nchi

  1. T

    Nchi imesimama kisa Kamati Kuu ya Chadema. Hongereni

    Nimepita mitaani leo watu wako "attention" kusikiliza nini kitatokea kwenye kamati kuu ya CHADEMA, na wengine wanasema mbona kamati inachelewesha kutoa maaximio yake. Kwa kweli Chadema hongereni kwa hatua hii muhimu mliyofikia kisiasa mkienda vizuri mna kesho nzuri shikilieni hapohapo huku...
  2. G

    Nasikitika kusema mfumo wa CHADEMA bado hauna uwezo wa kupewa uongozi wa nchi, labda waufanyie marekebisho au tuwape muda zaidi miaka 10 au 15 ijayo

    Habari wakuu Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa na vyama vya siasa imara vinavyoweza kubadilishana madaraka Kila wakati pale kilichopo...
  3. F

    Matatizo ya kukatika Internet nchi nzima alaumiwe Waziri Nape kwa kuikataa StarLink

    Waziri wa Habari na Mawasiliano, ndugu Nape Nnauye ndiye anapaswa kulaumiwa kwa kutokuwa na internet ya uhakika nchini kwani waziri huyu aliikataa kampuni ya Mmarekani tajiri zaidi duniani iitwayo StarLink ambayo ina satellite zaidi ya 10,000 angani. Kampuni hiyo iliyowasilisha maombi ya kutoa...
  4. R

    Ikitokea hitilafu au uvamizi wa cable za mawasiliano(internet) baharini tuna backup kama nchi?

    Leo imeripotiwa kuwepo kwa kukatika kwa mawasiliano lililotokana na hitilafu baharini unapopita mkonga wetu wa Taifa. Mitaandao yote ya mawasiliano imekuwa down kwa muda kiasi na hadi sasa network bado inasumbua.Hali hii imenifanya nijiulize je tuna backup za internet nje ya mfumo uliopita...
  5. Engager

    Kwani hii Nchi haina Lejendari hata mmoja wa soka apewe jina la uwanja?

    Viwanja vyote vya soka hapa kwetu vilivyopewa majina ya watu ni majina ya wanasiasa tu. Benjamini mkapa Ali Hassan Mwinyi Sokoine Amri Abeid Karume.....etc, nasasa uwanja unajengwa Arusha, hata mkandarasi hajaingia kazini tayari umeshaitwa Samia. Wanasiasa mbona mnakuwa wabinafsi hivo aisee...
  6. E

    Je, kufungua nchi ndio kuifanya dampo?

    Wasalaam ndugu zangu,Nimepende kuchukua fursa hii kuwasalimu watanzania wote wapenda maendeleo kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo ,amani iwe kwenu. Lipo jambo linanitatiza,maana kwa jinsi nionavyoo,huku tunapoelekea ni kwenyewe au tumeingia chaka.Jambo lenyewe ni swala la kufungua mipaka...
  7. peno hasegawa

    Huyu Mwalimu anaishi kwa mbinu Gani nchi Tanzania?

    Kwa hali hii, huyu mwalimu anaweza kupata akili ya kufundisha watoto darasani waweze kufaulu? Huwa anaishije?
  8. Hismastersvoice

    Mnatuingiza kwenye nishati safi kama nchi ya dunia ya kwanza!

    Kabla ya kuanza kutuingiza wananchi kwenye kutumia nishati safi serikali ingejikita kwanza kwenye maisha ya watumiaji na mapishi yao, pia mpango huo usingefanywa kibiashara zaidi, ungezingatia kuangalia jinsi gani baadhi ya wananchi wangeweza kupata nishati ya gesi bila kutumia fedha mfano...
  9. Wimbo

    Betting, michezo ya kubahatisha ni dhambi hata kama inaingizia nchi pesa nyingi

    Naliomba Bunge tunapofikia kujadili ustawi wa jamii michezo ya kubahatisha toeni sauti Taifa linaangamia, hata kama Mwigulu anaona ni sawa tu kwa kuwa pesa inaingia, faida ya pesa inayopatikana na madhara ya michezo hiyo kwa Taifa ni ni sawa na tone. Mwenyezi Mungu ameharamisha betting kwa nini...
  10. Last_Born

    SoC04 Hii ndiyo nchi tuiotayo kila siku

    1. Maendeleo ya Kiuchumi: Kuunda mazingira wezeshi kwa ukuaji wa viwanda, kilimo cha kisasa, na biashara endelevu kwa lengo la kupunguza umaskini na kuongeza mapato ya wananchi. 2. Elimu Bora: Kuboresha mfumo wa elimu kwa kuzingatia teknolojia na mbinu za kisasa ili kuandaa vijana kwa soko la...
  11. Mabula marko

