Nauli is one of the kriyas or shatkarmas, preliminary purifications, used in yoga. The exercise is claimed to serve the cleaning of the abdominal region (digestive organs, small intestine) and is based on a massage of the internal belly organs by a circular movement of the abdominal muscles. It is performed standing with the feet apart and the knees bent.The 15th century Hatha Yoga Pradipika claims that Nauli (magically) removes all diseases.Nauli is an exercise of classical hatha yoga; it is not often taught in yoga as exercise. There are four steps, which are learned one after another:
the abdominal lock, uddiyana bandha: the lungs are emptied, and the abdomen is pulled inwards and upwards under the lower edge of the ribcage
madhyana nauli: only the central muscles of the abdomen are contracted
vama nauli: only the left muscles of the abdomen are contracted
daksina nauli: only the right muscles of the abdomen are contracted.
Rai yangu ni kuona bei ya nauli zinazopangwa na mamlaka husika zinazingatia hali ya maisha ya wananchi ili reli hii iwafae wengi kutokana na usalama wa safari, safari kutumia muda mchache pia kutokana na kutumia nishati mbadala ya umeme badala ya mafuta sababu tumekuwa tukishuhudia kupanda kwa...
Naipongeza serikali kwa ujenzi wa reli ya kisasa,pia kwa kuona kuwa hatuwezi kuendesha reli ya kisasa bila kuwa na umeme wa uhakika na wakaona wajenge Bwawa kubwa la maji la Mwl.Nyerere kwa ajili ya kuzalishia umeme sababu umeme tuliokuwa nao usingetosha kwa matumizi na kwa ajili ya kuendeshea...
Watanzania mjue jambo moja tu.
Tanzania Zanzibar hawakuanza kupewa nauli leo.
Wafanyakaz Zanzibar walianza kupewa nauli zamani kidogo.
Raisi Samia angalia hili
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Wafanyakazi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wataongezewa posho ya shilingi elfu hamsini (50,000) ya nauli ili kuleta ufanisi katika kazi na kurahisisha masuala ya usafiri kwa ajili ya nauli za kwenda...
Kweli Kizimkazi anawanyoosha nyie wanyonge wa nchi hii
Leo nilitoka nikapanda usafiri wa umma ni muda sana sijapanda daladala
Kumbe nauli zimepanda kiasi hiki😢
Halafu mnaimba kuwa anaupiga mwingi kweli kizimkazi anawanyoosha
Watanganyika mtajuta kumjua huyo bibi wallah nawaambia atawanyoosha...
Habari,
Licha ya kuwepo Malalamiko ya mara kwa mara kuhusu adha ya ubovu wa barabara Maeneo ya kuanzia Juu kidogo kwa Mpalange mpaka Kituo Cha Mwisho Mwanagati lakini hakuna hatua zinachukuliwa. Soma malalamiko Hapa
Barabara ya Maeneo haya imekuwa shida kubwa na haipitiki kwa urahisi kiasi...
Baada ya Club ya Simba kukasirishwa na kitendo Cha Serikali kuridhia Ombi la club ya Yanga la Kusafirisha Mashabiki wake 48 kwenda Pretoria Africa ya Kusini Kwa ajili ya mechi ya pili ya marudiano, Sasa imemtuma Msemaji wake Ahmed Ally kujitokeza Hadharani na kuikashifu waziwazi Serikali ya...
Baadhi ya Mashabiki wa Simba waliojilipia nauli zao kusafiri kwenda kuipa support timu yao Nchini Misri
Kila shabiki amejilipia Dola 1200 sawa na Milioni 3,126,000.
Hili swala la Serikali kusafirisha Mashabiki nitatoa maoni yangu nikimalizana na Al Ahly, Sasa hivi akili inawaza namna ya kufuzu...
Mkurugenzi mkuu wa TRC ndg Kadogosa alikuwa akiongea na kamati ya bunge walipotembelea mradi huo na kusema "Kuhusu mchakato wa nauli, sisi TRC tumemaliza sehemu yetu ambapo tumewasilisha kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA) kila kinachohitajika."
Alisema wanaelewa kuwa...
Waungwana. Nawasalimu kwa jina la jamhuri.
Nauli zilizowekwa hivi karibuni ni za kumtesa mwananchi na ukiangalia kwa kina haina tija hata kwa serikali yenyewe. Hapa kuna tatizo kubwa la kukurupuka kuipandisjmha bila utafiti wa kiuwiano.
Zipo njia hazina tatizo lolote kwa mfano.
Mbezi- kibaha...
Mamlaka inayosimamia usafiri wa nchi kavu nchini Latra, imetangaza njia mpya katika mikoa ya Dar, Dodoma na Arusha.
Kwa Dar Es Salaam njia hizo ni Bunju sokoni hadi Kivukoni na Bunju hadi gerezani, njia nyingine ni Bunju sokoni hadi Magufuri Bus Terminal, nk.
Kwa Arusha kwa mromboo hadi Fire...
Kumekuwa na upandishaji holela wa nauli hususani kwa Karatu-Mbulu na Mbulu - Murray.
Mfano awali nauli kutoka Mbulu- Karatu ilikuwa sh.5000 na Sasa ni sh.7000 ongezeko la 40% ambalo limehusishwa na ongezeko la Bei ya mafuta ya chini ya 10% . Sasa inakuwaje mafuta yanaongezeka kwa 10% halafu...
Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20 (jina tunalihifadhi kwa sasa) ambaye inaaelezwa kuwa ana changamoto ya matatizo ya akili amelawitiwa na Wanaume watano.
Tukio hilo limetokea Katika Wilaya ya Hai katika Kata ya Machame, Narumu Mkoani Kilimanjaro limezua taharuki miongoni mwa...
Kuna tabia ambayo imekuwepo kwa muda, awali ilianza kama kitu kidogo kwa kufanywa na watu wachache lakini sasa hivi inazidi kuwa kama ndivyo uhalisia.
Daladala za kutoka Kawe kwenda Buza (Dar es Salaam) hasa nyakati za jioni zimekuwa na kawaida ya kutokamilisha ‘ruti’, zinaishia Buguruni kisha...
Makonda aache sanaa na janja janja.
Na kwa kua ameamua kujipa hata kazi ambazo sio zake na
kama kweli ana ubavu, tunamuagiza alivalie njuga suala la umeme, sukari na suala zima la nauli.
Haya ndiyo mambo makuu ambayo ni kilio kwa Watanzania wengi wa hali ya chini na kati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.