bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. Moviez Tz

    Nikitengeneza kozi inayohusiana na nini ? Naweza uza bongo

    Nilikua na kaplatform kangu ka kozi, hivyo nilikua nauliza nifundishe kuhusu nini angalau naweza Pata wateja kwa hili soko la bongo na pia budget yabei ikaaje ? Naombeni maoni yenu
  2. Engager

    Nimsanii gani wa mziki bongo ambaye tangu uanze kumsikia hujawahi muelewa kabisa?

    Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo kwa mbaali sana. Hata nikikutana nayo kwenye playlist ntaiskip tu.
  3. Protector

    Nini uhusiano wa Bongo FM na TBC

    Nisiwachoshe niende kwenye mada moja kwa moja. Nimevumilia sana ila nimeshindwa, napenda kujua uhusiano ulipo kati ya Bongo FM na TBC kwa sababu mic ya Bongo FM zina stika ya TBC. Je, ni tawi la TBC au ni kampuni binafsi TBC ana hisa zake? Mwenye kujua anijuze
  4. Mkalukungone mwamba

    Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo?

    Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
  5. sonofobia

    Nipeni list ya bongo piano za nguvu niweke kwenye playlist yangu mpya

    Nipe suggestion ya bongo piano nzuri za kuimba mfano wa single again, sumu ya kiba, naringa ya zuchu za hivyo nazipenda saaaana. Staki za makelele
  6. W

    Miaka 12 ya Bongo Movie bila uwepo wa Steven Kanumba

    Steven Charles Kanumba alizaliwa 8 Januari, 1984. Alikuwa miongoni mwa waigizaji maarufu nchini Tanzania. Aliingiza katika tasnia ya uigizaji miaka ya 90 na na kujizoelea umaarufu mwaka 2002 baada ya kujiunga na kundi la Kaole Sanaa Group. Aliwahi kupewa tuzo ya mwigizaji bora wa kiume nchini...
  7. Mabula marko

    SoC04 Silikoni Bongo Mkombozi wa Bunifu Tanzania, ili kuchochewa ongezeko la ajira katika nchi yetu

    SILIKONI BONGO MKOMBOZI WA BUNIFU TANZANIA, ILI KUCHOCHEA ONGEZEKO LA AJIRA KATIKA NCHI YETU Utangulizi Ukitazama picha hapo juu wazo la uumbaji wa ulimwengu kama ambavyo maandiko matakatifu hutueleza linakuijia kichwani, lakini vile vile ukiendelea kuangalia vizuri utaona nembo za bunifu...
  8. T

    Wapi nitapata Virtual Reality kwa hapa Bongo? Mimi ni mdau sana wa hizi kitu

    wadau mnaopenda kutumia technology mimi ni mpenzi sana wa Technology. Nlikuwa na VR moja mwaka 2019 akaja mtu akaomba na amekuwa mgumu kurudisha nimeona tu nitafute nyingine. Ile ya kwanza nilinunua Dubai. Now natafuta kwa hapa Dar. Nitapata wapi? Nahitaji ambayo itakuwa compatible na android...
  9. Kichwamoto

    Ukweli Usemwe Ali Kiba hajawahi kuwa na Enzi ya Ufalme kwenye Bongo Flavor sana sana Amedumu kwenye Mziki wa Bongo tu

    Kulikuwa na wafalme kama hawa 1.. Joseph Mbilinyi SUGu, Mr II, 2proud, Taita 2. Professor J 3. JUMA Nature 4. Inspector Haroun 5. Ferouz 6. Mr. Nice 7. Mr. Blue 8. Mangwea 9. Afande Selle 10. 20 Percent 11. Fid Q 12. G.Nako na Clue yake yote 13. Dully Sikes (Huyu ndio Mr. Bongo Flavor) 14...
  10. Lycaon pictus

