mtandao

  1. M

    Kwa nini wadau wanajamii forum mnabeza mtandao wa TikTok.

    Binafsi sijapendezwa na baadhi ya wanajamii forum kubeza mtandao wa TikTok. Mwanzo nilikuwa sio mfuatiliaji wa mtandao huo(TikTok) kwakuwa niliona watu wengi hapa wakisema kuwa hauna maudhi mazuri na kuudharau kutokana na wao wanavyo uchukulia. Cha ajabu na kushangaza nina mwezi sasa...
  2. Hackerz

    Mtumiaji wa mtandao wa TiGO hiki kitonga kisikupite

    Download TIGO PESA APP (play store au app store ) jisajili utapokea 1GB , Kama tayari app unayo log out then hakikisha iko updated then log in again utapata 1GB
  3. Suley2019

    Umoja wa Ulaya kuchunguza uraibu katika Instagram na Facebook

    Umoja wa Ulaya unachunguza Facebook na Instagram ikiwa zinaweza kuwa na uraibu wa kiwango cha juu kiasi kwamba zinakuwa na "athari mbaya" kwa "afya ya mwili na akili" ya watoto. Pia itachunguza kama wamefanya vya kutosha kuhakikisha kuwa watumiaji ni wa umri unaoruhusiwa kuzitumia, na jinsi...
  4. R

    Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
  5. C

    Waziri Nape kwanini husemi ni vigezo gani ambavyo Starlink hawajatimiza? Au wamegoma sharti la kuzima mtandao muda wowote mkiamua?

    Akiwa anahojiwa kutoka katika televisheni ya Wasafi (Wasafi TV) Waziri Nape amesema kuwa serikali haina matatizo na Starlink, kinachofanya washindwe kutoa huduma zao nchini ni sababu hawajakamilisha masharti, na kama wakikamilisha basi wataruhusiwa kutoa huduma nchini. Msikilize hapa ====...
  6. H

    Nani anawajibika kwa hasara iliyotokea kwa kukosekana kwa Internet?

    Salam wadau. Tunaambiwa ni tatizo lilikuwa ni mkongo kukatika baharini, watu wengi hawajui mkongo ni nini unakaa wapi unatoka wapi na nani anaumiliki na nani anautengeneza huo mkongo. Mtu anachojua ni kampuni ya simu tu voda, tigo, airtel nk. Hayo mambo ya mkongo unapita baharini hajui hilo...
  7. Vodacom Tanzania

    Vodacom: Tutawafidia wateja wetu waliopata changamoto ya Mtandao wakiwa wamenunua huduma

    Dar es Salaam, 15 Mei 2024: Vodacom Tanzania inafuraha kutangaza kuwa huduma ya intaneti imerejea kikamilifu baada ya upungufu wa ubora wa huduma za intaneti nchi nzima. Tulipata changamoto ya kukatika kwa nyaya chini ya bahari hivi majuzi. Tunaelewa kuwa tukio hili limeleta usumbufu na...
  8. Replica

    Nape Nnauye: Tanzania kuwa na Satelaiti yake kama backup ya internet, Mkongo uliokatika kuchukua siku 7 zaidi kutengamaa

    Akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku za baadae. Kuhusu mkongo uliokatika amesema bado una siku si chini ya saba mbele ili kutengemaa...
  9. 100 others

    Hivi kuna maelezo yeyote ya kitaalamu yaliyotolewa na mamlaka husika juu ya changamoto ya mtandao

    Ni takribani siku kadhaa sasa tangu internet nchini imekuwa na changamoto. Hadi sasa tunachofahamishwa ni kwamba kuna nyaya huko baharini zimeleta hitilafu, hilo ndilo kila mmoja nchini utasikia akisema, sasa najiuliza na huu mtandao ulivyo chini ina maana kuna nyaya zilibaki ndizo zinaleta...
  10. Melki the Storyteller

    Tukiachana na Fibre Cables, hiki ni kisababishi kingine cha ukosefu wa intaneti

    Picha: Internet Fibre Cable ndani ya bahari ya Hindi ambayo ilipelekea tatizo la internet ================= Umekuwa ukipata shida ya mtandao kwenye hizi siku mbili-tatu ndani ya hii weekend? Umejiuliza kwa nini na kulaumu sana mtandao wako? Usilaumu sana hili tatizo limesababishwa na...
  11. Kitombise

    Tetesi: Makampuni ya simu kutoa GB 10 kama kufidia hasara na kuomba radhi kwa watumiaji wa mitandao ya simu

    Nyepesi nyepesi; Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa mtandao. Hivyo wamekubaliana kutoa GB 10 kwa kila mtumiaji wa mtandao kama kufidia hasara za bundle...
  12. Analogia Malenga

    Je, umeombwa radhi na kampuni unayotumia huduma yake kwa tatizo la mtandao au wanakuona mbwa?

