kupanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Sehemu gani ya Dar es Salaam huwezi kwenda kupanga nyumba ya kuishi?

    Sehemu gani ya Dar huwezi Kwenda kupanga nyumba ya kuishi? Tupia maoni yako tujuane mapema tu.
  2. A

    Nitumie njia gani kupanga bei za bidhaa zangu?

    Hello.... Habari za muda huu. Je, huyu ni wewe? Unajiuliza ni njia gani utumie kupanga bei ya kuuzia bidhaa zako? Kwenye upangaji wa bei kuna factor nyingi za kuziangalia mfano. 1. Washindani wako katika soko. 2. Kipato cha wateja wako. 3. Mazingira ya soko. Ila leo nitazungumza...
  3. aBuwash

    Sehemu gani inafaa kufungua fremu ya Biashara ya nafaka kwa Dar es Salaam?

    Za jion wana jamii, Naimani mko powa wote Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo biashara hii itafit NB: kwa sasa nataka kuanza rejareja ila mbeleni nitauza na jumla kutegemeana na...
  4. Makamura

    Bei za maji katika Nyumba za kupanga ni mateso

    Bei ya maji kwa Dar es Salaam ni Tsh. 1,663 kwa Unit moja(1) ambayo ni sawa Lita 1000 za maji, yaani Madumu 50 makubwa ya Lita ishirini. Wapangaji wengi wakiamia kwenye Nyumba za kupanga za kushare maji au kulipiwa na mwenye Nyumba unakuta anaambiwa alipie Tsh. 15,000 hadi Tsh. 30,00 kwa mwezi...
  5. M

    Natafuta nyumba ya kupanga

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kimara, isiwe mbali na barabara, mwenye nayo please naomba msaada
  6. Sasso

    Msaada: Natafuta chumba kimoja cha kupanga self-contained Dodoma Mjini

    Kwema Wakuu, Natarajia kuwepo Dodoma mjini soon kufanya project itakayonichukua kati ya mwaka 1 mpaka mwaka 1 na nusu. Naomba wenyeji wa mji wanisaidie ABCs za kupata chumba kimoja cha kupanga self-contained chenye usalama na huduma za maji na umeme, kodi kwa mwezi etc Nicheki PM au unaweza...
  7. Stephano Mgendanyi

    Serikali Inafanya Tathimini ya Uwezekano wa Kupanga Bei Moja ya Bidhaa za Petroli Nchi Nzima

    SERIKALI INAFANYA TATHMINI YA UWEZEKANO WA KUPANGA BEI MOJA YA BIDHAA ZA PETROLI NCHI NZIMA Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema Serikali kupitia EWURA inafanya tathmini ya uwezekano wa kupanga bei moja ya bidhaa za petroli nchi nzima. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Aprili 3,2024...
  8. Dr Mgalatia Tz

    Natafuta chumba cha kupanga single self (Mbeya town)

    Habari za wandugu! Naombeni msaada wakuu. Kama kuna yeyote anayeweza kunipatia msaada wa chumba kizuri hapo mjini mbeya, pasiwe mbali na Mtaa wa mahakama Kuu. (Sehemu ya bajaji moja hadi maeneo ya Open University itapendeza) Ninatanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.
  9. M

    Chumba cha kupanga kinaitajika

    NAHITAJI CHUMBA(MASTER) YENYE CHUMBA KIMOJA MASTER NA JIKO, KIWE NDANI YA FANCE IWE KINONDONI AU MWANANYAMAKA KARIBIA NA BARABARANI. NICHECK WHATSAPP 0659741342
  10. JOVITUS KAMUGISHA

    Kupanga ni kuchagua, kuchagua ni kupanga

    Siku kadhaa zilizopita nilikuwa naongea na mmoja wa marafiki zangu wa karibu nilimuuliza swali hili, “Je ni upi msemo sahihi kati ya kupanga ni kuchagua au kuchagua ni kupanga.” Mara zote nimekuwa nikichanganya katika kutanabaisha usemi upi sahihi. Na akanijibu- yote ni sahihi kwa maana...
  11. Mjanja M1

