mfupi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Siku hizi naogopa sana Wanasiasa Wakongwe wanaozindua Vitabu vyao, kwani wengi Wao wakishazindua tu basi Huaga dunia ndani ya muda mfupi

    Wengi mnamfahamu Mzee Yussuf Makamba kwa misemo na nukuu zake za vitabu, ni miongoni mwa wanasiasa mashuhuri nchini na amewahi kuhudumu nyadhifa tofauti ikiwemo kuwa katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Mzee Makamba ambaye kwa sasa amejikita katika uandishi wa vitabu amekuja na kitabu chake kipya...
  2. Mjanja M1

    Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
  3. Kiboko ya Jiwe

    Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anaweza kumwacha handsome man. Utamkwaza atakaa pembeni lakini baada ya muda mfupi atakuhitaji tena.

    Hello morning 🌞! Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira. Lakini utafiti wangu wa hivi karibuni nimebaini kuwa mwanaume handsome hawezi kuachwa na mwanamke hata amkwaze kwa kiwango...
  4. SAYVILLE

    Mambo aliyoyafanya Benchikha kwa muda mfupi akiwa na Simba, na pale alipokosea

    Binadamu tumeumbwa kusahau. Ngoja niwakumbushe mambo mawili matatu ambayo yaliibadilisha Simba kutoka katika mkwamo iliokuwa nao. 1. Tunasahau Simba ilikuwa inacheza hadi dakika ya 60 inakata moto. Tukalilia fitness za wachezaji. Sasa hivi hakuna anayeongelea tatizo la fitness. Tatizo...
  5. I

    Rais Samia alivyowezesha mageuzi katika sekta ya afya ndani ya muda mfupi

    Afya bora au Afya dhaifu ni kigezo cha kutambua uhai wa Taifa lolote, Afya bora ni matokeo ya mambo mengi na moja wapo likiwa ni huduma bora katika nyanja mbalimbali. Miaka kadhaa iliyopita mgonjwa kufanyiwa CT SCAN ilikuwa nadra na kwa hospitali chache. Kwa kutambua umuhimu wa huduma bora za...
  6. Ritz

    Muda mfupi uliopita, IOF iliamua kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa anga kutokana taarifa za Iran kushambulia

    Wanaukumbi. 🚨 Muda mfupi uliopita, IOF iliamua rasmi kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa anga "kutokana na hali ya usalama." Kwa saa kadhaa, jeshi la anga na ulinzi wa IOF vimekuwa katika hali ya tahadhari na tayari kabisa, wakihofia jibu la Iran kwa shambulio la IOF la...
  7. Mhafidhina07

    Kwanini Utumishi wasitumie mfumo wa data base wa muda mrefu?

    Kwema wadau? Naomba nitoe wazo kwa hawa jamaa utumishi, ni kwamba wanatakiwa kutambua kwa sasa uchumi wa nchi na hususani vijana ni kusuasua hivyo kuna mambo mengi tumepitia hata kabla ya kumaliza chuo na hata baada wengi wa wanafunzi wamesoma kwa pesa za serikali na hata ukiwaangalia maisha...
  8. DR HAYA LAND

    Hakuna MTU mfupi ila tatizo ni lishe.

    Hawa wataalamu wa siku hizi wanafikirisha.
  9. Erythrocyte

    Ujumbe wa Tundu Lissu kuhusu Hayati Ally Hassan Mwinyi

    Hivi ndivyo alivyoandika kwa ufupi Toa Maoni yako . "President Ali Hassan Mwinyi, who died on Thursday & was laid to rest yesterday was a kindly man. When I was gunned down in Sep. '17 & rushed to Nairobi for treatment, Mzee Mwinyi and Mama Sitti came to The Nairobi Hospital to wish me...
  10. Papaa Mobimba

    KWELI Ni hatari kiafya kulala muda mfupi baada ya kula

    Haya mambo yasikie tu, watoto wetu siku za shule huwa wanalazimishwa kulala tu punde wamalizapo kula. Hii ni hatari kwa mujibu wa tafiti za afya. Uelewa mdogo na kutojali kwa wazazi kunaweza kupelekea watoto wetu kupata madhara hapo mbeleni. Kulala mara baada ya kula ni kitendo ambacho...
  11. Balqior

    Wanawake wanaoomba hela muda mfupi baada ya kutongozwa huwa wanakuwa kwenye mahusiano ya maana?

    Habarini, Nimewaza hali ya uchumi ilivyo, na tabia ya wanawake kupiga mizinga kila mwanaume anaewatongoza. Najiuliza, mwanaume gani ataombwa hela siku chache baada ya kutongoza, halafu aweke kambi kwa huyo dada? Sana sana ama akiombwa hela mara ya kwanza atakimbia, au atahonga mara ya kwanza...
  12. JamiiCheck

    Je, ni kweli ukimruka mtoto anakuwa mfupi?

