huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    Baba, huwa unahudhuria Matukio yanayofanyika Shuleni kwa Mtoto wako au ndio kwa bahati mbaya?

    Kwa wale tuliozaliwa Vizazi vya Zamani ilikuwa ni nadra sana kumuona Baba hata kwenye Vikao vya muhimu vya Wazazi. Mara nyingi kazi hii ilifanya na Mama na Baba aliletewa taarifa ya nini kimetokea Wataalamu wa Malezi wanasema Watoto hujisikia Furaha sana pale Baba zao wanapohudhuria Matukio...
  2. Kyambamasimbi

    Tangu TAMISEMI waseme wamepata kibali Cha kuajiri kada ya Afya na Walimu tangu mwezi wa pili mwaka huu sijui shida huwa nini?

    Hapo Mimi huwa sielewi kibali tayari, nini huwa kinakwamisha au bajeti na mchakato kuchambua maombi utachukua mda Gani na hao watumishi wapya mfano Walimu wataripoti lini au mwezi wa 9? Au Kuna nn kama Mhe. Rais ametoa kibali?
  3. R

    Kwanini ugonjwa wa Ebola huwa hauvuki mpaka wa DRC kuingia nchini?

    Salaam, shalom!! Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na kuingia DRC? NB: Nia ya kuuliza swali hili ni njema, inalenga kujua jinsi Gani Tanzania ilivyobarikiwa(...
  4. makilo

    Mikataba hii huwa haivunjiki?

    Mkataba wa waarabu tunaoambiwa aliuingia hayat mwinyi kuhusu ngorongoro mpaka kupelekewa vifo machafuko Kati ya wamasai na jeshi la polis. Mkataba wa dp wold kuhusu bandali za Tanganyika pasipo kugusa za visiwani zanzibar. Mkataba wa muungano Tanganyika na Zanzibar unaleta...
  5. Expensive life

    Mnaoruka na wake za watu / waume za watu huwa hamuoni kinyaa?

    Unajua kabisa kuwa yelu ni mke/ mume na fulani na wewe unakwenda kuingiza au kuingizwa humo humo, midomo aliyeinyonya yule na wewe unakwenda kuinyonya hiyo hiyo .assshh kinyaaa, ni sawa na kula mnyama ambaye amekufa kibudu. Bora uwe hauji mahusiano aliyonayo yaani unajua kabisa usiku kucha...
  6. Raia mpya

    Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

    Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
  7. Gulio Tanzania

    Mafanikio huwa yanaanza na watu kuanza kujali usafi na utunzaji wa mazingira

    Kuna siri kubwa katika kujali usafi na utunzaji wa mazingira yanayotuzunguka ardhi inanguvu kubwa sana tangu kuumbwa kwa adam na Eva waliwekwa kwenye bustani ya Eden bustan safi yenye kupendeza na kuvutia hili ndilo lilikuwa kusudio la Mungu binadam waishi katika mazingira yanayopendeza na...
  8. DR HAYA LAND

    MAFANIKIO huwa yapo ila ambacho hakipo ni gharama za kuyalipaia hayo mafanikio

    Kila MTU anahitaji mafanikio Ila ukweli mafanikio yapo sehemu yoyote ile unaweza kuyapata Ila unachohitaji ni kuhakikisha unalipa gharama. Kulipa gharama - ni kujikita na kuamua kulifanya jambo lolote unalokiamini kwa kujitoa kwa mwendelezo . (consistency) Hivyo utofauti wa aliyeshindwa...
  9. Analogia Malenga

    Chawa huwa hawashangilii wakisikia ukweli

    Basi bwana kwenye siku ya uhuru wa habari duniani, hapa ambapo mgeni rasmi ni Kassim Majaliwa, kipo kikundi cha Hamasa cha Mama Samia, ambao kifupi ni chawa. Sasa Mrisho Mpoto yupo hapa anatumbuiza. Cha kushangaza mwanzo wale chawa walikuwa wanashangilia sana kila wakisikia kitu kizuri...
  10. Django doer

    Wanawake wakikuangalia halafu wakaanza kucheka cheka huwa wanamaanisha nini?

