiaji wa mtandao wa Facebook likidai kuwa meli ya kivita ya Marekani, USS George H. W. Bush, inapitia katika Bahari ya Hindi. Kwa mujibu wa Marine Finder, meli hiyo inadaiwa kuwa iko karibu na mpaka wa Tanzania na Kenya, ikielekea Mashariki ya Kati kwa lengo la kuimarisha uwepo wa kijeshi wa Marekani katika eneo hilo. Inadaiwa pia kuwa Marekani imelazimika kutumia njia ndefu zaidi kuelekea Mashariki ya Kati ili kuepuka Bahari ya Shamu (Red Sea), hususan katika eneo la Yemen, kutokana na hofu ya kushambuliwa na waasi wa Houthi. je ni upi uhalisia wa chapisho hilo ?
Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii huhusani Facebook likiwa na nukuu ambayo inatoa ijumbe kutoka kwa raisi wa Uganda yoweri museven amesema kuwa afrika ina wajinga wengi sana. Katika chapisho hilo ambalo limewekwa kwenye mitandao ya kijamii lina nukuu ya ujumbe ufuatao '"Afrika Ina wajinga wengi sana, mtu anakunywa pombe na anakula hovyo halafu anakufa akiwa bado na miaka 25 watu wanasema Mungu amemuita!!! Mungu anawezaje kumuita mtoto mdogo namna hiyo?... Mbona wengine hawaitwi?... Mimi sio mjinga siwezi kufa kijinga namna hiyo" - Yoweri Museveni je ni upi uhalisia wa chapisho hilo?
Mzee amenena maneno ya makufuru dhidi ya mpigania haki Lisu ambaye wmezuiliwa gerezani bila kosa lolote. Leo mzee Wasira ameropoka na kusema wanamzuia kwakuwa hataki maridhiano. Soma mwenyewe hapa chini. "Tunapozungumzia maridhiani tunamaanisha Makubaliano ya kitaifa, kiutendaji na amani ya kudumu, sasa wewe ukikataa inaonyesha siyo mtu mzuri kwetu na kwenye taifa ni hatari. Kwaiyo hupaswi kuwa huru, utakaa chini ya uangalizi milele"- Amesema Wasira
Kumekuwepo na chapisho la video kwenye mtandao wa Facebook likidai kuwa Rais wa Iran Masoud Pezeshkian akiwa pamoja na watendaji mbalimbali wa serikali wakiwemo mawaziri, walionekana wakiendesha baiskeli katika mji wa Isfahan wakielekea kukagua miundombinu kwenye maeneo ambayo yalikabiliwa nma mashambulizi makali ya vita. katika hilo Chapisho hilo lilisambaa likiwa na ujumbe unaosema: "Rais wa Iran 🇮🇷 akiwa na watendaji mbalimbali wa Serikali, wakiwemo mawaziri, wakielekea kwenye ukaguzi wa miundombinu ndani ya mji wa Isfahan kwa kutumia usafiri wa baiskeli. Ikumbukwe mji huo ni miongoni mwa miji iliyoshambuliwa sana." Hata hivyo, kupitia ufuatiliaji wa kidigitali kwa kutumia njia ya manneo mhimu na vyanzo vingine vya habari...
Back
Top Bottom