biashara

  1. Leejay49

    Naombeni tenda za kutengeneza madirisha na milango WanajamiiFroums

    Natumai wote mnaendelea vizuri na kwa ambao mko na changamoto Mungu awafanyie wepesi mrudi kwenye hali zenu za kawaida nawaombea🤲🏽🤲🏽.. Najua sio jukwaa husika lakini nimeliweka hapa kwasababu ni jukwaa lenye wachangiaji wengi hivyo hata mods wakiamisha uzi walau muwe mmeona nilichokiandika...
  2. G

    Epuka kuajiri makundi haya ya watu kwenye duka/ biashara yako

    1. kijana wa kuuza duka ambae kashinikizwa na wazazi/ ndugu, hawa mara nyingi wamekubali kazi kwa msukumo tu kishingo upande, ni ngumu kufanya kazi kwa kujitoa 2. Ndugu wa mke - hakikisha wanakaa mbali sana na biashara, ni watu wanaoweza kuvuruga biashara na hata ndoa yako. 3. Rafiki yako...
  3. Accumen Mo

    Ukweli ambao unafichwa juu ya biashara ya utumwa Tanzania na Africa kwa ujumla

    Wasalaam wanajf Kama kichwa cha uzi kinavyosema , huu ndio ukweli watu wanapotoshwa miaka yote . Fuatilia hii clip hapo chini
  4. A

    Nitumie njia gani kupanga bei za bidhaa zangu?

    Hello.... Habari za muda huu. Je, huyu ni wewe? Unajiuliza ni njia gani utumie kupanga bei ya kuuzia bidhaa zako? Kwenye upangaji wa bei kuna factor nyingi za kuziangalia mfano. 1. Washindani wako katika soko. 2. Kipato cha wateja wako. 3. Mazingira ya soko. Ila leo nitazungumza...
  5. ndege JOHN

    Biashara haramu ya mbao kwenda China inavyofadhili uasi Msumbiji

    Usafirishaji wa mbao, unaokadiriwa kuwa na thamani ya dola za kimarekani milioni 23 kwa mwaka, kutoka misitu ya kale ya Msumbiji hadi China unasaidia kufadhili waasi wa itikadi kali za Kiislamu pamoja na mtandao mkubwa wa uhalifu kaskazini mwa nchi hiyo. Biashara hii haramu ya miti ya...
  6. Roving Journalist

    FCS yasaini makubaliano ya kuboresha Wanawake, Vijana na Wenye Ulemavu katika uendeshaji wa biashara

    Foundation for Civil Society (FCS) na TradeMark Africa wamesaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kuboresha mazingira wezeshi na jumuishi ya kibiashara kuhakikisha Wanawake, vijana na watu wenye ulemavu wanajumuishwa kikamilifu katika uendeshaji wa biashara, kukabiliana na changamoto kubwa...
  7. Roving Journalist

    Dkt. Kida, Mkuu wa Idara ya Afrika Mashariki ya Uholanzi wakutana na kujadili shughuli za uboreshaji wa mazingira ya Uwekezaji na Biashara

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Dkt. Tausi Kida amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Idara ya Afrika Mashariki wa Uholanzi, Bi. Sanne Lowenhardt pamoja na Mshauri Maalum kuhusu Africa wa Wizara hiyo Bw. Melle Leenstra kuhusu uboreshaji wa Mazingira ya Uwekezaji na Biashara...
  8. Yoda

    Umasikini wazidisha biashara katili ya kuuza watoto wa kike Afghanistan

    Utaratibu wa familia masikini kuuza watoto wa kike au kuwatoa kama malipo ya mkopo umekuwepo kwa muda mrefu Afghanistan ila kudorora kwa uchumi na kurudi kwa Taliban madarakani baada ya majeshi ya Marekani kuondoka kumezidisha janga hili la kibinadamu na kushuhudia familia nyingi zaidi zikiuza...
  9. OMOYOGWANE

    Biashara ya nafaka ina umafia mwingi. Kwa wanaotarajia kuanza kuuza nafaka chukueni tahadhari

    Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa. Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari. Katika biashara zenye umafia mwingi basi hii ya nafaka kwangu ndio namba moja kwa umafia yaliwahi...
  10. J

    SoC04 Mpango mkakati Uboreshaji na urahisishaji shughuli na muingiliano maeneo ya biashara katikati ya miji na majiji

    Tanzania imekua ikishuhudia mabadiriko mbalimbali ya kimaendeleo, kufuatia mabadiriko haya vijiji vimekua toka ukijiji hadi mitaa, miji hadi manispaa, manispaa hadi majiji nakadharika. Kufuatia ukuaji huu wa maeneo kasi ya uingilianaji wa shughuli za binadamu ni suala lisiloepukika hivyo...
  11. dr namugari

