maajabu

  1. Kiboko ya Jiwe

    Kwangu Mzee Kikwete ndiye baba wa Taifa, hao wengine mnaowasifu hawana maajabu

    Hello! Mambo mengi munayoyaona katika taifa hili yalifanyika kipindi cha Rais Kikwete na yale yaliyofanyika kipindi cha Magufuli na Samia mengi yaliasisiwa au kutiliwa mkazo zaidi kipindi cha Kikwete. Kipindi cha Magufuli tumetangaziwa viwanda hewa maelfu kwa maelfu, kipindi cha Samia sijui...
  2. Meneja CoLtd

    Maajabu ya lugha ya kingereza (sehemu ya tatu). sheria ya T T zinapokutana

    Habari zenu wana JF! Hii makala imebidi niiandike kwaniaba maana nimeona baadhi ya watu hawaijui hii sheria ya T T zinapokutana katika lugha ya kingereza T zinapokutana basi T moja haitamkwi na T iliyobaki inatamkwa kwa kukazwa. Mfano: 1. streeT Town. Neno hili litatamkwa stree 'Town. 2...
  3. Meneja CoLtd

    Maajabu ya lugha ya kingereza (sehemu ya pili). Kwanini wazungu hatuwaelewi?

    Baada ya kuisoma asili ya lugha ya kingereza katika makala ya kwanza leo tutatoa jawabu la swali ambalo wapenzi wengi wa lugha ya kingereza wamekua wakijiuliza, KWANINI WAZUNGU HATUWAELEWI WAKIONGEA BAADHI YA MANENO KWA KINGEREZA? Jawabu la swali hili ni rahisi tu, kwanza unatakiwa uwe na...
  4. K

    Maajabu: Maraisi wastaafu wa USA wanafungua maktaba wetu wataka kujengewa maikulu binafsi!

    Maraisi wastaafu wa USA wanafungua maktaba tena kwa kuchangiwa wa watu. Wapendwa wetu maraisi wazalendo eti wanataka kujengewa nyumba kama Ikulu na wenza wao kulipwa. Hawajali hali ya wananchi, mabadiliko waliyofanya na historia wanayoacha zaidi ya matumbo yao. Sijasikia wazo la maktaba...
  5. all about

    Tazama maajabu haya 6 aliyonayo binadamu

    1. Hakuna mtu ambaye yuko bize muda wote. Inategemea tu uko nafasi gani kwenye orodha ya vipaumbele vyako. 2. Amini usiamini, unaweza kuwa na chochote unachotaka, uwezo wako hauna kikomo. 3. Kila mtu anajaribu kupata mtu sahihi lakini hakuna anayejitahidi kuwa mtu sahihi. 4. Pesa ni namba na...
  6. Meneja CoLtd

    Maajabu ya lugha ya Kiingereza (Sehemu 1)

    Utamkaji wa maneno ya kingereza unatofautiana sana katika dunia, na hii yote inatokana na kuenea kwa lugha ya kingereza duniani. Duniani ambapo watu wake wanatofautiana tamaduni, desturi na hata lafudhi, nahii kupelekea baadhi ya maneno ya kingereza kua na utamkaji tofautitofauti. Lakini asili...
  7. mdukuzi

    Maajabu ya Zanzibar, hawalimi, hawafugi lakini wanakula wanashiba

    Aliyesema kilimo ni uti wa mgongo au kale kamsemo ka mhenga kuwa kama mnataka mali mtayapata shambani aje Zanzibar. Hata ule msemo wa kwenye bible kuwa asiyefanya kazi asile aje Unguja atengue kauli yake. Unguja nzima ng'ombe walioko hawazidi 1000, mashamba yaliyopo yanatosha kulisha wilaya...
  8. OMOYOGWANE

    Fredy Koublani ni mchezaji mzuri sana akitumiwa vizuri ataisaidia sana SIMBA SC atafanya maajabu NBC PL.

    Mimi naomba nitofautiane kidogo na wadau wengi wa jukwaa hili hasa hasa wana YANGA wenzangu na mashabiki wa simba SC wanaodai Fredy Koublan ni garasa. Huyu mchezaji namfananisha na the great khali (kwa walioangalia mieleka miaka ya 2005 watakua wanamjua vilivyo) Ana mwili mkubwa, ni mrefu...
  9. M

    Mambo ya ovyo yanayoendelea UVCC mkoani Kagera

    MWENYEKITI WA UVCCM MKOA KAGERA UNAUDHALILISHA MKOA SASA NI WAKATI WA KUJIUZURU MARA MOJA. BUKOBA KAGERA. Mkoa wa Kagera Jumuiya ya Mkoa wa Vijana (UVCCM) ilipata mwenyekiti mpya ambaye aliingia kwa uchu na matumaini ya kuwasaidia vijana. Lakini baada ya muda mambo yamekuwa tofauti sana...
  10. BICHWA KOMWE -

    Maajabu: Simba dume wakipandana. Je, wanasayansi mko wapi?

