Anashindwaje kutoka hadharani na kuisafisha hali ya hewa? Amekubali yaishe?

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,794
4,494
1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.
2. Lisu anasema Rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.
3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa CCM kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia CCM 2025.

Badala ya kukaa kimya Rais alipaswa kuongea na waandishi wa habari ili kuzitolea maelezo hoja hizi tatu ili kuleta mtangamano ndani na nje ya chama chake na nchi kwa ujumla.

Vinginevyo, Rais anatoa tafsiri kuwa hatoshi, anapwaya na hajui chochote.

1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.

2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.

3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa ccm kupanga kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia ccm.

Badala ya kukaa kimya rais alipaswa kuongea na waandishi wa habari ili kuzitolea maelezo hoja hizi tatu ili kuleta mtangamano ndani na nje ya chama chake na nchi kwa ujumla.

Vinginevyo, rais anatoa tafsiri kuwa hatoshi, anapwaya na hajui chochote.
Mpaka muda muda huu SI Lucas Mwashambwa Wala chiembe waliojitokeza kujibu lissu amebonda utosini
 
Inawezekana vipi MZANZIBARI
Anaweza kupata ardhi Tanganyika lakini Mtanganyika hawezi kujenga Zanzibar
MZANZIBARI anaweza kuwa Rais Tanganyika lakini Mtanganyika hawezi kuongaza Zanzibar Kwa cheo chochote lakini Tanganyika wapo tele
Idadi ya wa Zanzibar waliopo kwenye vyombo Cha ulinzi na usalama ni kubwa kwauwiano wa idadi ya watu Zanzibar na Tanganyika,. Me hayo yote hatuyaoni au tumejizima data.
 
Yuko mkutanoni IDA na viongozi wengine 17 wa africa anapambania nchi kupata misaada na connection za kibiashara, nyie endeleeni ni fiester ruzuku ikiisha mwende nyumbani
 
1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.

2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.

3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa ccm kupanga kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia ccm.

Badala ya kukaa kimya rais alipaswa kuongea na waandishi wa habari ili kuzitolea maelezo hoja hizi tatu ili kuleta mtangamano ndani na nje ya chama chake na nchi kwa ujumla.

Vinginevyo, rais anatoa tafsiri kuwa hatoshi, anapwaya na hajui chochote.
hakuna ambacho kitabadilika kwa kelele na malalamiko yenu, ukiona wanafanya jambo ni kwa faida zao za kisiasa
 
1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.

2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.

3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa ccm kupanga kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia ccm.

Badala ya kukaa kimya rais alipaswa kuongea na waandishi wa habari ili kuzitolea maelezo hoja hizi tatu ili kuleta mtangamano ndani na nje ya chama chake na nchi kwa ujumla.

Vinginevyo, rais anatoa tafsiri kuwa hatoshi, anapwaya na hajui chochote.
Asafishe nini?

Hakuna mtu aloye serious ataacha kuchapa kazi aje kubishana na mental case

Ndio maana magu alikua anawanyoosha mkakosa pa kupumulia

Mh kawapa uhuru, mnautumia vibaya
 
Inawezekana vipi MZANZIBARI
Anaweza kupata ardhi Tanganyika lakini Mtanganyika hawezi kujenga Zanzibar
MZANZIBARI anaweza kuwa Rais Tanganyika lakini Mtanganyika hawezi kuongaza Zanzibar Kwa cheo chochote lakini Tanganyika wapo tele
Idadi ya wa Zanzibar waliopo kwenye vyombo Cha ulinzi na usalama ni kubwa kwauwiano wa idadi ya watu Zanzibar na Tanganyika,. Me hayo yote hatuyaoni au tumejizima data.
Mnaongeaaa,mbona watu kibao kutoka bara wana nyumba zanzibar, mnaaminishwa ,na kila anayesema hili muulize yeye kama yeye aliwahi kutaka akanyimwa?? Jibu hana atakwambia wanasema,sasa wanasema na wewe unadakia kitu usichokuwq na uhakika nacho
 
1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.

2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.

3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa ccm kupanga kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia ccm.

Badala ya kukaa kimya rais alipaswa kuongea na waandishi wa habari ili kuzitolea maelezo hoja hizi tatu ili kuleta mtangamano ndani na nje ya chama chake na nchi kwa ujumla.

Vinginevyo, rais anatoa tafsiri kuwa hatoshi, anapwaya na hajui chochote.
Ndo maana kuna wasaidizi watajibu hizo hoja sababu hazihatarishi usalama wa nchi
 
1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.

2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.

3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa ccm kupanga kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia ccm.

Badala ya kukaa kimya rais alipaswa kuongea na waandishi wa habari ili kuzitolea maelezo hoja hizi tatu ili kuleta mtangamano ndani na nje ya chama chake na nchi kwa ujumla.

Vinginevyo, rais anatoa tafsiri kuwa hatoshi, anapwaya na hajui chochote.
Mange analo ji u sahihi
 
Samia hajawahi ondoshwa kwenye reli mtaropoka weee na mwisho wa siku mtakausha na hakuna kilichobadikika cc DP World,Masai nk.

Samia Huwa hakurupuki na Wala Huwa haendeshwi na mihemko,inashangaza Hadi Leo hii hamjajua saikolojia yake.
 
Labda Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable waje kutetea hoja, si wanalipwa kwa kazi hiyo bwana. Ila kama ni yeye hawezi.
Inashangaza Hadi Leo hii watu wazima hama akili ya kusoma saikolojia ya Samia.

Samia hajawahi kurupuka Wala kuendeshwa Kwa mihemko Wala kujibu wajinga.

Mara hii mumesahau dp World,Masai nk? Lisu anadhana anaweza mtoa Samia kwenye reli? Samia sio Mwendazake kwamba atajaa upepe.

Mtaongea wewe mkiishiwa mtakaa kimya mtaona kimyaaa anaendelea na ratiba zake , hajawahi na haitakuja kutokea akatoka kwenye reli.
 
Mnaongeaaa,mbona watu kibao kutoka bara wana nyumba zanzibar, mnaaminishwa ,na kila anayesema hili muulize yeye kama yeye aliwahi kutaka akanyimwa?? Jibu hana atakwambia wanasema,sasa wanasema na wewe unadakia kitu usichokuwq na uhakika nacho
Pia na wewe wasema.
Katiba inasemaje kuhusu mbara kumiliki aridhi Zanzibar?
 
Back
Top Bottom