uvccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    UVCCM Kuendelea Kuenzi Mahusiano ya Kidugu ya CPC China na CCM

    UVCCM KUENDELEA KUENZI MAHUSIANO YA KIDUGU YA CPC YA CHINA NA CHAMA CHA MAPINDUZI Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amekutana na Balozi wa China nchini, Mhe. Chen Mingjian, tarehe 07 Mei 2024 Ofisi za Ubalozi wa China...
  2. Nkarahacha

    Kada wa CCM kutoka Muleba Mohamed Ismail, amemtaka Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan kujiuzulu

    KADA WA CCM AMJIA JUU MWENYEKITI WA UVCCM KAGERA. Kada wa CCM kutoka wilaya ya Muleba Ndg,Mohamed Ismail wakati akizungumza na Waandishi wa habari amemtaka Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Ndg,Faris Buruhan kujiuzulu kama hawezi kujitokeza hadharani na kufuta kauli yake ya kupoteza watu...
  3. Kiboko ya Jiwe

    Kijana anayejiunga UVCCM hana ajira, pia hana mtaji wa maana, ukiwaondoa watoto wa viongozi ambao wanataka kurithi viti vya wazazi wao

    Tangu UVCCM hii ya 2000's ipambe moto kudahili vijana mashuleni, vyuoni na mitaani hakuna kijana mwenye ajira ya uhakika (permanent & attractive salary) amejiunga na UVCCM na kujishughulisha nayo. Vijana waliosota na ukosefu wa ajira uliosababishwa na CCM ndio hukimbilia UVCCM wakisubiria...
  4. Superbug

    Laiti UVCCM wangejua chama chao ndio chanzo cha umaskini kwa kuitumia dola kuzuia mabadiliko wangekihujumu kwa maendeleo mapana ya Taifa

    Kwa tathmini yangu ccm ndio chanzo kikubwa cha umaskini Tanzania. Kuna watu wema ndani ya ccm kama rais samia ila mfumo wa ccm sio mzuri kwa maendeleo ya taifa. 1. CCM inaifunika dola kitu ambacho ni kibaya. 2. CCM ni mnyororo wa matapeli wanaotumia ujinga wa watanzania. Ujumbe huu umfikie...
  5. A

    Kamachumu, Muleba: Msafara wa M/Kiti wa UVCCM Kagera waua watoto wawili

    MSAFARA WA FARIS WAUWA WATOTO WAWILI KAMACHUMU MULEBA. Msafara wa Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Biruan umewagonga na kuwauwa watoto wawili huku wengine wakijeruhiwa. Ajali hiyo imetokea Kata Kamachumu wakati kiongozi huyo akitoka kwenye ziara yake katika wilaya ya Muleba. Watoto...
  6. M

    Mambo ya ovyo yanayoendelea UVCC mkoani Kagera

    MWENYEKITI WA UVCCM MKOA KAGERA UNAUDHALILISHA MKOA SASA NI WAKATI WA KUJIUZURU MARA MOJA. BUKOBA KAGERA. Mkoa wa Kagera Jumuiya ya Mkoa wa Vijana (UVCCM) ilipata mwenyekiti mpya ambaye aliingia kwa uchu na matumaini ya kuwasaidia vijana. Lakini baada ya muda mambo yamekuwa tofauti sana...
  7. kagoshima

    Upendeleo wa Jeshi la Polisi kwa Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, Faris Buruan

    Nawaza tu angekuwa kiongozi wa BAVICHA au ACT Wazalendo katoa lugha au vitisho au kauli ya uvunjifu wa amani kama iliotolewa UVCCM kiongozi mkoa wa Kagera. Polisi wangemkamata kwa kosa la lugha ya uchochezi Angeteswa na kuzungushwa huku na huko vituo vya polisi Ungesikia hata msajili wa viama...
  8. J

    Maazimio ya UVCCM kwenye kongamano la miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    MAAZIMIO YA UVCCM KWENYE KONGAMANO LA MIAKA 60 YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 🗓️21Aprili, 2024 📍Zanzibar Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wameanzimia mambo yafuatayo katika Kongamano la UVCCM kuelekea Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 1. Vijana wa Chama cha...
  9. P

    Angekuwa amesema wa chama kingine au mwananchi wa kawaida angepewa kesi ya uhaini au uchochezi, Mwenyekiti UVCCM Kagera amechukuliwa hatua gani?