    Haji Manara anaishi kwenye nyumba ya kupanga, asema yeye sio tajiri

    Haji Manara jana alikuwa na ugeni nyumbani kwake toka CloudsTv, na moja ya swali aliloulizwa ni kwanini bado anapanga na ilhali anaonekana ana uwezo mkubwa kifedha. Haji Manara alijibu, "Kwani kuna dhambi kupanga apartments? Mimi ni mwajiriwa wa Yanga. Sijawahi kusema Mimi ni tajiri. Naishi...
  12. Lexus SUV

    House4Rent Kwa mahitaji ya vyumba na nyumba za kupanga, fremu za biashara Moshi mjini

    Habari wandugu ..., Nawaleteeni huduma bora kabisa na ya haraka zaidi kwa mahitaji tajwa hapo juu karibu nawe.... Zote zinapatikana Moshi mjini kona zote au mitaa yote na utazipata ka haraka zaidi ..... Na kwa ushauri wa sehemu nzuri ya kuishi , sehemu nzuri ya biashara ya fremu utapata...
  13. Nrangoo

    Chumba cha kupanga Kimara. Kodi isizidi Tsh 100,000/- kwa mwezi

    Habari wakuu. Nawatakia nyote kheri ya mwaka mpya. Mimi ninahitaji chumba self maeneo ya Kimara , liwe eneo la karibu na barabara, kodi isizidi Tsh 100,000/- kwa mwezi. Nipo tiyari kulipia kodi kwa miezi mitatu ya mwanzo. Mwenye nacho naomba tuwasiliane. Asante
  14. Kisetuu

    Naomba wale wataalamu wanisaidie kupanga

    Naomba wataalam wahizi mambo wanisaidie kupanga apa
  15. AlphaMale_

    Mnawezaje ku deal na Jiran wa Namna hii kwenye nyumba za kupanga?

    Hello habari wana jf Ninapo ishi kuna kijana mmoja anapenda sana kufungulia mziki sauti inakua juuu sana yani hajali usiku asubui yeye akiwepo ndani ni kelele sana Yani hii tabiia inani boa sana Je nyiie mna deal vip na hawa watu?
  16. Meneja Wa Makampuni

    Kijana wangu anatafuta nyumba ya kupanga riverside, Ubungo

    Habari marafiki, Nina kijana wangu wa kazi anatafuta nyumba ya kupanga maeneo ya riverside. Mwenye nayo ailete hapa.
  17. Melki the Storyteller

    Sharti gani gumu uliwahi pewa na mwenye nyumba kwenye nyumba za kupanga?

    Sijakosea. Nafahamu fika kuwa members wote wa JamiiForums tuna majengo makubwa sana hasa maeneo ya Sinza na Oestabey, lakini yote kwa yote, wengi wetu tumewahi panga vyumba kabla ya kujenga Ni sharti lipi gumu uliwahi pewa na mwenye nyumba ndani ya nyumba yake ulipopanga kwake?
  18. Manjagata

    Nitumie njia gani rahisi kupata Chumba cha Kupanga Dar

    Mwenye kujua njia rahisi anielekeze hapo. Je, madalali wa Dar wanasomeka? Maeneo ya Sinza, Mwenge karibu na Kanisa la RC au Magomeni karibu na Kanisa la RC
  19. Foxhunters

    Kwa niaba, anahitaji chumba cha kupanga

    Kuna ndugu yangu anatafuta chumba cha kupanga maeneo ya Mwasenga, Businde. Ndani ya manispaa ya Kigoma Ujiji. Chumba kiwe kikubwa tiles, gypsum, maji na umeme. Kukiwa na geti ni sifa kubwa pia. Kiwe single au chumba na sebule bado kinafaa njoo na offer yako hapa hapa madalali kaeni...
  20. Erythrocyte

    Bunda: CHADEMA wakutana kupanga Mikakati ya kuifutilia mbali CCM kwenye eneo hilo

    Chama Kikuu cha siasa Nchini Tanzania (CHADEMA), huko Bunda mjini kimekutana na wanachama wake kwa ajili ya kupanga mikakati mipya ya kuifuta ccm kwenye eneo hilo. Chadema yenye Wanachama hai zaidi ya mil 15 nchi nzima (kwa Mujibu wa Chadema Digital) huku ikiwa na mamilioni ya Wafuasi...
Back
Top Bottom