1. Hakuna mtu ambaye yuko bize muda wote. Inategemea tu uko nafasi gani kwenye orodha ya vipaumbele vyako.
2. Amini usiamini, unaweza kuwa na chochote unachotaka, uwezo wako hauna kikomo.
3. Kila mtu anajaribu kupata mtu sahihi lakini hakuna anayejitahidi kuwa mtu sahihi.
4. Pesa ni namba na...
Katika jamii yetu ya kitanzania asilimia kubwa inatumia vyombo vya plastiki kunywea na kulia chakula, lakini nimekuwa nikisikia kuwa plastiki ina madhara makubwa kwa afya ya binadamu, wapo wanaodai inasababisha saratani, wengine inamaliza nguvu za kiume kwa wanaume na mambo mengi.
Je, ni kweli...
Nilishaona hilo likifanyika nilipokuwa mdogo. Jirani yetu aliyekunywa sumu alinyweshwa mkojo wa binadamu kwa ajili ya kumtapisha.
Miaka mingi baadaye, nikiwa nimeshahitumu Chuo, tukio kama hilo lilitokea tena jirani na kwetu. Binti mmoja alikunywa sumu, na kabla ya kukimbizwa hospitalini...
Salaam wandugu,
Kumekuwa na malalamiko mengi sana yatokanayo na mambo ya mahusiano,uchumba na ndoa. Malalamiko haya mara nyingi yamesababishwa na kitu kinachoitwa UAMINIFU. Mwanaume anataka mke awe wakwake peke yake na mwanamke anataka mume awe wakwake peke yake.
Sasa hayo yameshindikans...
Utangulizi:
Matumizi ya dawa za asili yamekuwa ni sehemu muhimu ya utamaduni na afya katika jamii nyingi nchini Tanzania. Hata hivyo, ongezeko la matumizi ya dawa hizi limeibua hoja ya kuwepo kwa mfumo thabiti wa udhibiti na uhifadhi wa dawa zilizothibitishwa ili kuhakikisha usalama na ufanisi...
Kila mtu wangu wa karibu aliyefanikiwa kupelekwa polisi Kigoto maeneo ya Kirumba alirudi na kusimulia upendo uliopita kiasi ndani ya Jeshi la polisi nchini.
Inasemekana ndani ya selo za Kigoto watu wanapata chakula bora na cha kutosha na kwa wakati, hamna mateso ya aina yoyote ile tofauti na...
Inawezekana je huduma za msingi(basic) kama maji, dawa, umeme, barabara vikakosekana na walio na jukumu hilo wanaona poa tu?
Binafsi nashindwa kuelewa.
Habari wakuu,
Baada ya kuijadili kwa kina thread yetu pendwa Akili ya binadamu katika huo uzi mimi nilikuwa mchangiaji mkuu, niliichambua na kuielezea akili ya binadamu ktk angle ya kibaiolojia, nikiri tu kwa kusema kuwa akili ya binadamu ni complex sana huwezi kuichambua ktk angle moja peke...
LHRC wakishirikiana na Zanzibar Fighting Against Youth Challenges Organization (ZAFAYCO) wanazindua ripoti ya Haki za binadamu 2023.
Ripoti inatazamia kuonesha hali ya Haki za Binadamu Zanzibar na Tanzania Bara kwa mwaka 2023.
Ripoti hii ni ya 22 kutolewa na LHRC tangu 2002...
Mnamo Aprili 18, 2024, Benki ya Dunia imesitisha mara moja utoaji wa fedha kutekeleza mradi wa REGROW nchini Tanzania kuanzia mara moja. Hatua hii ni baada ya taasisi ya Oakland Institute kufanya advocacy kwa niaba ya niaba ya wakazi wa maeneo ambayo wataathiriwa na mradi huo.
Mradi huo wa dola...
Kwema wanajamvi jukwaa la wenye kuumiza vichwa?
Basi powa twende sasa,
Huko Paiba Brazil kuna Mwamba au Jiwe kubwa lenye 250 feet in Length,
Hilo limwamba ligumu lina michoro ya kushangaza sana,
Michoro hiyo inayokadiriwa kua na umri wa miaka 6,0000 kwa makadirio ya kawaida inaacha utata mkuu...
Mkurugenzi Mkuu
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA)
S.L.P 1253 Dodoma / 77150 Dar Es Salaam.
Barua pepe: info@tmda.go.tz
Tovuti: www.tmda.go.tz
Yah: PENDEKEZO LA UTARATIBU WA KUSHUGHULIKA NA DAWA ZISIZOFAA KWA MATUMIZI NCHINI
Baadhi ya tafsiri:
Dawa zisizofaa kwa matumizi: Ni zile bidhaa...
Katika kuhakikisha usalama wa maisha ya watu wilayani Rufiji, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imefanya msako wa mamba wanaotajwa kutishia maisha ya watu kutokana na kusogea karibu na makazi ya watu kufuatia kusafirishwa na mikondo ya maji yaliyosababishwa na mafuriko...
Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa...
Hii ni kwa Kiranga na mshamba_hachekwi , naomba maoni yenu 🤔
Dini lengo lake kuu ni kuwaunganisha watu kuwa katika udugu mmoja kwa ufunuo wa chanzo kimoja cha asili, lakini dini imekuwa tofauti imekuwa uwanja wa ubishani nani yupo sahihi?
Lengo la jumla la dini halipo ila lipo lengo la...
Nimesoma kitu kinachoitwa usafirishaji haramu wa binadamu huko Duniani na mbinu zinazotumiwa. Takwimu zinaonyesha kwamba hii biashara ni kubwa labda namba tatu baada ya biashara ya silaha na madawa ya kulevya.
Nimejikuta kusoma kutokana na kuona ndani ya wiki mbili zimekamatwa V8 tatu nchini...
Hizi ni nchi hatari zaidi kwa watetezi wa uhai.Hunyonga mamia kwa mamia kila mwaka.
China watu zaidi ya 1000 kwa mwaka
Iran watu zaidi ya 500 kwa mwaka
Saudi Arabia watu zaidi ya 150 kwa mwaka.
Makosa ikiwa ni wanasiasa wa upinzani,madawa,ushoga ,Rushwa na uhaini
IRAN pia ilinyonga watu...
Habari za asubuhi wana JF poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku ilimradi njia ya kwenda msalani isiote nyasi.
Husika kwenye mada iliopo hapo juu sijui ni kwanini sisi binadamu hasa tuliotokea maisha magumu yaani mtu kanunua gari tu, kajenga nyumba au kapata kazi basi ni vurugu huko...
Binadamu ni project au mpango wa viumbe wa sayari ya mbali ambao walimtengeneza binadamu kwa ajili ya kazi yao ambayo ilikuwa ni kufanya kazi katika migodi ya dhahabu.
Sayari ya Dunia Ilivyotokea na kuwa kitovu cha dhahabu (A Planet Of Gold)
Kabla ya miungu ya juu haijakuwapo. Sayari ya Ki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.