UTANGULIZI
Tanzania mitandao ya kijamii bado inatumika kama sehemu ya watu kutoa mawazo(stress), kupata habari nyepesi na udaku. Bado mitandao haijawa mahali salama sana kwa kizazi cha sasa na cha baadae kama hatutatengeneza mazingira salama kwa ajili ya wakati ujao. Bado haiaminiki, ina kundi...
Elimu ni ni sekta nyeti katika kila nchi dunian ukitaka kuharibu nchi haribu mfumo wa elimu kivipi kwa sababu ukiaalibu mfumo wa elimu umeshaharibu kila kitu kwa mfano ukialimu mfumo wa elimu ndio chanzo za madaktari wasio uelewa, wahandisi watakao tengeneza miundombinu chini ya kiwango na...
Ni nyumbani kwa mzee Masalu! Ubishi mkali unatokea kati ya mzee Masalu na kijana wake ambaye hataki Shule. Hataki shule kwa madai ya kua haoni mwanga mbele!
Hali hii imeanza kuota mizizi katika jamaa nyingi za kitanzania, wazazi na vijana wameanza kuwa na wasiwasi na shaka juu ya dhana nzima ya...
Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa kutupa amani katika nchi yetu ya TANZANIA pia nawashukuru JAMIIFORUMS kwa kuweza kuandaa hili shindano ambo litaleta mawazo ya kufikia kwenye TANZANIA TUITAKAYO miaka ya mbele.
Pili katika kuzungumzia mjadala wa TANZANIA TUITAKAYO napenda...
Kwa tathmini yangu ccm ndio chanzo kikubwa cha umaskini Tanzania. Kuna watu wema ndani ya ccm kama rais samia ila mfumo wa ccm sio mzuri kwa maendeleo ya taifa.
1. CCM inaifunika dola kitu ambacho ni kibaya.
2. CCM ni mnyororo wa matapeli wanaotumia ujinga wa watanzania.
Ujumbe huu umfikie...
STORY OF CHANGE MSIMU WA NNE (4)
Andiko linausu tanzania tuitakayo
Tanzania tuitakayo iwe bora katika mambo yafuatayo ni lazima tuifanyie mabadiliko katika sehemu zifuatazo ambazo ni;
Afya: Tanzania kma nchi ni lazima tufanye mabadiliko katika sekta hii ya afya hili tumpunguze adui mkubwa wa...
Upandaji miti umekuwa suala la kutumia nguvu sana kwa sababu ya umuhimu wake mkubwa katika kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kuhifadhi mazingira. Hata hivyo, licha ya ufahamu wa umuhimu wa upandaji miti, jitihada zimekuwa za hiari au za kujitolea tu badala ya kuwa na sheria madhubuti...
Mu hali gani wana JF
Nimehamasika kushiriki mijadala pamoja nanyi
Nimehamasika kuelimika kupitia JamiiForums
Nimehamasika kuheshimu kanuni na sheria za jukwaa
Nimehamasika kuwaheshimu nyote
Nimehamasika kusisitiza neno hili la fikra kwamba MABADILIKO YANALETWA NA SISI. Hakuna wengine zaidi ya...
Uchambuzi wa ACT Wazalendo kuhusu mpango wa bajeti wa Wizara ya katiba na sheria kwa mwaka wa fedha 2024/25.
Utangulizi.
Tarehe 29 April 2024 Wizara ya katiba na sheria iliwasilisha hotuba ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Bunge liliijadili na kuidhinisha kiasi cha Shilingi Bilioni...
Mito ni mwendo wa maji ambao unachukua maji kutoka maeneo ya juu kwenda maeneo ya chini kwa njia ya asili au ya kibinadamu. Kwa kawaida, mito huanzia katika vyanzo vya maji kama vile chemchem, maziwa, au barafu inayeyuka katika milima, na kisha maji hukusanyika pamoja na kuanza kusafiri chini ya...
Maana yake ni kwamba ili uwe na mafanikio makubwa sana lazima uanze na uhodari kiasi na uwe nao kwa muda .
Huenda watu hupokea vitu fulani kwa ubaya ndio maana vinawatesa.
Nilitamani sana kujua kwanini Hayati John Magufuri alipenda sana kuwakumbuka wanyonge.
Ila jibu nikalipata ni...
Mabalozi wamehimizwa kutumia taaluma, uzoefu na ujuzi tofauti waliokuwa nao kuharakisha mabadiliko ya kimfumo yanayoendelea ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Kauli hiyo imetolewa leo Aprili, 23, 2024 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka wakati...
MJADALA WA MAWAZO :
Kuongezeka kwa kiwango cha mvua kinaweza kusababisha mafuriko kutokana na sababu kadhaa, zikiwemo:
Mvua kubwa na ya muda mrefu.
Kuongezeka kwa kiwango cha mvua kunaweza kusababisha mvua kubwa na ya muda mrefu ambayo inaweza kuzidi uwezo wa mifereji ya maji ya asili...
Kutoka katika korido za Lumumba mpaka korido za Magogoni ma Chamwino, moto unawaka.
Yule mropokaji ametimiza kwa uzuri ile script yake aliyopewa kule Umasaini jana.
Kuna mabadiliko makubwa yanakuja katika baraza.
Kuna majina makubwa yataondolewa katika nafasi zao za sasa! Naambiwa wale wazee...
MABADILIKO MAKUBWA YANAKUJA DUNIANI:
Hivi sasa ukiwa makini na mfuatiliaji wa habari za kitaifa na kimataifa,utagundua haraka sana kwamba dunia inabadilika, na unabii unatimia, kwa haraka sana!
Nchi ambazo ni maarufu na zenye nguvu za kiuchumi hivi sasa,yaani wale G7,watapotea na kufifia muda...
1. Chawa bila kujali sekta ni janga lisilokuwa na tija.
2. Chawa huwa hawaoni wala kusikia dosari kuwahusu.
3. Kaulii hizi: "barabara ndefu haikosi kona" au "mwanamke mrembo hakosi kasoro," hazina maana yoyote kwao.
Makundi haya yanahusika:
a) Chawa wa mama: Hawa huwaambii kitu kumhusu bi...
Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha.
Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na...
History is the study of past,present and future events maana hii nazani nwaliosoma o level ndiyo walikuwa wanaitumia katika mitihani,historia ya bara la afrika imeandikwa kwenye waandishi tofauti kina walter Rodney,smith na wengineo.
Historia ipo kwa lengo la kuonesha GAP au MAPUNGUFU ili watu...
Watanzania wameonekana kuunga mkono kwa kiasi kikubwa mipango inayolenga kupunguza uzalishaji wa gesi ya methane na kushughulikia mabadiliko ya hali ya hewa. Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Global Methane Hub, shirika la kibinadamu linalojitolea kupunguza uzalishaji wa methane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.