kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PureView zeiss

    Mauaji ya watu wenye ualbino yameanza tena kipindi hiki cha uchaguzi

    #HABARI Jeshi la polisi mkoani Kagera linawahoji watu 3 akiwemo baba mzazi wa mtoto Asimwe Novart (2) kwa tuhuma za kuhusika na kuibwa kwa mtoto huyo Mei 30 nyumbani kwao katika Kitongoji cha Mbale wilayani Muleba. Mtoto huyo mwenye ulemavu wa ngozi aliibwa baada ya mama yake mzazi kulaghaiwa...
  2. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Kutoka kipindi cha mpito cha kufiwa na Hayati Magufuli hadi maandamano ya upinzani

    Za jioni. Jpm akaenda kwenye usingizi wa milele, Rais Samiah akashika hatamu katika kipindi kigumu sana, akatuvusha na Amani ikatawala Hadi sasa! Leo maandamano ya upinzani na mabango yao kila kona nchini, Lissu anaunguruma yote, nadhani kapata nafasi ya kisiasa ya kutosha sana tangu aanze...
  3. Dr Matola PhD

    Najitahidi walau kufuatilia hili bunge kipindi hiki cha bajeti lakini Wabunge wanakera sana hasa wa CCM

    Yani mtu umeacha mambo yako atleast ufuatilie bunge la bajeti lakini badala yake mbunge anachangia hoja, linatokea limbunge lingine linasema taarifa, mchangiaji anakaa chini spika anampa nafasi mtowa taarifa halafu taarifa yenyewe pumba tupu. Hivi spika haoni kumkarisha mtu chini wakati alikuwa...
  4. MamaSamia2025

    Hawa ni watanzania 10 chini ya umri wa miaka 50 walioleta mabadiliko chanya kwenye jamii kupitia vipaji na vipawa vyao walivyojaliwa

    Hii ni orodha tukufu ya watanzania wenye umri chini ya miaka 50 walioweza kufanya mapinduzi makubwa kupitia jinsi walivyojaliwa na muumba. 1. ZITTO KABWE Haina ubishi Zitto ndo aliamsha wengi kuona inawezekana kuwa mwanasiasa mkubwa mwenye umri mdogo tena kupitia upinzani. Zitto aliingia...
  5. E

    Kipindi cha mvua uzalishaji wa dhahabu hupungua, tumia kemikali hii uongeze uzalishaji

    Kipindi cha mvua uzalishaji wa dhahabu hupungua ,je wajua na nini suluhisho. Uzalishaji wa dhahabu au jina jingine huitwa kuchenjua dhahabu,hutumia njia za kikemikali ambazo hutegemea pia hali ya hewa ya asili ya sehemu husika. Katika kipindi cha mvua ,hali ya hewa ya mawingi huchangia kufanya...
  6. Roving Journalist

    Jumla Migodi ya Madini 21,686 yakaguliwa katika kipindi cha Julai, 2023 hadi Aprili 2024

    Kati ya migodi hiyo, migodi mikubwa ni nane, migodi ya kati 56 na migodi midogo 21,622. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Msafiri Mbibo akimwakilisha Waziri wa Madini, Anthony Mavunde katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wakaguzi wa Migodi kutoka Tume ya Madini uliofanyika...
  7. ndege JOHN

    Yale mawazo mazuri unayofikiria kipindi huna hela ndo mambo ya kuyafanya

    Ukiona jambo una litamani kuliifanya kipindi umefulia jua ndo kazi yako biashara yako na your purpose nimaanisha ukilifanya Kwa moyo wote bila kurudi nyuma unatoboa na unaweza kufahamika duniani kote.
  8. G

    Azam TV hawaonyeshi matukio ya sherehe za ubingwa, wamegeuza kiwe kipindi cha kutembeza mic kufanya mahojiano

    Nilijianda kuangalia sherehe hizi za ubingwa lakini inakaribiaa lisaa sasa nachoona ni mahojiano tu, inakera sana. Kipindi kimegeuka kuwa kama cha Seki ama Skonga, tunaemuona ni mtangazaji anazunguka uwanjani kuhoji wachezaji na benchi la ufundi. Leo ni siku ya sherehe za ubingwa, Hakukuwa na...
  9. Mohamed Said

    Katikati ya Kipindi TANESCO Wanazima

    KATIKATI YA KIPINDI TANESCO WANAZIMA Mahojiano yamepamba moto camera zina "roll," mara paa umeme umekatika. Kiza totorooo... Jicho la camera kama jicho la binadamu halioni kwenye kiza. Mfikirie mtangazaji anatakakiwa kipindi kiwe hewani leo usiku. Jua lishavuka mpaka sasa linaanza safari ya...
  10. Mohamed Said

