Mwekezaji anatafutwa: Kujenga au Kukarabati, Kuendesha na Kusimamia.

nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
1,004
833
1 >> Mwekezaji anatafutwa kwa ajili ya Kujenga au Kukarabati ( itakavyompendeza na tutakavyokubaliana) Kuendesha na Kusimamia.

2 >> Nyumba ipo Mkoa: Kilimanjaro, Wilaya: Moshi Mjini, Barabara: Mawenzi, Mtaa: Liwali.

3 >> Fursa zinazopatikana eneo la mradi: Jirani na Soko la Manyema, Shukrani Snaks, West Point Hotel and Apartments.

4 >> Mwekezaji ikimpendeza: Makazi, Ofisi, na Biashara.

5 >> Mawasiliano: Mhitaji, Ushauri, Maoni, kupitia Private Message.

Natanguliza Shukrani Zangu.
 
Back
Top Bottom