Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao.
Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu...
Siongei chochote, ila nauliza tu, baada ya kubandua, hizo namba zinapofutika, ndio Camera za polisi zinaweza kusoma?
==========================
Hili la kusema Mashine zao hazina uwezo wa kusoma...
Trapped in Oman - BBC Africa Eye documentary
https://m.youtube.com/watch?v=fJTh4Gdn_B8
BBC Africa Eye investigates the plight of Malawian women lured to Oman with offers of domestic work, only to...
Wakuu habarini za wakati huu...
Niliwahi kuleta Uzi humu kuhusu mchumba wangu ambaye ni Mcha Mungu, bikira, mpole, mkarimu, mzuri n.k.
Nimegundua kwamba huyu mwanamke ana karama ya unabii pia...
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemuomba aliyekuwa Katibu Mkuu wake, Maalim Seif Sharif Hamad kurejea tena na chama hicho ili washirikiane kudai haki.
Akizungumza jana jijini Dar es...
Hivi karibuni waziri Bashe, ametoa kauli ya ajabu, kauli inayoashiria kukosa weledi na busara kama kiongozi.
Nasema amekosa weledi, kwa sababu mawazo yake yameishia pale alipokuwa amesimama bila...
Ni miaka 3 imepita tangu Rais Magufuli afariki. Ni jambo la kawaida, hasa siku ya maziko au wakati wa kutangaza kifo, kutolewa taarifa za kina za mazingira ya kifo cha marehemu, na kama pengine...
Mara kwa mara mwenyewe mama amesisiti!za anapenda kukosolewa ili aone mapungufu sio muda wote kumsifu kama wafanyavyo wadudu wa nguoni
1.Ujambazi umerudi kwa kasi sana
2.Uvivu ,uzembe na...
Yetu macho
====
Alichokiandika Mbowe
Msimamo wa JPM na Serikali yake kuhusu #COVID19 ni aibu na jinai kubwa dhidi ya ubinadamu yenye athari kwa maisha & uchumi. Corona Tz ipo tele. Waso-hatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.