    Matayarisho ya Kipindi Maktaba na Flourance Mavimbi TBC1

    MATAYARISHO YA KIPINDI MAKTABA NA FLOURANCE MAVIMBI TBC1 TBC1 wanatayarisha kipindi kuhusu majina ya mitaa waliyopewa viongozi wa Afrika katika jiji la Dar-es-Salaam mfano wa Kwame Nkrumah, Nelson Mandela, Sam Nujoma na Samora Machel. Nikamuuliza mtayarishaji wa kipindi Bi. Flourance Mavimbi...
  11. GENTAMYCINE

    Tafadhali aliye na namba za hawa Watangazaji wa Kike wa Kipindi kilichopo Hewani sasa EA Radio awapigie na awape huu Ujumbe wangu kwa Lawama zao Kwetu

    Kwa atakayewapigia anifikishie huu ujumbe wangu muhimu Kwao kwani nawasikia tokea wameanza Kipindi chao leo ( ambacho huwa kinaanza Saa 3 Asubuhi hadi Saa 6 Mchana ) ni kama vile ama Wametendwa na Wapenzi wao au wana Hasira ( Usununu ) na Sisi Wanaume kuwa tunawapa Mimba Wanawake na Kukimbia...
  12. Mjanja M1

    Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
  13. Kaka yake shetani

    Jibu la Aga Khan kipindi cha Rais Kikwete. Elimu kubwa ambayo ni fumbo sana

    Kipindi cha uongozi wa Rais Kikwete tulibahatika kupata ujio wa bwana Aga khan na familia yake kama ilivyo utaratibu wao wakutembelea nchi kwa nchi. Kutokana na michango mingi ya Aga Khan kama hospital,benki na n.k inamfanya kuwa mtu mwenye ngazi kubwa ya kuangaliwa na nchi nyingi kwa viongozi...
  14. PureView zeiss

    Ushauri wangu Kwa wale wanaotaka kuagiza magari kipindi hiki

    Wakuu... Baada ya kuuza Rumion yangu siku ya jumatano uliyopita nilingia fasta mitandaoni kuagiza gari ninayoikusudia. Siku ya alhamisi asubuhi nilienda Kwa agent ili nianze process za kulipia gari hakika hapo ndipo nilichoka kabisaa baada kuambiwa kuwa hakuna dollar kwenye bank, kumbuka haya...
  15. F

    SoC04 Uongozi bora na mapambano dhidi ya ubadhirifu wa mali (rushwa)

    (ombeni hamadi silaa) UTANGULIZI, MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA NA UTAWALA BORA Tanzania imekuwa ikipiga hatua muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa katika kipindi cha hivi karibuni, lakini bado kuna changamoto kubwa zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha utawala bora nchini. Kupambana na...
  16. Pfizer

    Ridhiwani Kikwete: Ndani ya kipindi cha miaka miwili, Serikali imeshawaajiri Maafisa Maendeleo ya Jamii zaidi ya 2140

    SERIKALI YAONGEZA AJIRA KWA WATUMISHI WA USTAWI WA JAMII WANANCHI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KULINDA MAADILI Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Ridhiwani Kikwete ameliambia Bunge kuwa ndani ya kipindi cha miaka miwili serikali imeshawaajiri...
  17. Kaka yake shetani

    Mfahamu mwana zuoni wa kiislamu Gafur Gulam aliyewatetea wayahudi kipindi cha utawala wa NAZI

    Gafur Gulam (au Gafur Ghulam) alikuwa mwandishi maarufu na mshairi kutoka Uzbekistan, ambaye aliandika kwa lugha ya Kiajemi na Kiuigur. Alizaliwa tarehe 10 Mei 1903 na alifariki tarehe 10 Julai 1966. Gafur Gulam ni mmoja wa waandishi maarufu wa karne ya 20 kutoka Asia ya Kati na alichangia sana...
  18. greater than

    Vioja gani ulifanya kipindi umeanza starehe ya pombe

    Habari za mwisho wa weekend wanajamii. Naamini kila kila mtu ana aina yake ya starehe,lakini hapa nimejikita zaidi kwenye starehe yenye kuhusisha Pombe. Je,kwa Mara ya kwanza ulivyotumia ilikuwaje/ ulifanya kioja gani? Kwangu 1. Mwaka Mpya Arusha 2018, Mimi na jamaa yangu tukaenda kupata mlo...
  19. Smith Rowe

    Kipindi cha Jahazi kimeharibika wakipe jina lingine

    Mzuka, Nasikiliza Jahazi mda huu lakini sijui hawa jamaa na kipindi chao wanatangaza nini, Mchomvu kweli ni changamoto vitu anavyoongea hadi wenzake wanapata shida.
  20. Nsanzagee

    Madai na hoja za muungano, huja kipindi tukiwa na Viongozi dhaifu?

    Inaweza kuwa hoja yangu ikaibua hisia tofauti tofauti Lakini najaribu kurudisha akili zangu nyuma, Hoja na malalamiko kuhusu muungano wetu ni kama zimekuwa zikiibuka pindi tunapokuwa na viongozi wapole wapole! Mbona haikuwa hivi kwa Rais Chuma cha pua Hayati John Magufuli Hii inamaanisha...
Back
Top Bottom