bando

Bando (Burmese: ဗန်တို, pronounced [bàɰ̃dò]) is a defensive unarmed martial art from Myanmar. Bando is sometimes mistakenly used as a generic word for all Burmese martial arts, but it is only one martial art; Burmese fighting systems collectively are referred to as thaing.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JE UNATUMIA SIMU KUBWA NA HAIKUINGIZII KIPATO CHA KUKIDHI MAHITAJI YAKO?

    Vijana wengi tunachangamoto ya kupata kianziO au mtaji kwajili ya kuanzisha biashara ndogondogo masikani kwetu. Unaweza kutimiza Ndoto zako sasa na kujitengenezea kipato kikubwa kitakachokidhi mahitaji yako bila kujairiwa na mtu yeyote Karibu kwenye site ya mafunzo ya kufanya biashara...
  2. B

    Vodacom, compensation hii ya bando ni kwa kutuona je?

    1. Kwamba huduma zenu ni kwa muda na kwa MB za bando? 2. Kwamba bando hu expire kwa siku au MB kuisha kutegemea kipi kinakuja mapema? 3. Kwamba mtandao umesua sua kwa takribani wiki nzima, ila nyie fidia yenu ni kwa masaa 24 tu, tena kuanzia usiku wa manane? 4. Hivi ni kwa kutuona je enyi...
  3. BabuKijiko

    Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti?

    Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti? Binafsi yangu zijapokea mbs zangu ambazo nilishindwa kutumia wakati ntaneti ilivyokata
  4. OMOYOGWANE

    Simba kuna chawa, wanasafiri kila timu inapokwenda, wanalipiwa hadi bando kuandika uzushi mtandaoni

    Kuna mtu namjua na kumfahamu vilivyo, ni kijana msomi ana elimu nzuri ila kawa chawa, Kila timu inapokwenda kucheza na yeye huenda, ni miongoni mwa wale vijana wa kibegi cha makombe na kapu la magoli, na anamulikwa sana na camera za azam, ana kitambulisho maalumu, anapewa mpaka access ya kupiga...
  5. Tlaatlaah

    Unatumia muda mwingi na bando kubwa zaidi ya data kwenye platform ipi ya mtandao wa kijamii?

    kwa siku, wiki, mwezi au mwaka kwa upande wako unaspend muda mrefu na bando kubwa zaidi ya data ukiwa kwenye ukarasa upi miongoni mwa kurasa nyingi tu, za mitandao ya kijamii humu duniani, mathalani Facebook, X, Instagram, JF nakadhalika? na unatumia sana platform hiyo na data kubwa sana kwa...
  6. P

    Ukikusanya bando za internet umenunua ndani ya miaka 5 ungekuwa umenunua kitu gani cha thamani?

    Wakuu kwema? Pasaka inaenda vyedi? Wenye mko kwenye mfungo, swaumu njema. Jamani bando ni gharama ni gharama si mchezo hasa kwa watu wanaotegemea bando kufanya shughuli zao, kama mnavyojua mambo mengi sasa hivi yanamalizika mtandaoni. Bando ni gharama kubwa sana, na hazikai! Unaweka bando la...
  7. Masikio Masikio

    Exposure unaipata sehemu yoyote ile as long un smartphone na bando

    Bado kuna watu wanaamini ili uwe na exposure lazima uende abroad kwa dunia ya science na technologia unahitaji tu simu yako ya smartphone na bando utajifunza jambo ambalo unalitaka Sikatazi watu kwenda abroad kama umepata nafasi ni vizuri ila kama hujapata wekeza mda wako kwenye kuperuzi mambo...
  8. S

    Airtel kwenye bando ni wezi wasio na aibu. Nnape hawezi kutusaidi, tufanyeje?

    Airtel katika bando la internet si wezi tu ni majambazi yasiyo na haya. Nchi hii wananchi wanaibiwa, wananyanyaswa hakuna mtetezi. Wakubwa hawafanyiwi hivi hawawezi kustuka. TCRA wako pale, waziri yuko pale hawana msaada kwa wananchi. Unaweka bando hata hujatumia unaanza kupokea msgs kuwa bando...
  9. Lemme say this

    Vodacom acheni wizi aisee mtatuua kwa presha

    Yani mtu unastress zako za hapa na pale unahangaika kupambana na maisha ya kila siku ili mradi mkono uende kinywani Una biashara yako umekwama sehemu flani, ukaamua kuchukua buku ukanunue bando uingie JF uombe ushauri na kupata uzoefu tena buku uliotafuta kwa jasho lako aisee yaani you got...
  10. U

    Nina kopi moja tu ya picha private, video private, pdf za mali, vyeti, leseni, n.k. njia gani nzuri ya kufanya backups mpya kila wiki bila bando?

