sheria

  1. Pdidy

    SHERIA YA KIKRISTO KWA MTOTO NJE YA NDOA INASEMAJE??

    WAH HABARI ZA UZIMA NAAMINI MMEAMKA SALAMA.WALE WALIO NA MAGONJWA ALLAH AKAWAPE WEPESI NA WALE MLIO HOSPT MUNGU AKAWAPE WEPESIS PIA MTOKE HUKOO SIO KUZURI NA AKUZOELEKI REJEA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU WENYE UFAHAMU MZAZI WA KIUME AKIFS WATOTO WANJE WANARITHI....??KWA DINI YA KIKRISTO.....
  2. L

    Dkt. Mwingulu Nchemba awataka Wabunge kujadili sheria wakati wa Utungwaji na Siyo Wakati wa utekelezaji Wake

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri wa Fedha Mheshimiwa Daktari Mwingulu Lameck Nchemba Amewataka Waheshimiwa Wabunge pamoja na watanzania wote kujenga utamaduni wa kujadili sheria wakati wa mchakato wa Utungwaji wake na siyo wakati wa utekelezaji wake. Ameyasema hayo kutokana na swali lililoulizwa...
  3. Black Opal

    Hakuna kifaa chochote kilichoungua lakini dili zangu zimeharibika sababu ya kukosa umeme, naanzia wapi kiwashtaki TANESCO?

    Wakuu kichwa cha habari nadhani kinajieleza vya kutosha. Hakuna uharibifu wowote nilioupata upande wa vifaa kutoka na "Hitilafu" hii ya umeme lakini dili zangu zinaharibika sababu ya hitilafu hiyo. Kazi nyingi zinategemea umeme, unapata dili fresh, unapokea advance na kazi inabidi ikamilike...
  4. jangoma

    Sheria ya makosa ya shule inasemaje mwanafunzi anapokamatwa na simu?

    Je, simu hiyo anapaswa kurudishiwa, au kuitaifisha au kufanya nini? Tafadhali nijibu kulingana na sheria inavyosema na sio kwa kuzingatia maadili.
  5. T

    Itungwe sheria kuhalalisha rushwa ya traffic ili walau tuambulie kodi

    Hali ya rushwa kwa askari wa usalama barabarani imefikia kiwango cha kutisha sana, majuzi hapa nilikuwa nasafiri na gari majira ya usiku wa manane, askari akanisimamisha nikakutwa na makosa, nikamwomba anisamehe akakataa kunisamehe, nikamwambia basi naomba uniandikie faini, akafoka kwa sauti...
  6. K

    Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi ya Mwaka 2024

    Nawaombeni sana mnieleweshe kuhusu TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI na TUME HURU YA UCHAGUZI. Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatamka kuwa kutakuwa na TUME YA TAIFA UCHAGUZI na Sheria ya 2024 inatamka kuwa kutakuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI. Je NI kipi kiheshimiwe kwanza. Ni Katiba au Sheria?.
  7. Makirita Amani

    Sheria Za Fedha: Kufikiri Kitajiri

    Rafiki yangu mpendwa, linapokuja kwenye fedha, kila mtu anajua umuhimu wake. Na umuhimu wa fedha siyo kwa sababu ni fedha, bali kwa sababu ya matumizi yake. Fedha ni muhimu kwa sababu inatuwezesha kupata mambo muhimu ya maisha yetu. Na fedha ndiyo kitu ambacho kinawagusa watu wote. Fedha...
  8. J

    PesaX / CashX (Singularity) wanatumia taarifa binafsi za watu na wanakiuka mamia ya sheria Tanzania

    Ndugu zangu wa Tanzania, Kuna kampuni inayotoa huduma za kukopesha pesa mtandaoni ambayo inajulikana kwa majina kadhaa katika aplikesheni zake, ambayo kwa ujumla hutumia jina la "Singularity". Sijawahi kukutana na kampuni inayoendeshwa hovyo kama hii! Nimekuwa nikikopa pesa mara kwa mara kutoka...
  9. P

    Hizi sheria za kuwa na kifurushi kinacho-expire ni za wizi

    Utaratibu uliowekwa na mitandao ya simu kuwa kifurushi kinaisha muda wake siyo rafiki. Hii inamlazimisha mtu kupiga simu au kuangalia vitu vingine ambavyo siyo vya lazima ili tu awe amemaliza dakika zake au MB. Kwa nini vifurushi visiendane na matumizi ya mtu. Vifurushi vyote vilitakiwa kuwa...
  10. Roving Journalist

    Mkutano wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja wa Sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea Chaguzi za 2024/2025

    TCD kuwakutanisha wadau kutafakari Sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu. Mkutano huu wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja juu ya sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa Mwaka 2024 na uchaguzi...
  11. Imalamawazo

    Tunataka kubadili Sheria ya Tozo ya Warfage kwa manufaa ya nani?

