Rafiki yangu mpendwa,
Kila mtu aliye hai, ambaye ana shughuli yoyote ya kumwingizia kipato, anao uwezo wa kujenga utajiri kwenye maisha yake.
Ndiyo, nimesema kila mtu, hata wewe unayesoma hapa, bila ya kujali unaanzia wapi, uwezo wa kujenga utajiri tayari unao.
Kama unashangaa huo uwezo uko...
Wakati nasoma chuo nilikuwa ni mtu mwenye mawazo mengi yakinitawala kwa wakati huo kichwa changu kilikuwa ni kama jalala kimejaa matatizo kibao ya kibinafsi,hasa katika mambo ya kigiza I actually sijawahi kuexperience ndoto mbaya kama wakati huo,sikuweza kuexperience maisha magumu zaidi kama...
Jf salaam.
Kwa namna Moja ama nyingine naweza kukukwaza ama ukaingia kwenye Moja ya watu Hawa nitakao wataja hapa. Mimi ni binadamu kama binadamu wengine napenda na kusitopenda pia.
Kwahiyo kama ukiangukia kwenye kundi la watu nisiowapenda elewa hivyo tu kuwa sikupendi hakuna mbadala wake...
Form 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo, Cami, Raum, Rav 4 na IST. 😂
Hizi chuma zinasukumwa na “WAHUNI” tu wanaojua kumani-PULATE mfumo!! ✍🏾
#SOS
Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake,
lissu ni mtu asiye na shukurani wala kumbukumbu kuwa wakati amenyukwa zile njugu na kupata ugumu wa ndege kuruka na hicho chama chake hawapo busy kushughulikia suala lake upande wa pesa.
Alijitolea mbunge na kada wa ccm...
♦️Binadamu ni viumbe wa ajabu sana. Watu wakikuona una uwezo wa kufanya jambo fulani, au pengine wewe ni miongoni mwa watu ambao una ushawishi fulani kwenye Jamii, watataka kukutumia ili kufanikisha mambo yao, na baada ya kufanikisha hayo mambo yao wewe uliekua nyuma ya hayo mafanikio yao kamwe...
Wakuu nina swali??
LEO KATIKA PITA PITA ZANGU
Nimekutana mtandao (Whatsapp status) na dogo mmoja tulikutana ofice moja hapa jijini wakat nasajili campuni yetu.Kwakua yeye alikua very educated kwene haya maswala niliomba namba yake awe ananisaidia maana wao ndo walikua wanamalizia usajili namm...
Sioni mantiki ya kuwapa wanachuo elfu 10 ya kujikimu.
Tuongee tu uhalisia ,hiyo elfu 10 ni pesa ya mume ,mke na watoto ,sasa huyo mwanafunzi mnayempa elfu 10 kwa siku ya matumizi anakula au anatumia nini haswa ambacho ni tofauti na mtanzania mwengine wa maisha ya wastani?
Wanafunzi wakumbuke...
Vijana wengi tunachangamoto ya kupata kianziO au mtaji kwajili ya kuanzisha biashara ndogondogo masikani kwetu.
Unaweza kutimiza Ndoto zako sasa na kujitengenezea kipato kikubwa kitakachokidhi mahitaji yako bila kujairiwa na mtu yeyote
Karibu kwenye site ya mafunzo ya kufanya biashara...
Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku).
Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke.
Mimi bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana, Mungu nikumbuke.
Nimekonda, hadi mwezangu wanadhani naumwa, na pepesuka hali mbaya sana. Venue...
Mwanzo wa Safari ya Maisha ya Kijana Mmoja Jina Lake Hamisi
Kijiji cha Nyumbani; Hamisi alizaliwa na kukulia katika kijiji kidogo cha Ngongoseke, kilichopo katika Wilaya ya Kondoa, Mkoa wa Dodoma. Kijiji hiki ni mojawapo ya vijiji vingi vya Tanzania vinavyokabiliwa na changamoto za miundombinu...
☺️☺️☺️☺️☺️Let’s go☺️☺️☺️☺️☺️
1. Kwanza kabisa furaha unaweza ukaitengeneza wew mwenyew, ivo furaha ni chaguo. Unaweza kuchagua kuwa na furaha, hata unapokabiliwa na changamoto.😊
2. Furaha si kuhusu kuwa na kila kitu unachotaka. Ni kuhusu kutaka kile ulicho nacho.☺️
3. Furaha si kuhusu kuwa...
1. Ongea kidogo na usikilize zaidi. Na unapokuwa na jambo la kusema, limaanisha na watu watakuwa na shauku ya kukusikia ukizungumza.
2. Usibishane kamwe na watu kwenye masuala kama vile dini, siasa na mabishano. Unaweza tu kukubaliana nao au kuwapuuza na kuondoka. Ukitaka kubishana nao juu ya...
Nekta ya Maisha Halisi:
Muigizaji Vin Diesel aliachana na mpenzi wake kwa miaka 3, lakini walipoachana, hakumtaka aondoke nyumbani kwake, alikuwa na wasiwasi kwamba angeishi katika kiwango cha chini, kwa hivyo alimwachia nyumba ya ndoa na kwenda kupanga. nyumba ndogo karibu naye.
Pia alikuwa...
nikivuka huu mwezi bila kulala kituo cha polisi sijui
tokea mwezi wa nne nimekuwa na mabalaa kwenye kazi yangu ya ufundi yaani hata sijui inatokeaje
kuna mteja aliniletea tv nch32 ilikuwa ya kubadilisha taa nikamchaji 60 sasa nikafanya kazi yake tu mapema nikampigia simu aje achukue akaniambia...
Je ni;
1: Juhudi, Maamuzi na Muda
2: Astrology (nyota kutokana na mwezi wa kuzaliwa)
3: Bahati (ngekewa)
4: Numerology (namba kutokana na siku uliozaliwa)
5: Mapenzi na Kibali cha Mungu
6: Baraka au Laana ya vizazi/ukoo wenu.
7: Ukubwa au udogo wa Nyota yako
Karibuni
Je, ulishawahi kujiuliza kwanini wahudumu wote wa mlimani city ni pisi kali?
Kwanini asilimia kubwa ya wahudumu wa ndege (air hostes) ni pisi kali?
Kwanini wahudumu wa Baa asilimia kubwa ni pisi kali?
Kuna siri gani haswa? Je, mvuto ni sura (muonekano wa nje)? Mvuto ni kitu gani? Mtu mwenye...
Habari Jamii!
Nimekuwa nikifikiria sana jinsi teknolojia inavyobadilisha jinsi tunavyoishi na kufanya kazi leo. Kutoka kwa simu zetu za mkononi hadi kwa matumizi ya AI, teknolojia inaingilia kati kila sehemu ya maisha yetu.
Nataka kuanzisha mjadala kuhusu athari za mabadiliko haya. Je...
Yaani maisha yao ni mazuri kweli na ya kifahari mno. Nyumba na vyumba wanazoishi mtaani ni za maana sana, na ndani ya nyumba zao kumekamilika kila idara, sijui wanalipwa mshahara huko vyuoni siku hizi.
Wanaishi kama wafanyakazi wa mashirika flani hivi ya kimataifa, haonekani akienda chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.