njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. Mafeking

    Kero walioipata abiri wanaotumia njia ya kilwa road

    Makampuni ya mabasi yanafanya ruti za kusini kupitia kilwa road muwaonee huruma abiria wenu sio mnawachukuwa Dar es salaam mkiwaahidi kwamba Somanga panapitika alafu mnakuja kuwapaki Somanga masaa mengi na kusababisha usumbufu na kero kwa abiria zenu huu sio uungwana jaman. Nawasilisha..
  2. Bob Maxwell

    Fahamu Mbinu na vifaa vilivyotumika kutoa adhabu kwa wahalifu enzi za zamani. (Ancient torture methods)

    Katika historia, watawala walitumia mbinu kali za adhabu kwa lengo la kuadhibu maadui zao pamoja na wale walio tekeleza matukio ya kihalifu. Pia walitumia mbinu hizo kama njia ya kuwafanya wahalifu hao kusema na kutaja wenzao ambao walihusika katika uhalifu huo. Ancient rome, Greek, China, ni...
  3. B

    Kuelekea Maridhiano kusimamisha vita, Israel yajikuta njia panda!

    1. Haipo shaka vita au mazungumzo ya maridhiano kama ilivyo siasa, nayo ni sayansi. 2. Izingatiwe sayansi siyo ya kila mtu, labda arts huko. Sayansi ya maridhiano, vita au siasa; huingii kichwa kichwa. 3. Tambo mbali mbali kwenye sayansi hii ndiyo kwao. Kisemwacho hadharani si lazima kuwa kile...
  4. Salman raj jetha

    SoC04 Mwongozo wa Maendeleo: Njia ya Tanzania kuelekea Uchumi Endelevu na Usawa

    Kwa kuwa maendeleo ni mchakato wa pamoja kati ya serikali na wananchi, hapa kuna hoja kadhaa ambazo zinaweza kuchangia maendeleo makubwa Tanzania ndani ya miaka 5 hadi 25 Ila katika kila point ntakayotoa ELIMU ni kipaumbele changu 1. Elimu Bora na Endelevu: Kuwekeza katika elimu ya msingi...
  5. Zakaria Maseke

    Njia mbali mbali za kutoa ushahidi Mahakamani

    Ushahidi Mahakamani (kwenye kesi za madai) unaweza kutolewa kwa njia ya mdomo (orally) au kwa njia ya maandishi (witness statement). Rejea Order XVIII (2) (1) ya CPC (amendments za mwaka 2021). Sasa, ukiomba kwenye kesi yako utoe ushahidi kwa njia ya maandishi (witness statement), ukakubaliwa...
  6. Manyanza

    Wanawake wengi kwa kujua au kutokujua hujikuta wakifanya vitimbi kwa wenza wao kwa njia zifuatazo

    1.KUPIMA UWEZO WA MWANAUME KUJIAMINI (confidence test) Mwanamke yeyote hupenda kupima uwezo wa kujiamini wa mwanaume wake. Njia wanazotumia kufanikisha hilo sasa hutegemea makuzi na malezi yake, wengi wao hutumia kumdhalilisha mwanaume hadharani, kumfokea, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia...
  7. John_Anthony

    Njia pekee ya kutatua matatizo yote ya Tanzania na Afrika kwa ujumla

    Is to form everything new, new country, new leadership system, even the brains of people must be new, we need to throw away the brains from the Europeans and e.t.c Africa must be united
  8. CHANGER

    Uhamisho kwa njia ya mfumo wa ess

    Habari Wadau, Mwenye uelewa juu ya kuomba maombi ya Moja kwa Moja kwenye mfumo naomba ufafanuzi. kati ya vacancy request na transfer request kipi kinatangulia? Je kutokujaza vacancy request inaweza ikapelekea maombi yako kukataliwa au kuandikiwa "vacancy not badgeted"?
  9. ndege JOHN

    Njia bora kabisa ya kukijua kingereza ni kuangalia movies zenye subtitles

    Download series fuatilia ukizingatia kuna maneno utayajua kupitia movie Kwa mfano mimi neno concubine (mke mwenza) sikuwahi kuliona popote isipokuwa kwenye tamthilia ya jumong. Kwa sasa namalizia Tom rider Maneno mengi nayakumbuka.
  10. Teslarati

    Huwa naepuka kabisa kusikiliza umbea wa mwanamke wangu, juzi niliusikiliza umeniweka njia panda

    Kama kuna kitu huwa sipendi nikiwa na mwanamke ni pale anaanza kunipa umbea. Hii inatokea sana baada ya game nono (CHAPUTA hamtojua hili) Sasa bwana, usiku wa juzi kwenye kutuliza kichwa huyo akaja na story, mie nikawa namuitikia tu kutokumkatisha (hapa ndo nilifanya kosa maana huwa namkatisha...
  11. Heparin

