mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. Madwari Madwari

    Wakati mjamzito, chembechembe za mtoto huhamia kwenye mkondo wa damu wa mama na kisha kurudi ndani ya mtoto, inaitwa "fetal-maternal microchimerism"

    Mwanamke anapokuwa mjamzito, chembechembe za mtoto huhamia kwenye mkondo wa damu wa mama na kisha kuzunguka tena ndani ya mtoto, huitwa “fetal-maternal microchimerism”.⁠ Kwa muda wa wiki 41, seli huzunguka na kuungana kwenda nyuma na mbele, na baada ya mtoto kuzaliwa. , nyingi za chembe hizo...
  2. PharaohMtakatifu

    Waziri ya Afya, Kwa Sasa mama mjamzito kadi ya clinic anauziwa 10,000. Akijifungua mtoto wa kike 15,000 wakiume 30,000

    Salamu kamsalimie waziri wa Afya. Nikiwa kwenye sintofahamu kwanini mambo Yana badirika kimya kimya namna hii. Inakuwaje kadi ya clinic iliyoandikwa haiuzwi na Sasa inauzwa Kwa Tsh 10,000/= Inakuwaje mama mjamzito akijifungua mtoto wa kike atoe kiasi Cha pesa Tsh 15,000/= na akijifungua mtoto...
  3. G

    Mtoto ni baraka, kwanini wazazi mnawafungia watoto wenye ulemavu ndani?

    Kitu chenye baraka wengi hukiombea wakipate, kinyume chake watu huomba kiwaepuke Kwa imani zetu huwa tunaamini Mungu anahusika kwenye uumbaji hivyo hata mlemavu ni kazi yake, akipanga uwe na mtoto mlemavu kuna tatizo ? Naleta hii mada sababu inafikia kipindi wazazi wanafungia watoto wao wenye...
  4. Pdidy

    Sheria ya Kikristo inasemaje kwa mtoto wa nje ya ndoa?

    Habari za uzima, naamini mmeamka salama, wale walio na magonjwa Allah akawape wepesi na mlio hospitali Mungu akawape wepesi pia mtoke huko, sio kuzuri na hakuzoeleki. Rejea kichwa cha habari hapo juu, wenye ufahamu - mzazi wa kiume akifa watoto wa nje kwa dini ya kikristo wanarithi?
  5. T

    Mtoto wa mchungaji Christina Shusho, Odesia Shusho avishwa Pete ya uchumba

    Mtoto wa mchungaji Christina shusho 'Odesia Shusho' avishwa Pete ya uchumba.
  6. K

    Ni sahihi kumpa mimba mke miezi miwili tu baada ya kujifungua na kupoteza mtoto?

    Mwezi wa pili mke anajifungua na mtoto kufariki, mwezi wa nne mke anapata mimba nyingine. Ni sahihi wadau kiafya na kisaikolojia ya mke? Karibuni wadau kwa elimu.
  7. Roving Journalist

    Mkazi wa Arusha amwambia Makonda: Mtoto wangu amelawitiwa, Askari Polisi hawanisaidii na wananipa vitisho

    Mkazi wa Muriet Jijini Arusha akielezea changamoto aliyokutana nayo akidai Mtoto wake amelawitiwa na baadhi ya Watu huku Askari kadhaa wa Murieti wakimzungusha kupata haki yake licha ya vipimo vilivyofanyika katika Hospitali ya Murieti na Mount Meru kuthibitisha ukatili aliofanyiwa mwanaye...
  8. Kiboko ya Jiwe

    Huyu mtoto alijifanya mjanja, pesa anataka mzigo anasema mpaka tuzoeane kwanza

    Mahusiano yana siku 3 nikamwambia Jmosi tuvunje amri ya 6 akasema mpaka nimzoee nijiridhishe kama ana tabia njema naye pia ajiridhishe ndipo tufanye. Hivi mtu munaishi mitaa tofauti muchunguzane tabia ili tu mupate kufanya tendo inawezekana vipi? Ingekuwa tumepanga kufunga ndoa sawa...
  9. henrymimbo

    SoC04 Afya ya mtoto pindi anazaliwa ni bora zaidi kwa makuzi na malezi ya mtoto hii itasaidia kuleta kizazi bora hapa nchini

    UTANGULIZI afya bora ya mtoto inaanzia pale mama anapojigundua kuwa ni mjamzito, kipindi cha miezi tisa (9) ya uleaji wa mtoto ,kipindi cha kujifungua na kipindi cha miezi 6 ya mwanzo ya ulezi , hapi ndipo afya bora ya mtoto inaanzia na kuimarika ili kujenga taifa lenye watu bora wenye akili...
  10. FPN

