This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
TAARIFA YA KIFO CHA NDG OCTAVIAN HUBERT TEMBA
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei amelaani vikali mauaji ya Ndg Octavian Hubert Temba miaka 25-30 toka kijiji cha Komela, kitongoji cha Komela Kaskazini kata ya Marangu Magharibi ambaye anashukiwa kuuwawa na askari wa hifadhi ya...
Sijui ni bahati mbaya au nzuri ni kuwa kuna habari nyingi za kutisha sana zinatokea huko kwenye hifadhi za taifa kati ya wananchi na askari ila hazifiki kwenye vyombo vya habari. Tukiachilia mbali mauaji pia wanaokamatwa hifadhini hupewa kipigo kitakatifu kabla ya kufikishwa mahakamani. Yaani...
Kwa mujibu wa taasisi ya kimarekani ya National Health and Nutrition Examination Survey (NHANES) hadi kufikia mwaka 2016 nchi ya Tanzania ilikuwa ina kiwango cha unene uliopitiliza (Obesity Rate) kwa 8.4% ya idadi ya watu wake. Huku USA ikiwa na 42.1% ya idadi ya watu wake. Hii ni kumaanisha...
Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake.
Je, Mdee baada ya kusemekana kushawishi wenzake wanataka kurudi kuomba Msamaha CHADEMA , tunajiuliza...
MHE QS KIPANGA SHIDA ZENU SHIDA ZANGU KIMBUNGA HIDAYA MAFIA
KILINDONI MAFIA
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia Mhe Qs Omar Juma Kipanga amewaambia wananchi wa mafia kata ya Kilindoni Kijiji Cha kilindoni Vitongoji kumi na moja kuwa shida zao shida zake juu ya majanga ya Kimbunga...
Hilo ni jambo muhimu sana, baada ya kopo lonalowaka na kutembezwa kila mahali, linaloitwa Mwenge wa Uhuru kuwasili Mkoani Dar es Salaam, Wakazi wa Mkoa huo wamejitenga wazi wazi na Ibada hiyo ya Shetani, Mapokezi ya mwenge huo yamebaki kuwa ya wanaccm wachache na viongozi wao tu, Jambo hilo ni...
Je, unaridhishwa na hatua zinazochukuliwa na Mamlaka katika kushughulikia Matukio na Taarifa za Rushwa na Ubadhirifu nchini?
Unaweza kutoa maoni yako na kupendekeza njia Bora za kupambana na Rushwa kupitia Mjadala utakaoendeshwa na JamiiForums Jumatatu Mei 13, 2024 Saa 12:00 Jioni hadi 2:00...
Wanigeria wengi wamelaani kuanzishwa kwa ushuru mpya kwa miamala ya kielektroniki ya benki na simu huku wengine wakisema kuwa itawarudisha nyuma na kuanza kutumia pesa taslimu.
Benki Kuu ya Nigeria (CBN) imeziagiza taasisi za fedha kwamba ushuru wa 0.5% unaokusudiwa kuongeza pesa ili kuimarisha...
Kwa sasa hivi Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye mvuto Tanzania. Hoja zake zinajadiliwa na kila mtu na zimepelekea hata vyuo kutunga mitihani kuhusu Muungano na hali ya siasa nchi ni.
Mwanafunzi wengi wanaofanya mitihani ya majaribio wameona reflection ya hoja za Lisu kwenye masomo na maswali...
Wananchi elfu tatu wako vituo vya hapa NBC bank mjini kati tangu saa 11, hakuna gari inayopakia bali zote za kwenda Mbezi na Kimara zinapita zimejaa na hazisimami.
Je, kwanini Serikali inakubali kunyanyasa wananchi wake hivi? Waziri wa Tamisemi na Mkurugenzi wa UDart unafurahia nini kuona...
Hii suala la Tanesco kukata umeme limekuwa kero kubwa mno .
I mean kukataa umeme bila taarifa jana 7 may 2024 tangu saa 2 usiku mmekata umeme na mlisema mtakata asubuhi kwanzia saa 3 - saa 11 jioni 8 may 2024 .
Tunaoumia ni sisi Mwanawake kwa sababu wenzetu wanakosea mashimo.
Nawasilisha !!!
Kwa msaada wa wiki pedia
Viti maalum vya wanawake ni nafasi bungeni zinazotolewa kwa utaratibu unaopatikana katika nchi mbalimbali na unaolenga kuongeza idadi ya wanawake na athira yao katika bunge na mabaraza na kwa njia hiyo katika siasa ya nchi hizo kwa jumla.
Kuna nchi nyingi za dunia...
UTANGULIZI.
Ni makala ya story of change ya jamii forum, inayochochea mjadala wa kitaifa juu ya masuala mbalimbali, nami nikiwa nimeangazia dhana ya utawala bora nchini Tanzania, ili kuipata “Tazania tuitakayo” jina langu ni Makiwa Jumanne
Ni hivi karibuni Taifa la Tanzania limetimiza miaka 63...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema litaendelea kuwashukuru wananchi wanaoendelea kushiriki katika jitihada za Serikali katika kuboresha mazingira bora na yakisasa katika vituo vya Polisi Mkoani humo huku likibainisha kuwa litaendelea kutoa huduma bora na za kisasa kwa wananchi
Hayo...
Bunge ni chombo ambacho kama kingekuwa kinafanya kazi yake ipasavyo hakika Tanzania ingekuwa mbali sana kwa sasa. Lakin Bunge la Tanzania ni miongoni mwa mabunge ya hovyo na hasara kwa Taifa, halina msaada wala mchango wowote ule kwa taifa hili.
Bunge linatia hasara Serikali kila mwaka. Bunge...
Mbunge wa Jimbo la Segerea, Bonnah Kamoli akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2024/25 leo Mei, 6, 2024 amesema ikiwa suala la fidia ya wananchi wa Kipunguni halitapatiwa maelezo ya kutosha, basi atashika shilingi na hataachia.
Amesema suala hilo limechukua muda...
Habari ndugu!
Kuna kero inaendelea huku Tegeta Msigani kwenye Mto wa Kinondo. Mwenyekiti wa CCM wa Serikali za Kijiji amezidiwa tamaa ya pesa na mapolisi wa Madale. Kuna wachota mchanga kwenye bonde ambapo sasa hivi limepanuka zaidi na kuwa mto, hivyo wanafunzi wanaosoma Msigani Primary wapo...
Rai yangu ni kuona bei ya nauli zinazopangwa na mamlaka husika zinazingatia hali ya maisha ya wananchi ili reli hii iwafae wengi kutokana na usalama wa safari, safari kutumia muda mchache pia kutokana na kutumia nishati mbadala ya umeme badala ya mafuta sababu tumekuwa tukishuhudia kupanda kwa...
KITETO: Kata ya Engusero Yapokea Ambulance 🚑 Mpya ya Kubeba Wagonjwa, Wananchi Wamshukuru Rais Samia Suluhu Hassan
Wananchi wa Kata ya Engusero Jimbo la Kiteto wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia Gari jipya la wagonjwa ambalo...
MBUNGE JAFARI CHEGE AMESEMA KIONGOZI MZURI NI YULE ANAYEWEKA ALAMA KWA WANANCHI
Mbunge wa Jimbo la Rorya, Mhe. Jafari Wambura Chege amesema ndani ya siku 30 Serikali itaanza matengenezo ya Barabara ya Nyarombo - Siko - Busanga ya Kilometa 8 baada ya Serilkali kutenga Milioni 90 kwaajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.