Karibuni katika Makala pendwa ambapo tunajadili mambo mbalimbali kuhusiana na ujenzi.
Leo tuangazie kwenye kipengele cha Uchaguzi wa rangi(Colour) ya matilio ya kumalizia/finishing jengo Lako...
Nina rafiki yangu anataka kujenga nyumba ya gorofa moja, katika mchoro wa ramani architecture aliweka kua zitumike nondo za 14mm beam na 16mm columms.
Katika kuanza kujenga fundi chuma alishauri...
Kwema ndugu, leo nikiwa maeneo fulan nilikutana na ubishi. Ubishi huo ulitokana na baadhi ya vijana wanaoishi katika kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es salaam.
Vijana hawa walikuwa...
Msingi nataka kujenga wa mawe na uwe juu urefu wa mita moja.
Wataalamu naombeni makadirio ya gharama inaweza kufikia kiasi gani mpaka huo mjengo ukamilike kutokana na vielelezo vinavyoonekana...
Wakuu haya haya haya amkeni kumekuchwa
Msiseme sikuwaambia
Hatimaye nimeanza kutimiza ile ndoto ya kujenga ghorofa na kwa kuanzia nimeshaleta kifusi kimoja cha mchanga.
Nilipata kijisenti hapa...
Uwekaji wa jiwe la Msingi katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara.
Ujenzi wa ofisi hii hadi kukamilika kwake kutagharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni moja , ikiwa hadi sasa...
Habari Wana JF,
Ninaomba ushauri wenu katika hili, nataka kujenga lodge yenye vyumba sita vyote self, iwe na kitchen ndogo reception na laundry room.
Kwa mahesabu ya haraka haraka unaweza...
Nina uzoefu wa miaka miwili as Lab technician nimefanya Bwawa la Umeme la mwalimu Nyerere.
Natafuta kazi as
Civil technician
Foreman
Lab technician
CAD technician
Nipo Dar es salaam
Hello wajuzi.
Ktk tafiti zangu, nimekuwa ninawaza kujenga Get away houses, Airbnb, na ki sehemu kwa ajili ya watu wanaotaka kuishi ktk mazingira ya nature, around sehemu fulani hivi Pwani.
Mwanzo...
wakuu msiseme sikuwashirikisha ndoto yangu ya kutaka namimi ninyee juu kabla sijaitwa na muumba.
Naomba muongozo wapi zinaweza kutumika kokoto za ubuyu (zile laini) na wapi natakiwa kutumia...
1. Mbao inaweza kufanya kazi sawa kama nondo au/chuma.
Unabisha....?
-Magorofa magofu ya Bagamoyo,zege zake zina mbao badala ya nondo.
2.Kadri jengo utakavyojenga karibu na bahari,ndipo...
Heshima kwenu wataalam, nimehamia kikazi hapa Mwanza.
Sasa nimekuja kugusa bei za nyumba nikaona kama nitawapa faids tu washkaji. Maana nyumba ya standards zangu naambiwa 3,600,000/= kwa mwaka...
Katika ujenzi wa kitu chochote kile michoro ni jambo lisilo epukika.
Michoro ni jumla ya wazo mama la mjenzi pamoja na mawazo ya kitaalam kutoka kwa mchoraji ndio maana kabla ya kuanza ujenzi...
Habari ndugu wana Jamii Forums,
Nipo kwenye mchakato wa kumtafuta msanifu majengo anichoree ramani ya nyumba ya kuishi familia ghorofa moja ndogo simple isiyo na makorokoro mengi maana kiwanja ni...
Nimeona watu wengi wamekua wakikumbana na changamoto za kununua ardhi na hii ni kutokana na elimu ndogo juu ya mchakato upi sahihi wa kutambua mmiliki haswa wa kiwanja husika.
Kuna hii kitu...
Katika ujenzi hasa wa majengo marefu (maghorofa) matumizi ya nondo ni jambo lisilo epukika.
Baada ya kupata michoro kutoka kwa msanifu majengo (Archtect) michoro hiyo haina budi kupelekwa kwa...
Habarini wadau wa jukwaa la ujenzi na makazi, poleni na harakati za hapa na pale, kikubwa tuombe uzima tufanikishe ndoto zetu na malengo yetu.
Habari njema ni kwamba nimekuja na taarifa kua kama...
Nikiwa naendelea na makusanyo ya pesa yangu, ya kufikia ndoto ya ujenzi wa ghorof, nimepata ramani hii na kiwanja changu ni Mita 16 kwa 14.
Je wakuu hii Ramani hapa inakaa kwa ukubwa wa kiwanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.