    Wakuu kwema? Tumekuwa tukishuhudia wasanii na wanasiasa kutoka vyam vya upinzani kuchukiliwa hatua wakikosoa upinzani kwa kupewa kesi za ugaidi na uchochezi. Akina Nay Wamitego na aliyeimba wanatuona manyani tu (Tanzania yetu) walivyotaabishwa, akina Mbowe chama chao kimekuwa na nenda rudi za...
  10. chiembe

    Dkt. Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali

    Ndio hivyo, kiongozi anatakiwa kupinga mambo ya kijinga hadharani. Tunasubiri la kijana wa Arusha. --- Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekemea kauli zinazoweza kutolewa na vijana wa chama hicho juu ya kuwapoteza watu wanaowapinga: “Huyu ni kijana wetu kasema...
  11. R

    Upinzani hasa CHADEMA toeni neno kuhusiana na matamshi ya huyu kijana wa UVCCM Bokoba, haya siyo ya kudharau

    Amesema watawapoteza wanaomtukana Samia. Kutukana huwezi kujua yeye anamaanisha nini! Hata kumkosoa Samia kwa akili za watu kama hawa na matamshi kama haya, watasema ni matusi. Na as long as wana vyombo vya ukandamizaji msidharau kauli hizi.
  12. GENTAMYCINE

    CCM ya sasa ingekuwa smart ingemkana Mwenyekiti UVCCM Kagera. Kwa kunyamaza ni kama wanathibitisha ni wauwaji

    Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi hivi sasa kuinyamazia ni Uthibitisho kuwa kwanza wao (CCM) ndiyo wamemtuma huyu mpumbavu kusema vile. Lakini pia ni Uthibitisho usio na...
  13. D

    Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

    Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha. Onyo hilo limetolewa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan wakati wa ziara yake wilayani...
  14. Pfizer

    Mbaraza Kachebonaho akabidhi pikipiki tatu kwa UVCCM Temeke

    Mjumbe wa baraza Kuu Taifa Ndugu Leodger Kachebonaho Mapema Leo amekabidhi Pikipiki tatu zenye thamani ya shilingi 9,900,000 (Milioni tisa na laki tisa) Kama mradi wa UVCCM WILAYA YA TEMEKE. Katika Hafla ya makabidhiano hayo yaliyofanyika Aprili 14, 2024 katika Ofisi za CCM (W) TEMEKE , Ndugu...
  15. Stephano Mgendanyi

    UVCCM Wawasili Rufiji Kutoa Faraja kwa Wananchi

    ✳️UVCCM WAWASILI RUFIJI KUTOA FARAJA KWA WANANCHI. Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamewasili Rufiji mkoani Pwani kutoa faraja na kuwajulia hali wananachi wa Rufiji...
  16. Stephano Mgendanyi

    UVCCM yachangia wheel chairs tano kuunga mkono taasisi ya Mama Ongea na Mwanao

    ✳️ UVCCM YACHANGIA WHEEL CHAIR TANO (5) KUWAUNGA MKONO TAASISI YA MAMA ONGEA NA MWANAO 🗓️07 Aprili, 2024 📌Karimjee, Dar es Salaam. Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi imechangia Wheel Chair tano kuunga mkono jitihada zinazofanywa na taasisi ya Mama ongea na Mwanao ya kuwasaidia...
  17. J

    Jokate Mwegelo ni kiungo sahihi cha utendaji UVCCM

    Anaandika Humphrey Shao wa Msakuzi Kaskazini. kiongozi ni lazima awe ni yule anayejishugulisha kufikri kwa sababu ya watu na awe anaendana na watu anawaongoza naona huu ndio Mtazamo uliomuongoza Dkt. Samia Suluhu Hassan kumchagua Mdada Mtanashati Ndugu Jokate Urban Mwegelo kuongoza jumuiya...
  18. Stephano Mgendanyi

    UVCCM Wilaya ya Chato watakiwa kumuenzi Hayati Magufuli kwa kuchapa kazi

    CDE. REUBEN SAGAYIKA AWATAKA UVCCM CHATO KUMUENZI MAGUFULI KWA KUCHAPA KAZI Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Chato wametakiwa kumuenzi Rais wa awamu ya tano, Hayati Dkt. John Magufuli kwa kuchapa kazi na kuiishi slogan yake ya Hapa Kazi Tu. Wito huo umetolewa na Mjumbe wa...
  19. Stephano Mgendanyi

    Jesca Magufuli achangia Ujenzi Nyumba ya Katibu UVCCM Wilaya ya Chato. Asisitiza Kumuenzi Hayati Magufuli

    "Mimi nikasema si vibaya nikajumuika na vijana wenzangu (UVCCM) Wilaya ya Chato katika ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UVCCM Wilaya ya Chato na kuhakikisha inakamilika, nikasema nichangie kidogo nilichobarikiwa kuhakikisha kazi za Chama na pia siyo mwisho, nitaendelea kuchangia zaidi na zaidi...
  20. K

    DOKEZO Mwenyekiti wa UVCCM Kata ya Bwilingu (Chalinze-round about) Ndugu Abdul Nasa anatumia vibaya cheo cha baba yake

    Mwenyekiti wa Vijana CCM (UVCCM), Kata ya Bwilingu (Chalinze-round about) Ndugu Abdul Nasa ameendelea kukitumia vibaya cheo cha baba yake (Diwani Kata ya Bwilingu Jimbo la Chalinze). Inadaiwa alifanya jaribio la kujeruhi na kushindwa kuchukuliwa hatua yoyote ya kinidhamu ndani ya chama kutokana...
Back
Top Bottom