Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,233
- 4,740
Vijana tujitahidi kutunza pesa kuna magonjwa,Kuna ajali Kuna uzee vijana wanatembea na msemo wao wanaosema kuwa wanaokula ujana maisha ni mafupi ukiwakuta huko sehemu za starehe wanakunywa pombe kifo sio jambo rahisi hivyo kuondoka duniani hiyo yote watu hawapati muda wakutembelea wagonjwa hospital kama ukipatwa na magonjwa Kuna magonjwa yanaweza kukutesa mpaka mwaka mzima upo kitandani ndio kifo kinakuchukua hivyo ni vyema tunavyoishi tuwe na utaratibu wa kuweka akiba Kuna wagonjwa hawawezi kabisa kutembea basi ni mtu wa kitandani hivyo inabidi upate watu wakukutawaza wakati wote yanatafakarisha sana kila nikiona wagonjwa Hawa hapa ndio inapofika hatua ndugu wanavutana mbaya zaidi mgonjwa akiwa masikini pesa muda wote zinahitajika mtu yupo kitandani miezi sita