Sasa ukitaka kufatilia kweli shida iko wapi? Kwanini hakuna anaewajibika? Mvua zimenyesha mpaka mafuriko lakini lao wiki ya pili maji yametoka mara moja tu.
Mtetezi ni nani? Kwakweli hii sio fair kabisa
UTANGULIZI
Mnamo mwezi agosti mwaka 2023 mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) ilitoa tahadhari kuhusu mvua za El nino zitakazo anza kipindi cha vuli kuanzia wiki ya pili ya mwezi october mpaka wiki za mwanzo ya mwezi January 2024 na miezi mingine ya mwaka huo. Mamlaka hiyo ilitoa tahadhari...
Ninaiomba Wizara ya Muungano na Mazingira ije na mpango madhubuti kabisa wa kupanda miti millioni 50 katika kipindi hiki cha mvua. Uhamasishaji ufanywe kuanzia uongozi wa Kaya, Mashule, Mitaa/Vijiji, Kata, Tarafa, Wilaya , Mikoa mpaka Taifa. Mpango huu usimamiwe kikamilifu na Waziri mwenye...
Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua?
Kufuatilia hali ya kimbunga hiki mubashara bofya hapa: Live Weather Satellite Map | Zoom Earth
====
Pia soma: TMA...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kushirikiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI kuunda timu za wataalam zitakazoshirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kufanya tathimini ya mtandao wa barabara pamoja na madaraja yaliyopata...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali tayari imeshampata Mkandarasi na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa kilometa 41 kwa kiwango cha lami.
Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali tayari imeshampata Mkandarasi na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa kilometa 41 kwa kiwango cha lami.
Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia...
Bomba kubwa la maji linalogawa maji katika maeneo ya Kibanda cha mkaa, Kwa Msuguri, Temboni na suka, Lapata hitilafu hivyo kuna hatihati ya kukosa maji kwa siku hizi mbili tatu.
Habari ndugu wateja kutokana na Mvua kubwa imeathiri miundombinu ya Bomba kubwa eneo la kibanda Cha mkaa linaloleta...
https://www.youtube.com/watch?v=xjMIFw1DUyg
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akizungumza Bungeli, leo Aprili 25, 2024 ametoa taarifa ya kuhusu mwendendo wa Matuko ya hali ya hewa, athari zake na hatua zilizochukuliwa na Serikali.
Amesema mabadiliko ya hali ya hewa...
Wapendwa kmvua hakiachi toka jana. Na hivi leo Muungano pa kwenda hakuna. Wengine wasimbe hatuna babe. Basi tusaidiane hata majina ya movie za kuangalia siku ipite wapenzi. Nasubiri maoni yenu kawine tayari nshanunua
Mvua zinatandika kila kona ya nchi na huu ni msimu wa kilimo...Chadema wameitisha Maandamano watu wananyookea maandamano kama nzige ni Miziziolojoji?
Huku Manyara leo mashamba yako likizo wakulima wamemfuata Lissu
Chadema punguzeni spidi watu wakonsetreti kwenye Kilimo
Muungano hoyee
Habari wana JF poleni na Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kote Nchini
Kuna mdada amehamia katika Room inayofuatana na yangu sasa toka amehamia tunaishi poa sana kiasi hata nikiomba mzigo sahii ananipa.
Sasa juzi kamerudi kamelewa kakaniomba nikasaidie kufungua mlango wake sikustuka kumuona...
Kama mnavyojua tupo kwenye msimu wa mvua kubwa zinazonyesha ukanda wote wa Africa.
Lakini mvua hizi zimekutana na tamasha kubwa la kihistoria ambalo atatumbuiza msanii namba moja Africa yani Diamond Platinumz.
Diamond kalipwa pesa ndefu kutumbuiza tamasha ili na kampuni ya kinywaji pia kuna...
Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar esSalaam,imemsafirisha Godlista Malisa kwenda nyumbani kwao Kwa ajili ya kumfanyia upekuzi,baada ya kudaiwa kuandika uchochezi katika mitandao ya kijamii.
Kwa vyovyote vile Kwa umaarufi wa Malisa Polisi ni lazima watachukua tahadhari ya usalama wao na wake...
Nyasi ni aina ya mimea inayojumuisha familia mbalimbali ya Poaceae (au Gramineae). Mimea hii ina tabaka ya nje ngumu inayoitwa utando wa nje, inayojulikana kama epidermis, na tabaka la ndani lenye seli zinazojaa maji. Zaidi ya hayo, nyasi zina mfumo wa mizizi ambao unajumuisha mizizi mingi...
Waziri amesema wazazi wajiongeze, then baadae ikatoka barua ya kufunga shule kwa muda kutokana na mvua zinazoendelea.
Natamani kuona bajeti ya mwaka huu ya wizara ya mawasiliano itakuwa imesemaje kwenye digital. Sisemi kwamba watoto waende shule, bali wanaweza kuendelea kujifunza wakiwa...
Mwanzoni Miaka ya 2000 kila mvua iliponyesha wakati wa kuvuka Barabara tulikuwa tunalazimika kuvua viatu na kukunja nguo kisha tunavuka.
Miaka zaidi ya 20 baadaye hali tuliyoizoea kuvuka kwenye maji kila mvua inaponyesha ndio ileile.
Miundombinu yetu wakazi wa Mkuranga kwa asilimia kubwa ni...
Hii nyuma nimejenga mwaka 2000 Kwa kufuata vigenzo vyote vya ufundi.
Nimeshangaa hizi mvua za mwaka kuna chumba nikiingia nakuta wet kuna majimaji, naagiza papigwe deki pakaushwe nikija tena nakuta wet majimaji hapo ndio sasa naamini maji yanatokea chini yanapenya taratibu kwenye tiles na Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.