    Mambo 7 ya kuzingatia katika malezi ya mtoto

    YAFUATAYO NI MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MALEZI YA MTOTO WAKO KULINGANA NA DUNIA INAVYOKWENDA . 1. Mfundishe mtoto kumjua na kumtanguliza Mungu katika kila Jambo analolifanya( Everything to put GOD first) Haijalishi kwa Imani gani atayokua nayo lakini Jambo muhimu kumtanguliza Mungu kwa...
  11. L

    Paul Makonda kumjengea nyumba bibi anayenyanyaswa na Familia yake kisa hana Mtoto

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Paul Christian Makonda Anaendelea kufanya kazi ya kitume, kazi ya kugusa maisha ya watu, kazi ya kuwafuta wabubujikwao machozi,kazi ya kurejesha matumaini na tabasamu kwa waliokata tamaa na kupoteza matumaini,kazi ya kuleta nuru katika mioyo ya watu wenye giza...
  12. S

    Mtoto wa miaka 8 aliepotea Kibaha na kukutwa ametupwa shimoni na amekufa: Ni sahihi Polisi kusema usubiri masaa 24 kabla ya kuripoti kupotea mtoto?

    Kuna tukio la hivi karibuni la Kibaha, ambapo wazazi wa mtoto wa kike wa miaka 8, Angel, mwanafunzi wa darasa la 2, walienda Polisi kuripoti kupotelewa mtoto, wakaambiwa Polisi hawawezi kupokea taarifa yao ya kupotelewa mtoto na inabidi wasubiri kwanza masaa 24 ndio wakaripoti kupotelewa mtoto...
  13. BARD AI

    Mambo Matano yanayochangia Kuharibu Ujasiri na Kujiamini kwa Mtoto

    Kuna mambo kama Wazazi huwa tunafanya kwa watoto bila kujua kama vinawaharibu na kuwashushia kujiamini au kuondoa ujasiri wao katika maisha yao yote. Mambo Matano yanayochangia Kuharibu Ujasiri na Kujiamini kwa Mtoto 1. Kuingilia Uhuru wake kupita kiasi 2. Kumtaja kwa Udhaifu wake (Mzembe...
  14. W

    Kipindi cha Uangalizi kwa Mama aliyejifungua Mtoto Njiti sio likizo ya Uzazi

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, akiwa katika Sherehe za Kilele cha Mei Mosi Kitaifa, zilizofanyika jijini Arusha alitangaza kuongezeka kwa Siku za likizo kwa Wanawake wanaojifungua Watoto Njiti (Kabla ya Wiki 36 za Ujauzito) Kuanzia sasa iwapo Mfanyakazi atajifungua Mtoto Njiti...
  15. ZENITH

    Child support kwa mtoto wa kufikia

    Kuna sehemu nimesoma, mwanasheria mmoja kutoka kwa Majirani zetu, Kenya, Anasema kwamba, kwa mujibu wa sheria, kama ulimuoa single mother, ukaanza kuishi naye na ukaanza kum-support yeye na mwanaye kwa mahitaji yote, ikitokea changamoto, mkaamua kuachana basi yule mama ana haki ya kukuburuza...
  16. G

    Kutoka kwenye familia tuliyosomeshwa kwa gharama kubwa kumeniathiri kiuchumi, Kupeleka watoto kayumba ni aibu, Napambana kukwepa aibu

    Chekechea na Primary nimesoma english medium private. Sekondari Form 1 hadi 6 nimesoma Boarding private, Msosi Pilau kila J5 na J2, Ugali ni nadra sana. Chuo kikuu sikupata mkopo ila si haba sikuwahi kupata changamoto za kiuchumi. Rasmi na mimi nikawa baba, nikaanza kuwaza watoto waje kusoma...
  17. Kaka yake shetani

    Kama una mtoto wa kike, mke, ndugu na n.k akiwa msanii we kubali utakayokutana nayo

    sio ulaya wala afrika swala la wanawake tasnia ya usanii yani kama inawapa shida sana ukilinganisha na wanaume. Kuna shida gani sanaa na wanawake
  18. Dr isaya febu

    Usimkatae mtoto anapozaliwa au kuwa na imani POTOFU pindi anapozaliwa na white stuff.

    Wengi hufikiri na kudhania kwamba hii hutokana na kamwagiwa ndani katika kipindi cha Ujauzito. ONDOA HOFU, hali hiyo Kitaalamu hujulikana kama “Vernix Caseosa” ambao ni utando mweupe unaomzunguka mtoto na wenye faida ya kulinda ngozi yake na kumkinga dhidi ya maambukizi. Ni hali ya kawaida na...
  19. R

    Ngozi ya mtoto ya vidole kukakama

    Hello wataalamu ,ngozi ya mtoto ya vidole vya mikono vimekakama na kumenyeka ngozi nimpake dawa gani wataalamu
Back
Top Bottom