PharaohMtakatifu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2023
- 713
- 1,161
Salamu kamsalimie waziri wa Afya.
Nikiwa kwenye sintofahamu kwanini mambo Yana badirika kimya kimya namna hii.
Inakuwaje kadi ya clinic iliyoandikwa haiuzwi na Sasa inauzwa Kwa Tsh 10,000/=
Inakuwaje mama mjamzito akijifungua mtoto wa kike atoe kiasi Cha pesa Tsh 15,000/= na akijifungua mtoto wa kiume atoe Tsh30,000/=
Je Ina maana Kuna utofauti Gani wakujifungua mtoto kike na wakiume? Ni kwamba dawa au huduma zinazo tumika Kwa mtoto wakiume ni kubwa mno kulinganisha na mtoto wakike?
Hii haikubariki sijasomea afya lakini Nasema huu ni utapeli na wizi wa waziwazi Kwa wanaNchi.
Haya ninayo yasema yanatokea katika kituo cha afya bugarama kilichopo wilaya ya kahama shinyanga. Ni baada ya jirani yangu kwenda kupata huduma alipoambiwa hayo ndipo akaja kuuliza kwangu hii Hali umeanza lini?
Tunahitaji Tamko rasmi kama serikali imeruhusu na kuyabariki yafanyike haya yote.
Ndg Wana jamvi na kwenu haya yanatokea?