    Nimejikuta nina hofu ya kupoteza data zangu hasa baada ya matukio kadhaa ya kupoteza flash, kuibiwa simu, n.k. Data zilizokuwemo humo zilipotea moja kwa moja, ni kumbukumbu za muhimu siwezi kuja kuzipata tena. Najua kuna online back ups lakini hizi kila mwezi inabidi ulipie na pia unahitaji...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Uhalisi wa bei za bando la internet dhidi ya wastani wa kipato cha mwezi cha kila Mtanzania

    Kwanza kabla ya yote naomba kusema kwamba nchi ya Tanzania ndio yenye bei ya chini zaidi ya bando za internet katika ukanda wa Afrika Mashariki. Pili ukichukua wastani wa mshahara wa kila mwezi, inaonekana watanzania ndio wanalipa asilimia kubwa zaidi ya mapato yao katika kununua bando la...
  12. Ben-adam

    Hii simu inanirahisishia maisha kwa kiasi fulani, natumia bando la 10k tu kwa mwezi!

    Wiki iliyopita nilipita duka fulani hivi la simu nikiangalia kisimu cha kutunzia laini zangu. Jamaa walinishawishi ninunue haka ka itel ka laini 3 dah! Nataka nikamuongezee hela alieniuzia maana naokoa sana bando langu😅 See this evidence 🤸🤸
  13. R-K-O

    Simu ya milioni 1+ ila unahangaika na bando, utafaidi kweli? Kwanini usinunue simu mid range ya kati halafu hela inayobaki uwekee kwenye bando?

    Walengwa hasa ni wale wanaopata pesa za ghafla (zawadi, kuhongwa, betting, michezo, kuotea, boom la chuoni, n.k) na wale wanaojidunduliza. kununua simu ni hatua ya kwanza tu, bado kuna mambo yanafuata. ni sawa na gari inabidi ununue kwa kuzingatia ulaji wa mafuta, bei za spare, gharama za...
  14. R-K-O

    Kwa mara Nyingine tena Nimechunguza uwiano wa bando nalolipia na matumizi halisi niliyotumia kwa mwezi, ungana nami katika matokeo ya Research

    Mtandao : TIGO Bando / Kifurushi – Tigo Post-Paid 80 GB / Elf 60 Kila mwezi. (mawasiliano natumia mtandao mwengine kwasababu naitumia namba hio tangu 2006, naunga bando la elf 10 mitandao yote ) Kifaa nachotumia ni Router ya Tigo Nipo Dsm, Mbezi Louis Nimeanza kuhesabu from scratch (0 KB)...
  15. Mchochezi

    Kwa mwezi unatumia bando la Internet la sh. ngapi?

    Mimi natumia GB 60 kwa sh. 50,000 tena kwa kujibana sana. Wewe unatumia bando la sh ngapi kwa mwezi? Tushirikishe
  16. benzemah

    Rais Samia aagiza mapitio ya tozo ili kupunguza gharama za bando

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumza katika kipindi cha Clouds360 kinachorushwa kupitia Clouds TV ameeleza kuwa Rais wa Tanzania; Dkt Samia Suluhu ameridhia kufanyika kwa mapitio ya baadhi ya tozo ili kupunguza gharama za Bando kama ambavyo watanzania...
  17. P Didy Wa Tanzania

    SoC03 Malalamiko ya Bando na Huduma nyingine za Mawasiliano, tatizo kuu ni Kutofuata Misingi ya Utawala Bora, na suluhisho ni hili

     UTANGULIZI TCRA NI NINI ? Ni mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ni taasisi ya Serikali inayosimamia sekta ya mawasiliano katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. TCRA ilianzishwa chini ya Sheria ya Mamlaka Mawasiliano Tanzania namba 12 ya mwaka 2003 baada ya kuunganishwa Tume ya Mawasiliano...
  18. benzemah

    Rais Samia : Gharama za Bando Kushuka kwa Lazima

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakatai wakati wa utiaji saini mikataba ya upelekaji huduma za mawasiliano nchini kati ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na watoa huduma za mawasiliano uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete amesema kuwa...
  19. Teko Modise

    Unatumia kiasi cha gani cha Fedha kwa mwezi kwa ajili ya bando la Intaneti?

    Mimi najibana sana natumia shilingi elfu 25 ambapo napata 30gb huduma ya post paid. Tuambie unatumia kiasi gani cha pesa kwa mwezi kwa ajili ya bando la internet hasa wakati huu mabando hayshikiki?
  20. BARD AI

    Ripoti: Ushuru kwenye 'Bando' za Intaneti' ni balaa Tanzania

    Ripoti ya robo mwaka unaoishia Machi 2023 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaonyesha gharama za ushuru wa bando la intaneti zimeongezeka ikiliganishwa na kipindi kama hiko Machi 2022. Machi 2022 kwa kila MB moja ushuru uliokuwa unakatwa ni shilingi mbili ambayo imeongezeka hadi...
Back
Top Bottom