Ni mara ya kwanza kuandika kitu humu ila wadau wa jukwaa la katiba naomba kuuliza hivi vile vipengele wezeshi kwa vijana (enabling provision) walivyodai kuwekwa kwenye ile Katiba ya Warioba bado ni vinapewa kipaumbele kuelekea hili sakata la katiba mpya?
Au vijana tushapigwa chini watu...
Foundation for Civil Society (FCS) na TradeMark Africa wamesaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kuboresha mazingira wezeshi na jumuishi ya kibiashara kuhakikisha Wanawake, vijana na watu wenye ulemavu wanajumuishwa kikamilifu katika uendeshaji wa biashara, kukabiliana na changamoto kubwa...
Mara nyingi tumekuwa tukishauri viongozi vitu vya kufaya ili kusaidia maboresho katika Wizara na Serikali kwa ujumla. Sasa leo ukipewa wewe nafasi ya kuwa Waziri wa Kazi na Ajira, utafanya nini cha tofauti ili kusaidia kuongeza Ajira katika nchi yako?
Usitegemee mwanasiasa akuletee urahisi wa maisha yako.
Kila biashara ina mtaji na mtaji wa mwanasiasa ni mtu mjinga ambae hajielewi ndo anaweza kukalishwa kwenye jua na kupangishwa foleni ili kupiga kura.
Ni mwaka wa pili sasa nafuatilia hii program ya BBT iliyo anzishwa na mh Bashe chini ya wizara ya kilimo , nilichogundua hii program ni ya kisiasa na kidarali watu wanapiga pesa vibaya mno na vijana wanapotezewa mda na kutumikishwa kama watumwa wakipewa ujira na Kwa malimbikizo. Naona bora...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Hapi amewataka Wanaume kuacha kutelekeza Watoto huku akiwasisitiza Vijana kuoa .
Hapi amesema hayo akiwa Mkoani Singida May 10,2024 ambapo amesema “Nataka tuone mkakati kweli tuna tatizo kubwa la Watoto wa Mitaani na sio Singida tu ni kote...
Tanzania ni moja ya nchi za kiafrika zenye a idadi kubwa ya wasomi ambao wamekua wakiishi kwa kutegemea kuajiriwa. Hii imekua ni desturi sasa tangu kupata uhuru miaka ya 1961, ni kwasababu ya uwepo wa mfumo wa elimu ya kikoloni unao ruhusu utegemezi zaidi.
Pamoja na uwepo wa jitihada kubwa za...
Vijana tujitahidi kutunza pesa kuna magonjwa,Kuna ajali Kuna uzee vijana wanatembea na msemo wao wanaosema kuwa wanaokula ujana maisha ni mafupi ukiwakuta huko sehemu za starehe wanakunywa pombe kifo sio jambo rahisi hivyo kuondoka duniani hiyo yote watu hawapati muda wakutembelea wagonjwa...
Mojawapo ya kosa kubwa sana la kiufundi kwa vijana wengi wadogo wanaoanza biashara ni kuwekeza pesa nyingi kwenye vitu ambavyo havirudishi pesa kwa haraka au pengine havirudishi kabisa. Vijana wanafungua maduka ila wengie hawafikishi mwaka mmoja wamefunga baada ya kushindwa biashara.
Vijana...
Ndugu zangu Watanzania,
Mwamba Makonda hapoi wala hakauki midomoni mwa watanzania.ni mtu na kiongozi wa kugonga na kuteka vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kila uchwao utafikiri field Marshall anayerejea kutoka uwanja wa vita na mapambano.
Baada ya kuwa na utaratibu wa kukutana na...
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero Mkoa wa Morogoro @saidnguya amekemea tabia iliyoanza kujengeka miongoni mwa vijana nchini ya kusifiana sifa za uongo wakiwa ana kwa ana ama kusemana vibaya.
Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na vijana wa
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Chuo Kikuu...
Watu wengi wamekua wakijiuliza kwa nini siku hizi night clubs zinakufa sana, mfano Maison na nyinginezo hapa Tanzania.
Ukweli ni kwamba night Clubs Dunia nzima zinakufa kwa sababu kizazi Z ambao ndio walipaswa kua wanaruka majoka usiku kucha hakipendi kwenda night Clubs.
Sababu nyingine ni...
Vijana wawezeshwe kujitegemea katika kukuza uchumi wa nchi kwa kutumia changamoto kama fursa.
Mungu ametujalia ardhi yenye rasilimali nyingi ambazo asilimia kubwa hatuzitumii katika kuziongeza thamani
Ipo haja serikali kuwasaidia vijana waweze kuongeza thamani katika bidhaa.
Mfano sioni haja...
[GASTON JORDAN LIVIGHA]
[gaejombishi@gmail.com]
UTANGULIZI
Naandika sio kwa dhumuni la kushinda pesa la hasha! lakini naandika nikiwa kama mmoja wa vijana walioathirika na janga la ukosefu wa ajira. Nikiwa kama muhitimu wa chuo cha Dodoma shahada ya mipango na usimamizi wa miradi na maendeleo...
Nilifanikiwa Kutembelea Baadhi Ya Wananchi Wa Wilaya Ya Ilala, Kutoka Kata Ya Kivule, Ili Kujua Maendeleo Ya Wananchi wa Wilaya Yetu Ya Ilala.
Katika Matembezi Haya, Nilifanikiwa Kujua Mafanikio Yaliyofikiwa Na Serikali Ya Chama Cha Mapinduzi Kwa Wananchi Wake, Changamoto, Pamoja Na Mapendekezo...
Maisha baada ya chuo ni magumu sana, mtu unaweza kuwa unajitafutia riziki mfano boda boda unakutana na disappointments nyingi.
Kuna watakaokwambia kuwa umesoma Kwa ajili gani na unafanya kazi duni lakini watawala watatuita maafsa, ila yote ya yote ni kufocus na kujituma ukiwa unasubiri miujiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.