    Baafhi ya kampuni zimekuwa zikiwatumia wateja ujumbe kuwajulisha tatizo la umeme. Nadhani ni suala la kiuungwana sana. Mimi nimetumiwa ujumbe na kampuni ya mawasiliano ninayotumia, na kuna huduma nyingine nimetumiwa ujumbe pia. Kwa kweli nimejisikia faraja. Je umepata ujumbe wa huduma yoyote...
  13. peno hasegawa

    Tanzania: Mtandao wa Intaneti kupotea hewani kwa siku tatu, imepatikana hasara kiasi gani?

    Leo nimefika Bank ya DTB nimekosa huduma, kisa hakuna mtandao wa internet. Je Taifa limekumbana na kiasi Gani cha hasara kwa kukosekana kwa huduma hii muhimu?
  14. G

    Internet Outage: Unatumia mtandao gani wenye nafuu kwenye hili janga?

    Internet ipo slow sana lakini tunaweza kujuzana mitandao yenye nafuu. Hapa natumia halotel 4G, ipo slow kama kobe, Imenilazimu nizime picha kidogo kuna nafuu. Wewe unatumia mtandao gani, je, kuna nafuu? Pia soma: - Tanzania: Mtandao wa Intaneti wapotea hewani - Mitandao ya simu ipige faida ya...
  15. Newbies

    Tanzania: Mtandao wa Intaneti wapotea hewani

    Mtandao kupotea ghafla hewani, umepata changamoto gani mdau? ======= Leo Jumapili, Mei 12, 2024 limetokea tatizo la internet kwenye mitandao ya simu Tanzania kuanzia saa nne asubuhi. Taarifa za awali zinasema mkongo wa kimataifa uliopita chini ya maji uko chini ukizikumba pia Mombasa mpaka...
  16. BARD AI

    Nigeria: Wananchi wapinga Tozo ya Usalama wa Mtandao kupitia Miamala ya Benki na Simu

    Wanigeria wengi wamelaani kuanzishwa kwa ushuru mpya kwa miamala ya kielektroniki ya benki na simu huku wengine wakisema kuwa itawarudisha nyuma na kuanza kutumia pesa taslimu. Benki Kuu ya Nigeria (CBN) imeziagiza taasisi za fedha kwamba ushuru wa 0.5% unaokusudiwa kuongeza pesa ili kuimarisha...
  17. Mzee makoti

    Mtandao wa Tigo kimeo sana

    Hivi kwanini mtandao wa Tigo kila siku tatizo la mtandao ni wao tu? Hapa nataka kufanya huduma ya tigo pesa inaniambia mtandao unasumbua, ina maana leo nalala giza.
  18. Ojuolegbha

    Katibu mkuu kiongozi wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar azindua mtandao wa Tshrmnet

    KATIBU MKUU KIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR AZINDUA MTANDAO WA TPSHRMNET. Na Prisca Libaga, Arusha. Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Zena Said amezindua rasmi mtandao wa mameneja rasilimali watu katika utumishi wa umma barani Afrika ,Tawi la Tanzania...
  19. G

    Router za dukani ni bei kubwa, kuna mtandao wa simu unaouza router za huawei zinazoweza kufunguka kusoma lain zote ??

    router za dukani ni gharama kubwa sana almost laki na kitu. Router za mitandao ya simu huwa wanauza kwa hasara ama bila faida wanategemea mteja utafidia kwenye vifurushi. Ni mtandao upi wa simu kwenye maduka yao wana router za huawei ? Nimechagua huawei sababu kuna features nyingi na support...
  20. BARD AI

    Mahakama Kuu yadai hakuna ushahidi wa Serikali kufungia Mtandao wa Clubhouse

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dar es Salaam iliyosikiliza shauri la kikatiba dhidi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imesema hakuna uthibitisho kuwa Serikali ndio iliyozuia kupatikana kwa mtandao wa Club House. Mtandao huo uliojipatia umaarufu mkubwa nchini ukitumika katika...
Back
Top Bottom