    SoC04 Silikoni Bongo Mkombozi wa Bunifu Tanzania, ili kuchochewa ongezeko la ajira katika nchi yetu

    SILIKONI BONGO MKOMBOZI WA BUNIFU TANZANIA, ILI KUCHOCHEA ONGEZEKO LA AJIRA KATIKA NCHI YETU Utangulizi Ukitazama picha hapo juu wazo la uumbaji wa ulimwengu kama ambavyo maandiko matakatifu hutueleza linakuijia kichwani, lakini vile vile ukiendelea kuangalia vizuri utaona nembo za bunifu...
  12. Mhafidhina07

    Kwanini msafara wa Rais unasafiri kwa spidi kubwa na nchi nyingine wapo kama sisi?

    Picha linaanza magari yanaweza kufika hata 20 alafu barabara nzima wapo wao wanakimbia kwa kasi kubwa mno, hivi why tunaambiwa mwendo mkali unaua wakati wao viongozi wakuu wanakimbizana kama magari ya mbagala rangi tatu? Nchi nyingine wapo na mfumo huu?
  13. Nehemia Kilave

    Ukweli ni kwamba kama Nchi tunahitaji watu kama Tundu Lissu na Hayati Magufuli walioboreshwa

    Habari JF , TL na JPM personality zao zinafanana sana ukiachana tofauti zilizopo za kisiasa na ni wazalendo kweli kweli Hivyo Kiuhalisia hakuna zuri ambalo JPM alifanya Tundu lissu asingefanya ukiachana na matamshi ya TL kulingana na kuwa nje box . Vivyo hivyo hakuna baya ambalo JPM alifanya...
  14. A

    Kwa style ya viongozi wa namna hii, nchi yetu itaendelea kukaa gizani

    FEED THEM WITH FEAR, THEN EAT THEM.! Unajitahidi sana usizungumzie maswala ya siasa na imani za watu lakini unasikia viongozi wako wawakilishi wanaongea utopolo kabisa. Unajitahidi usiingilie maswala ya imani na dini za watu, mara unasikia viongozi wa dini wenyewe wanaruhusu mapenzi ya jinsia...
  15. Mabula marko

    SoC04 Tuuvune na kuuhifadhi umeme kwa matumizi ya baadae ili kupunguza tatizo la mgao na kukatika kwa umeme katika nchi yetu

    TUUVUNE NA KUUHIFADHI UMEME KWA MATUMIZI YA BAADAE ILI KUPUNGUZA TATIZO LA MGAO NA KUKATIKA KWA UMEME KATIKA NCHI YETU Utangulizi Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazojitegemea...
  16. M

    Nikikumbuka haya mambo ninakiri kabisa tumetoka mbali na nchi yetu ilikuwa masikini mno

    Wakuu bado hatujafika tunapotaka ila kiukweli kuna hatua tumepiga kwa miaka hii. Haya ni mambo ambayo yalikuwepo ndani tu ya miaka isìyozidi 30. 1. Shule za sekondari zilikuwa chache mno kiasi kwamba kwenye darasa la wanafunzi 60 wanaopata nafasi ya kujiunga kidato cha kwanza labda ni watano...
  17. M

    Nchi inahitaji mawakili wengi kama Kibatala

    Wakuu neno ukiukwaji wa haki unaweza kulichukulia kirahisi kama haijakutokea wewe. Ila ni kitu kinachoweza kukuvuruga mno kikitokea. Hayati Lowassa ni miongoni wanajua ladha ya hilo neno kwa vitendo baada ya tukio la kukatwa jina lake mwaka 2015. Ingawa sidhani kabla ya hapo kama alikuwa...
  18. D

    Nchi inakaribia kupasuka

    Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais. Chukueni hatua mapema kuzuia mikutano mana haina afya kwa ustawi wa sisi tunaopenda kufanya kazi. Orelse we gona...
  19. G

    Anashindwaje kutoka hadharani na kuisafisha hali ya hewa? Amekubali yaishe?

    1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi. 2. Lisu anasema Rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu. 3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa CCM kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia CCM 2025. Badala ya kukaa kimya Rais...
  20. FRANCIS DA DON

    Napendekeza dunia iwe na nchi moja tu ya ‘United states of Earth’ (USE). Raia wa kigeni ni yule wa kutoka sayari nyingine tu

    Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti na dunia. Rais awe mmoja tu.., hapatakuwa na serikali mbili wala tatu..
Back
Top Bottom