    Heri ya sikukuu wana MMU. Nina scenario 2 za hili tukio kunitokea. 1. Jumatatu ya wiki iliyopita kulikuwa na mvua kubwa sana jijini dsm ambayo ilisababisha ukosefu wa usafiri wa daladala kwa tulio wengi hivyo watu ilibidi watembee wakitoka makazini kurudi makwao mimi nikiwa mmojawapo sasa...
  11. masai dada

    Wanaume wasichojua hata sisi huwa tunawatamani

    Msichojua ndo hicho sasa Unamuona mwanaume unamtani na kuvutiwa nae ila sasa ndo inabidi ungalie mambo mengine sasa yanayofanya jambo ilo lishindikane Nimekutana na mkaka maeneo ya ninayofanyia mihangaiko yangu ajui kituo cha gari anakoenda ila sijajua kama kweli alikua hapajui...
  12. H

    Swali ambalo wanaotetea kikokotoo kipya Huwa hawataki kujibu

    Najua Kuna nyuzi nyingi kuhusu kikokotoo kipya vs kile Cha zamani, Lakini ili kuondoa utata naomba mods waache huu uzi, Kwani hili swali likijibiwa utata wote utaisha.. Hili ni maalum kwa WALE WANAODHANI KIKOKOTOO KIPYA NI KIZURI, SWALI: mwalimu YASINI amestaafu akiwa na mshahara basic tsh...
  13. Teslarati

    Huwa naepuka kabisa kusikiliza umbea wa mwanamke wangu, juzi niliusikiliza umeniweka njia panda

    Kama kuna kitu huwa sipendi nikiwa na mwanamke ni pale anaanza kunipa umbea. Hii inatokea sana baada ya game nono (CHAPUTA hamtojua hili) Sasa bwana, usiku wa juzi kwenye kutuliza kichwa huyo akaja na story, mie nikawa namuitikia tu kutokumkatisha (hapa ndo nilifanya kosa maana huwa namkatisha...
  14. Mto Songwe

    Je, ni sawa kwa Rais Samia kuiunga mkono Somalia kiusalama?

    “Kama mnavyojua hali ya wenzetu [Somalia] haiko vizuri sana, kwahiyo tumewahakikishia kuwaunga mkono kwenye kujenga uwezo wa wao kama nchi kujilinda wenyewe.” – Rais Samia Suluhu Sasa nchi yetu tumekwisha iendeleza na kuilinda vya kutosha sasa tuna vuka kwenda kuwajenga na kuwaendeleza wengine...
  15. The Eric

    Nikisikia mwanaume anaoa mwanamke fulani ninaye mjua kitaani kwetu huwa napata huruma kwa mwamba

    Wana jukwaa wa MMU habarini? Huwa sio siri kitaa nachokijua mimi kina watoto wakike fulani katika ukuaji wao mpaka sasa huwa baadhi yao ni ngumu kuja kuishi na wenza makini kwa maana ya wao kuingia kwenye mahusiano imara. Juzi kati hapa kuna Me nimesikia anaoa ke fulani kitaani kwangu. Me...
  16. GENTAMYCINE

    Hivi Waandishi wa Habari wakiwa wanasema fulani kazikwa na maelfu na mwingine wanasema kazikwa na mamia huwa wanamaanisha nini?

    Mimi nilidhani Mtu fulani kutokana Umaarufu wake na Kujimwambafai Kwake angezikwa na Maelfu ila nimesikitika sana kuona ameandikwa kuwa amezikwa na Mamia tu. Jamani tutumie Umaarufu wetu kwa kuwa karibu na Watu hasa wa Kawaida (chini kama akina siye GENTAMYCINE) ili hata SIku tukiondoka au...
  17. U

    Wenzangu mnaotumia unlimited internet huwa mnatumia net kwenye nini hadi kuvuka matumizi ya GB 1000 (1 TB) mpaka mnaanza kulalamika kupunguzwa speed

    Makampuni mengi unlimited yanatoa TB 1 hasa kwenye vifurushi vya chini kwa matumizi ya nyumbani Mtu analalamika 1 tb ndogo na tunajua kibongobongo wengi hawatumii net kufanya backups, kutumia online cctv, n.k. wanaofanyia shughuli zao kama Video Library naweza kuwaelewa lakini hawa wengine...
Back
Top Bottom