    Jamii zetu zimekuwa zikiamini nadharia mbalimbali, moja ya nadharia hizo ni kama hii ya kwamba UKIMRUKA MTORO ANAKUWA MFUPI. Je, mdau wetu una maoni gani kuhusu nadharia hii? Shiriki nasi kwenye kufanya uhakiki wa Nadharia hii iliyopo kwenye Jamii zetu. Tuandikie unachokiamini pamoja na...
  13. Kaka yake shetani

    Kwanini fresh graduate au wanamda mfupi ujiona wajanja sana kwenye life za maisha na utafutaji?

    nimeleta hii mada tuwa tafakari hawa vijana wamalizapo chuo au kama wamemaliza chuo mda zaidi ya miaka miwili na zaidi ujiona kila kitu kwao wapo zaidi ya walio mtaani kimaisha. maana hayashauriki
  14. E

    Ndani ya muda mfupi nimekosa Imani na tume ya mipango

    Juzi nilimsikiliza waziri wa mipango akiongea clouds nilishangaa sana waziri wa mipango anaongea habari ya ajira kama ambavyo kila layman anaongea. eti anasema serikali haitoi ajira watu wajiaijri. Mimi siamini kama vijana wanakosa ajira, wanakosa kwa sababu ya kukataa ajira za sekita binafsi...
  15. Magical power

    Kulikuwa na mwanamke ambaye alitaka kujua jinsi mume wake angefanya ikiwa angeondoka bila kumwambia alikokwenda

    Muda mfupi uliopita, kulikuwa na mwanamke ambaye alitaka kujua jinsi mume wake angefanya ikiwa angeondoka bila kumwambia alikokwenda. Aliamua kumwandikia barua akisema amemchoka na hataki kuishi naye tena. Baada ya kuandika barua hiyo, aliiweka juu ya meza ya chumbani kisha akaingia chini ya...
  16. T

    CCM kabla ya uteuzi wa Makonda ilikuwa imelala na kibaya zaidi ilikubali kirahisi kupokwa kazi za siasa na Serikali

    Leadership is not about authoritative role we hold in an organisation,rather it is about the choice of actions we prefer to take. Donald McGannon Ndani ya muda mfupi tokea alipoteuliwa kuwa Katibu wa Nec itikadi na uenezi taifa,Ndugu Paul Christian Makonda ameweza kufanya mambo ambayo...
  17. B

    Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

    Huu ni mrejesho wa yenye kujiri: (a) Kuhusiana na ukimya Mwakaleli, Mbeya: 1. Kulipita tafrani hadi kuhitaji usaidizi tokea ofisi kubwa: "Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama" 2. Heshima kwenu sana waheshimiwa Freeman Aikael Mbowe na Tundu Antipas Lissu. 3. Wajumbe...
  18. Trainee

    Je, hakuna uwezekano wa mitandao ya simu kuruhusu kufuta au kuhariri ujumbe mfupi (sms)?

    Sina ujuzi wowote kwenye masuala ya mawasiliano lakini najaribu kuwaza kama kwenye WhatsApp kila siku maboresho yanafanyika why not kwenye jumbe za kawaida za simu? Kwani hakuna uwezekano wa kutufanyia tuweze kurekebisha ujumbe tunaotuma. Kwa mfano mngeweka mtu aweze kuhariri au kuufuta kabisa...
  19. DR HAYA LAND

    Kuwa mfupi au kuwa na mwonekano mbaya haimaniishi hautafanikiwa, endelea kujikubali na kujipa thamani

    Kuna jambo katika nchi yetu lipo mtu akijiona mfupi au kuwa mlemavu anaamini yeye safari yake ya MAISHA haitokuwa na MAFANIKIO hii sio Kweli ni upotovu. Katika MAISHA ili ufanikiwe unahitaji zaidi utimamu wa kiakili na kulivaa tumaini hata wakati Akili yako na Mwili vitakapokuwa havina Nguvu ya...
  20. w0rM

    Vifaa vya Tronic vinaharibika vyenyewe baada ya muda mfupi. Ni dhahiri baada ya kuaminiwa wameanza kuchakachua

    Salam Wanajamvi, Nisiwapotezee muda niende moja kwa moja tu kwenye mada. Yaani nimenunua vifaa vya umeme na kuweka kwenye nyumba zikiwemo sockets, taa na nyaya. Ila ikiwa ni miezi 9 tu tangu kuweka vifaa hivyo yaani baadhi vimeanza kuharibika vyenyewe. Taa zinaungua sana choke lakini kubwa...
Back
Top Bottom