    Maji yameziba njia maeneo ya Kin'gori, hakuna kwenda Arusha wala Moshi

    Kimeumana hapa near planet Lodge Kin'gori mafuriko, hakuna gari kupita kwenda Moshi wala kuja Arusha, maji yameziba njia eneo la King'ori.
  12. stakehigh

    Dinari Kuwaiti: Ndio Sarafu Imara Duniani na Njia Tanzania Inaweza kufuata ili Kuifikia

    Dinari ya Kuwait (KWD) ndio sarafu yenye nguvu zaidi duniani. Lakini ni nini hasa kinachoifanya kuwa imara, na je, Tanzania inaweza kujifunza nini kutoka kwa mafanikio ya Kuwait? Wacha tuchunguze sababu za nguvu ya dinari na kuchunguza njia zinazowezekana za ukuaji wa uchumi wa Tanzania. Nguvu...
  13. matunduizi

    Emergency fund: Unatumia njia ipi kujiwekea aina hii ya akiba?

    Nimesoma vitabu na kusikiliza hotumbq mbalimbali youtube na machapisho kadhaa ya uchumi binafsi ( personal economy) nimeona wote wanasisitiza mtu kuwa na EMMERGENCY Fund. Hiki ni kiasi ambacho umekitunza kiko standby kwa lolote litakalokupata ghafla. Kama ni mfanyabiashara au muajiriwa ni kiasi...
  14. Nyabiri

    Naomba wa ushauri njia bora ya kuendesha kampuni

    Wakuu ni matumaini yangu kuwa hamjambo, nimeamua kuingia kwenye jukwaa hili nikiamini ya kwamba nitasaidia kimawazo. Katika harakati za kutafuta maisha nilifanikiwa kusajili na kufungua kampuni ya ulinzi na kuanza kuiendesha kuanzia mwaka 2021 hadi 2023 mwishoni,nilikuwa na wateja wa kawaida...
  15. Stephano Mgendanyi

    Patrick Mwalunenge (Mwenyekiti CCM Mkoa wa Mbeya) Atinga Site na Vipimo Kutatua Mgogoro wa Fidia Ujenzi wa Barabara Njia Nne

    PATRICK MWALUNENGE (MWENYEKITI WA CCM MBEYA) ATINGA SITE NA VIPIMO, KUTATUA MGOGORO WA FIDIA UJENZI WA BARABARA NJIA NNE Mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya amefika eneo la takio na vipimo baada ya Wananchi wa kata za Nzovwe na Mabatini Mkoani himo kulalamika kitendo Cha...
  16. Nsanzagee

    Sababu za kufubaza udhaifu wa viongozi waliopo, ni pamoja na kumsema Hayati Magufuli alikuwa mporaji

    Kuna wakati viongozi wa CCM hujaribu kuwatukana watanzania matusi ya rejareja Ni nani atakayeamini hiki wasemacho kina Kinana? Jambo la mapato kuongezeka, ni kweli linaendana na uhalisia? Mimi nasema hivi, halina uhalisia kwa sababu nyingi tu, Moja ya sababu ni pamoja na kuwepo sababu za...
  17. Z

    Januari Makamba atapita njia ya Hayati Lowassa katika safari yake ya kisiasa

    Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa. Atajitahidi sana, atakusanya watu, atakuwa kwenye makundi pendwa na hata nyakati nyingine atafika katika 5...
  18. figganigga

    Kusema Maji ya mafuriko ya Rufiji yatafutiwe njia ya kwenda baharini, si kumtukana Rais. Wananchi wanateseka

    Tunashukuru Serikali ya Tanzania kwa kuyoa Tan 300 za unga, mchele na maharage kwa watu wa Rufiji japo ambazo zimefika na kuonekana kwa macho ni Tan 32. Labda hizo tani nyingine bado zipo njiani. Huko Rufiji Serikali imepeleka tan 100 za maharage, tani 100 za mchele na tani 100 za maharage...
  19. R

    Tanzania na nchi za ukanda wa Afrika Mashariki zimejipangaje kudhibiti madhara ya ndege zisizo na rubani endapo zitapotea njia na kuja ukanda huu?

    Iran ameingia vitani na Israel kwa kurusha ndege zisizo na rubani zaidi ya 50. Pamoja na kuwa tupo mbali upo wakati vyombo na silaha za kivita ukosea target au ulazimishwa kuelekea uelekeo usio sahihi. Natambua hapo katikati kutoka Iran hadi Afrika Mashariki kuna Mataifa Mengi lakini mengi yao...
Back
Top Bottom