    Katika mjadala wa bajeti ya wizara ya uchukuzi 2024/25 baadhi ya wabunge wanalalamika tozo ya warfage kukusanywa na TRA. Wanataka sheria ibadilike ili tozo hiyo ikusanywe na TPA. Ikumbukwe kuwa hiyo tozo ya warfage ilikuwa inakusanywa na TPA lakini kutokana na malalamiko ya wadau juu ya bandari...
  12. Abdul S Naumanga

    SoC04 TANZANIA MPYA: Taifa Lenye Raia Wanaojiamini Wenye Kuleta Maendeleo

    Source: Kitini cha sheria UTANGULIZI Hapa nchini, kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu watanzania: je, ni wapole au waoga? Mjadala huu huibuka hasa pale ambapo raia hawaridhiki na vitendo vya mifumo ya utawala, kama vile suala la DP World, urasimu katika maofisi ya umma, na uonevu...
  13. B

    Tundu Lissu ni kiboko, wameshapitisha sheria sasa wanarudi kufafanua nini? Amemwibua Comrade Kinana!

    Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa. Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu masuala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz Uhuruz na Utawala bora, siasa na maendeleo. chawa wengi walijaribu Kujitutumua kumjibu ikashindikana...
  14. Kaka yake shetani

    Tuweke siasa pembeni, usomi ungekuwa unatumiwa mfano aliyepata uwaziri wa ardhi Jerry Silaa jinsi sheria anavyoweza kuitumia kwenye utendaji

    Sijawahi kumfatilia sana waziri wa ardhi, Jerry Silaa ila nilichomkubali baada ya kuona jinsi anavyochambua sheria za ardhi na jinsi ya kutatua migogoro kisomi na kijamii zaidi. Kama viongozi wengine wangekuwa mfano wa kuonesha elimu yao na utendaji tungekuwa mbali sana.
  15. DeepPond

    India yatengua Sheria ya Ubakaji katika ndoa, mume ruksa kumbaka mkewe

    Mahakama Kuu nchini India imetengua Sheria ya ubakaji ndani ya ndoa (marital rape act) ambayo mke katika ndoa aliweza kumshitaki mumewe mahakamani kwa kosa la ubakaji (kumuingilia bila na ridhaa yake) na kudai kulipwa fidia au mume kwenda jela miaka 15 au vyote kwa pamoja. Mahakama Kuu imesema...
  16. MINING GEOLOGY IT

    SoC04 "Miti Yetu, Maisha Yetu: Sheria Mpya ya Upandaji Miti Kuleta Matumaini ya Kupambana na Mabadiliko ya Tabia ya Nchi na Kustawisha Vizazi Vijavyo"

    Upandaji miti umekuwa suala la kutumia nguvu sana kwa sababu ya umuhimu wake mkubwa katika kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kuhifadhi mazingira. Hata hivyo, licha ya ufahamu wa umuhimu wa upandaji miti, jitihada zimekuwa za hiari au za kujitolea tu badala ya kuwa na sheria madhubuti...
  17. B

    CHADEMA kukosa neno, utawala wa Sheria Migomo Marekani; ni Pigo kwa Chama, na pia kwa Ukombozi!

    1. Kwamba kinachoendelea Marekani ni jitihada za Serikali ya huko kupinga haki ya watu kujieleza?! 2. Kutokuheshimiwa huku kwa wazi kwa misingi ya kawaida kabisa ya utawala wa sheria, ni wa kulaaniwa vilivyo na kila mtu na hasa mtanzania aliye mzalendo. 3. Kwamba CHADEMA chama tegemeo kwa...
  18. chlorine gas

    Serikali kichunguzeni hiki chuo Cha Mwanza Youth Center kimekuwa mwiba kwa wanafunzi kwa Sheria kandamizi ?

    Ndugu wananzengo habari ya asubuhi , Jamani wazazi tunatakiwa kuwa makini sana pale linapofikia suala la kuwatafuti watoto wetu vyuo kwa ajiri ya kupata ujuzi mbali mbali haya ninayoyasikia kutoka kwa wanafunzi ni hatari sana,wanafunzi wamekuwa wakilalamika kunyimwa uhuru wa kuhoji na mbali...
  19. Chachu Ombara

    Serikali kuja na sheria ya katazo la kuvuta sigara hadharani

    Naibu Waziri wa Afya akiwa bungeni amesema kuwa tayari Bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act, 2003” ambayo imetoa katazo la uvutaji wa sigara hadharani. Ameongeza kuwa sheria hiyo imezuia matangazo ya tumbaku na bidhaa...
  20. Abdul S Naumanga

    Ni nani aliyemuua Komando Muhammad Tamimu🤔? (Sehemu ya 3️⃣)

    "Kuepusha kuwachosha wasomaji, Swali pekee linalobakia katika mkasa huu ni Je, ni hatua gani za kisheria zilichukuliwa baina ya wahusika?. Jibu la swali hili tutakua nalo katika sehemu ya tatu ya mkasa huu. Kama ni embe, basi hapa tumefika kwenye kokwa, ndo kwanza utamu wa simulizi hii unaenda...
Back
Top Bottom