Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Wakuu haya haya haya amkeni kumekuchwa Msiseme sikuwaambia Hatimaye nimeanza kutimiza ile ndoto ya kujenga ghorofa na kwa kuanzia nimeshaleta kifusi kimoja cha mchanga. Nilipata kijisenti hapa...
11 Reactions
65 Replies
1K Views
3bedroom design Lounge Kitchen Dining Toilet Store +255678418272 Whatsapp
0 Reactions
7 Replies
187 Views
Ina room 3 Sebule Jiko Dining store Choo Study room 0678418272 Call/whatsapp
0 Reactions
0 Replies
46 Views
CHINI Ina vyumba vitatu(kimoja self) Sebule Jiko Dining Store Choo JUU Master Bedroom Sebule ndogo Balcony 0678418272 Call/whatsapp
1 Reactions
0 Replies
55 Views
PLN 0001 2BR Ramani ya Vyumba Viwili Living room (Sebule) 1 Master bedroom with a Dressing room (W.I.C) 1 Single bedroom Kitchen (Jiko) Public toilet (Choo cha jumuiya) Ramani hii ina privacy...
31 Reactions
498 Replies
37K Views
MAWASILIANO YA BARABARA DAR - LINDI KUREJEA KESHO, SOMANGA PANAPITIKA: WAZIRI BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa anaendelea kuisimamia timu ya wataalam na Makandarasi kurejesha...
1 Reactions
5 Replies
131 Views
Hii nyuma nimejenga mwaka 2000 Kwa kufuata vigenzo vyote vya ufundi. Nimeshangaa hizi mvua za mwaka kuna chumba nikiingia nakuta wet kuna majimaji, naagiza papigwe deki pakaushwe nikija tena...
9 Reactions
96 Replies
2K Views
3bedroom design Lounge Kitchen Dining Toilet Store +255678418272 Whatsapp
0 Reactions
7 Replies
152 Views
KAZI YA UREJESHAJI WA MIUNDOMBINU SOMANGA INAKAMILISHWA, NGUVU YAELEKEZWA SONGAS. Wizara ya Ujenzi, Timu ya Wataalam kutoka Wakala ya Barabara (TANROADS) ikishirikiana na Makandarasi, wanaendelea...
1 Reactions
1 Replies
95 Views
BASHUNGWA AWABANA WATAALAM NA MKANDARASI SITE, "NAWEZA KUFUKUZA TIMU YOTE" Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema hatasita kubadilisha timu ya Wataalam na Mkandarasi wanaoendelea na kazi ya...
0 Reactions
1 Replies
65 Views
Wadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
1 >> Mwekezaji anatafutwa kwa ajili ya Kujenga au Kukarabati ( itakavyompendeza na tutakavyokubaliana) Kuendesha na Kusimamia. 2 >> Nyumba ipo Mkoa: Kilimanjaro, Wilaya: Moshi Mjini, Barabara...
0 Reactions
0 Replies
53 Views
Apartment Kila moja ina; vyumba viwili Choo Sebule Dining jiko store +255678418272 Whatsapp
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Nilichimba shimo la choo kipindi cha kiangazi lilikua fresh tu na likafunikwa juu, tatizo imeanza kipindi cha masika maji yanatokea chini na shimo linajaa maji. Wataalam tusaidiane hapo nitumie...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
"Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoweka kipaumbele katika kuboresha na kuendeleza Sekta ya Uchukuzi. Ameboresha miundombinu na huduma za Uchukuzi zimeboreshwa sana. Nampongeza...
0 Reactions
0 Replies
56 Views
MBUNGE KWAGILWA NHAMANILO Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi Bungeni Jijini Dodoma "Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu anakwenda kuweka historia kubwa Tanzania kama Rais...
0 Reactions
0 Replies
61 Views
BASHUNGWA APIGA KAMBI LINDI, KUHAKIKISHA BARABARA YA DAR - LINDI INAPITIKA NDANI YA SAA 72. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu na kuwahakikishia wananchi, wasafiri na...
0 Reactions
1 Replies
124 Views
Ngoja niwahabarishe mambo kadhaa usiyo yajua katika ujenzi. 1.Jengo/Nyumba siyo lazima liwe na msingi. Unabisha....? Nenda Msasani makangira(Namanga), Kuna nyumba kadhaa hazina msingi. 2.Unyevu...
11 Reactions
36 Replies
2K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja katika...
0 Reactions
13 Replies
804 Views
Kwanza marhaba wadogo zangu, Mimi ndo nimefika stegi ya kuweka vyoo, Sasa nimefika juzi madukani nimekutana na kampuni kama 30 hivi brand mbalimbali, wote wakiuza vyoo, Sasa katika kupagawa...
2 Reactions
9 Replies
278 Views
Back
Top Bottom