    Bongo usijaribu kukata tiketi VIP, utatapeliwa

    Wabongo huwa hawajali kumhudumia mtu. Ukiisha walipa imetoka hiyo. Juzi kati Yanga walikuwa na mechi watu waliingia bure na VIP walilipia. Watu wa VIP kufika uwanjani wanaambiwa siti za VIP zimejaa, hawataweza kuingia. Jana Cheka Tu walikuwa na show yao mlimani siti. VIP 40k regula 20K. Kama...
  11. Ncha Kali

    Kwa Tanzania, wachekeshaji wengi wameenda shule kuliko waimbaji na waigizaji

    Ukiachana na 'wadudu', wachekeshaji wengi wameenda shule. Hii tasnia imeonekana kustawi vema miaka ya hivi karibuni. Ni katika kutelekeza kaulimbiu ya Serikali yetu ya kuwataka wasomi wajiajiri. Wasomi wetu baada ya kukosa michongo ya maana wameangukia kwenye vichekesho, wengine wakienda...
  12. kimsboy

    Nusu ya wasanii wa Bongo fleva ni mashoga asema Chidy Benzi

    Chidy benzi amesema nusu ya wasanii wa Bongo wa kiume wanalika akimaanisha kwamba ni "mashoga" Chidy benz angetaja list kabisa Video hii hapa👇🏻 https://www.facebook.com/ISHEBOO/videos/1154680399214487/?app=fbl
  13. Nifah

    Joseph Kusaga na ujio wa ‘Netflix’ ya Bongo

    Ni Joe Kusaga tena… Waswahili husema mwenye nacho huongezwa, sio sahihi. Mwenye nacho hujiongeza ndipo huongezwa. Mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini aliyejikita zaidi kwenye tasnia ya burudani, Joseph 'Joe' Kusaga yuko mbioni kuja na App itakayokuwa katika mtindo unaoshabihiana na App...
  14. B

    No rasmi sasa Lavalava ndio king wa Piano bongo hii

    Mie si mpenzi wa WCB lakini ukweli usemwe toka jamaa ameanza kutoa amapiano zote zimehit kuliko kawaida. Hakuna msanii anaeweza kutoa ngoma back to back kama alivyofanya jamaa kuanzia Tajiri,Tunakikao,beer nyama, Sawa na sasa Kibango inayosumbua mtaani. Myonge myongeni lakini haki yake mpeni.
  15. A

    Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

    Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model. NB: Tengeneza future ya wategemezi wako ukiwa na nguvu.
  16. Afisa Mteule Drj 2

    Kuna Bongo Movie moja naitafuta nimeisahau jina

    Hiyo movie amecheza jamaa mmoja sijui ni kama msomali hivi simjuagi jina movie ile ni kama imechezwa maeneo ya magomeni kuna kipande dada fulani hivi kama ana asili ya kipemba au kiarabu aligeuka kahaba nadhani baada ya maisha kuwa magumu. Halafu nyingine iliwahi kuonyeshwa tbc kuna watoto mama...
  17. kipara kipya

    Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

    Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga. Wengi wasichokijua nyuma ya pazia...
  18. JanguKamaJangu

    Tuchemshe Bongo kidogo, huyu mchezaji ni nani?

    Je, Huyu Mchezaji ni nani? Ameshinda Ballon d'Or Copa America La Liga Copa del Rey Kombe la Dunia Klabu Bingwa Dunia Mfungaji Bora World Cup Mfungaji Bora Ulaya Mchezaji Bora Ulaya Amecheza Klabu 4 Kubwa Ulaya Pamoja na mafanikio yote hayo, Mchezaji huyu hajawahi kushinda Taji la Ligi ya...
  19. MK254

    Huyu imam aweka sawa kuhusu ardhi ya Wayahudi, hivi waarabu wa Bongo mnakwama wapi

    Wenye dini yao wameongea, nyie mnaowaiga kwa kuvaa dera/kanzu huko mnakwama wapi kujiongeza..... https://twitter.com/sanderson17280/status/1774137548605993180?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1774137548605993180%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=
Back
Top Bottom