    Jinsi nilivyopoteza milioni mbili kwenye soko la hisa

    Mwaka 2014 nilishawishika kwa mara kwanza kuekeza kwenye biashara za hisa, Basi nikapata abcd za namna gani na faida za za kuekeza kwenye masoko ya hisa na nikafanya maamuzi ya kununua hisa katika kampuni moja ya uchimbaji na utafutaji wa mafuta inayoitwa Swala energy. Basi nikapewa list ya...
  12. Mto Songwe

    Nani alisema kuwa serikali haifanyi biashara? Hii ni ajenda ya viongozi majambazi ya mali za umma

    Hii kauli ya kuwa Serikali haifanyi biashara wala haipaswi kujihusisha na biashara binafsi sifurahishwi nayo hata kidogo. Ajabu kwamba inatolewa na taifa linalo jitanaibisha kuwa linafuata sera za ujamaa na kujitegemea kwa mujibu wa katiba yake. Mpaka unajiuliza huo ujamaa na kujitegemea upo...
  13. Kazanazo

    Imechukua muda gani kutoboa katika biashara yako? Umejifunza nini?

    Wakuu hebu fungukeni ni miaka mingapi upo kwenye biashara na je, umefanikiwa kutoboa kibiashara? Na, ulifanyaje kufika hapo. Nina kaduka kangu mwaka wa tano huu sioni dalili ya kutoboa japo sijakata tamaa ila changamoto ni nyingi sana ikiwemo madeni na mtaji kiduchu bado napambana. Je, wewe...
  14. Zanzibar-ASP

    Nilichogundua, waimbaji wengi wa injili wa sasa hawana Yesu, ni biashara zaidi

    Baada ya sekeseke la waimbaji wengi wa Injili hususani wa kike kuharibu ndoa zao, watu wengi wamehoji nini chanzo cha hayo yote. Ukweli ambao hausemwi na labda haujulikani ni kuwa, wengi wa waimbaji wa injili hawana maisha ya Yesu ndani yao, wapo waliowahi kuwa na Yesu hapo kabla lakini...
  15. S

    Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga

    Kwa mujibu wa Ricardo Momo Feisal Salum anapokea Mshahara wa 16M kwa mwezi familia yake nzima ikiwemo mama yake wamepewa kazi kwenye kampuni la Bkharesa Group Of Company na Mshahara si chini ya 2.5M. Wazazi wake wamejengewa nyumba ikiwa ni sehemu ya kumshawishi ajiunge na Azam. Dirisha...
  16. S

    Suluhisho la mikopo umiza:Raisi Samia, unda Chombo au Taasisi maalumu itayohusika kusimamia na kudhibiti biashara ya kukopesha fedha

    Tatizo la.mikopo umiza maarifu kama "kausha damu", linazidi kushika kasi hapa nchini huku Benki Kuu yenye dhamana ya kusimamia na kuendesha hii biashara, ilionekana kushindwa kabisa kudhibiti uholela wa hii biashara japo teyar kuna sheria na Kanuni za kusimamia uendeshaji wa hii biashara...
  17. Huihui2

    Bandari ya Dar es salaam Kuipiku Mombasa katika biashara ya kubeba shehena

    Citizenhttps://www.ke.co Kioko Nyamasyo on Monday, 6 May 2024 Wakati Kenya ikiendelea kuongoza kwenye ushindani wa biashara ya bandari katika Afrika Mashariki, kuna tishio kubwa kutoka Tanzania kutokana na Bandari ya Dar es Salaam kuongeza mizigo mara dufu katika muongo mmoja uliopita. Hili...
  18. Dr. Said

    Biashara Yangu Inataka Kufilisika

    Hello wadau, Baada ya kujaribu kuboresha huduma zetu na ku introduce mfumo mpya wa mauzo, wateja wamepungua maradufu, jambo linalohatarisha uhai wa biashara yetu. Nimeelezea kwa kuonyesha mfumo wetu wa zamani na mpya na plan niliyonayo kuihuisha biashara yangu katika video hapa chini. Naomba...
  19. O

    Msaada jinsi ya kutangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii

    Habari Wana JF, Samahani nilikua naomba msaada jinsi ya kutangaza biashara mtandaonii kwa kutumia zile sponser au Kama Kuna njia nyingine yoyote ilimradi iwafikie watu wengi mtandaoni. Ahsanteni 🙏
Back
Top Bottom