    Hivi hawa simba hawayajui maadili yetu ya Kitanganyika au kisirani tu? Mbona tulishaelezana sana humu kuhusiana na mila za kitanganyika mpaka tukaandika majarida! Video imewabamba simba dume watatu katika mbuga ya Serengeti wakipandana kwa zamu na kwa hamasa ya hali ya juu sana! Sijui ni...
  11. James Hadley Chase

    Yajue ya Tanga Mjini na maajabu yake

    1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani. 2- Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro! 3- Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree. 4- Ndio jiji lenye baiskeli za kukodi kama bodaboda na kiti chenye sponji. 5- Disco wanapiga taarabu. 6- Hakuna...
  12. Dumas the terrible

    Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

    Kwema wanajamvi jukwaa la wenye kuumiza vichwa? Basi powa twende sasa, Huko Paiba Brazil kuna Mwamba au Jiwe kubwa lenye 250 feet in Length, Hilo limwamba ligumu lina michoro ya kushangaza sana, Michoro hiyo inayokadiriwa kua na umri wa miaka 6,0000 kwa makadirio ya kawaida inaacha utata mkuu...
  13. Aramun

    Maajabu: NHIF yashika namba 1 kwa mashirika ya umma yanayotengeneza hasara

    Maajabu hayatakaa yaishe Tanzania. Dhirika linalokusanya mabilioni kwa mwezi ndilo linaongoza kutengeneza pia hasara kwenye nchi. Kwa hali hii bima kwa wote ni ndoto za mchana. Sheria imeshatungwa lakini kwa kufosi sana. Tetesi ni kwamba feasibility study ya wataalamu ya bima kwa wote ilionesha...
  14. THE FIRST BORN

    Hii ndiyo Derby yenye Maajabu sijawahi sikia wala ona

    Habari Mwanajukwaa. Kesho Tarehe 20 siku ya Jumamosi kunaenda kupigwa Mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga Vs Simba. Ila moja ya kitu ambacho hua kina staajabisha katika huu Mchezo ni Moja ya sifa ya Kipekeee kabisa ya Derby hii na huu upekee unaifanya hii Derby itofautiane na Derby zote...
  15. M

    Maajabu ya bbc swahili

    Ktk page yao wanAnalalamika Palestina kupewa na Iran . Halafu wnalalamika Ukrain kunyimwa pesa na Marekani ili kupambana na Urusi Bbc swahili website yenu ibadilike. Waandishi wasiwe bias. Waislam pia tunaipitia page hio Pasaka njema. Waandishi waislam mnaofanya kazi humo ktk vikao vyenu...
  16. R

    Maajabu ya vyoo vya umma!

    Salaam, Shalom!! Nimewahi kuwa kiongozi wa wanafunzi katika shule Moja katika Moja ya mikoa ya nyanda za juu kaskazini, Mbali na matumizi mabaya ya vyoo vya shule, Kuna jambo Moja ambalo Hadi Leo sijawahi kujua lilitokana na nini, Yaani unaingia chooni, unakutana na gunzi la muhindi...
  17. Ricky Blair

    Maajabu ya Dunia

    Nachojiuliza ni kwanini Uganda, Mozambique na Gabon zipo kw hii organization ya Waislamu wakati idadi yao ya waislam ni chini ya asilimia 20% na Central African republic pia observer ila pop yao chini ya 20% kama Urusi.
  18. Friedrich Nietzsche

    Naombeni Msaada kutumia Siri(AI) wa iphone

    Aisee mi siwezi kutumia hiki kidude wanachokiita SIRI (AI)…
  19. M

    Mamelodi hana maajabu lazima atolewe, Yanga anaenda nusu fainali kwa kishindo ijumaa ijayo

    kila msimu mamelodi huwa anatolewaga kwenye hizi hatua za mtoano. hizi ndio records zake mfululizo zamu ya yanga kumtoa imeshafika
  20. GENTAMYCINE

    Ninachokiona zaidi kwa Fowadi Jobe wa Simba SC ni Kuinua tu Mikono juu kama Trafiki wa Mbagala ila hana Maajabu yoyote

    Nani ndani ya Simba SC aliamua Phiri na Baleke waachwe na waje hawa Mafowadi Michosho na Vituko akina Fred na Jobe.
Back
Top Bottom