magari

  1. Erythrocyte

    Waziri Kijaji: Tanzania ina viwanda 13 vya kuunganisha Magari

    Taarifa hii iwafikie wabishi wote popote walipo, kwamba, ndani ya Tanzania kuna viwanda vya magari 13 Waziri wa Viwanda Dkt Kijaji amethibitisha --- Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa Tanzania ina jumla ya viwanda 13 vya magari, kati ya viwanda hivyo, viwanda...
  2. PureView zeiss

    Ushauri wangu Kwa wale wanaotaka kuagiza magari kipindi hiki

    Wakuu... Baada ya kuuza Rumion yangu siku ya jumatano uliyopita nilingia fasta mitandaoni kuagiza gari ninayoikusudia. Siku ya alhamisi asubuhi nilienda Kwa agent ili nianze process za kulipia gari hakika hapo ndipo nilichoka kabisaa baada kuambiwa kuwa hakuna dollar kwenye bank, kumbuka haya...
  3. Mkoba wa Mama

    SoC04 Suluhisho la msongamano wa magari barabarani na faida zake

    Utangulizi Kutokana na ongezeko kubwa la magari hasa katika maeneo ya mjini ni wakati sasa wa serikali kuchukua hatua madhubuti ili kuimarisha sekta ya usafirishaji nchini na kulinda miundombinu ya barabara. Moja ya hatua zinazoweza kuchukuliwa ni pamoja na ujenzi wa barabara maalum kwa ajili...
  4. MR VICTOR KAPESA

    MAGARI YAENDAYO KWA KASI PIA YAZINGATIWE

    Kuhusu usafiri wa haraka nchini Tanzania, kuna jitihada za kuboresha miundombinu na huduma za usafiri, hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam. Mradi wa mabasi yaendayo kasi ni moja ya mikakati inayolenga kupunguza msongamano wa trafiki na kuboresha usafiri mijini. Hata hivyo, bado kuna...
  5. Optimist_Tz

    Mkwamo wa Magari eneo la Ruvu kwa saa nyingi sababu ni gari la Jeshi la Wananchi?

    Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya kila asomae. Kuna mtihani mkubwa umewakumbuka wananchi wengi Leo unaosemekana kusababishwa na gari ya jeshi kuharibika na kipande cha barabara kufungwa kwa muda usojulikana. Kwenye Magari kuna wagonjwa ambao wanaenda hospital je hali zao itakuwaje? Kuna...
  6. MINING GEOLOGY IT

    Siri iliyojificha nyuma ya wizi wa 'unga' wa Exhaust za magari (Masega)

    'Unga' wa Exhaust za magari unatokana na madini ya palladium. Kwa jina Masega Palladium ni chuma adimu chenye thamani kubwa kwa sababu ya matumizi yake muhimu katika sekta mbalimbali, hususan kwenye magari na teknolojia nyingine. Thamani yake inatokana na katika utengenezaji wa vifaa vya...
  7. R

    Mbona hakuna magari ya rangi ya kijani au njano umewahi kuona Harrier ya kijani?

    Umewahi kuona hurrier ya kijani au njano. Au umewahi kuona Land cruiser V8 new modeli ya njano. Kwa kifupi Tanzania sijawahi kuona gari ndogo za kijani.na njano
  8. Sitaki kuamini

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Ukanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli. Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji mapigano yaliyoheshimishwa kwa ujumla tangu kumalizika kwa vita vya siku tano mwezi Mei. Tawi la...
  9. Stephano Mgendanyi

    Magari na Abiria Waliokwama Lindi Waanza Kuruhusiwa Kuendelea na Safari

    MAGARI NA ABIRIA WALIOKWAMA LINDI WAANZA KURUHUSIWA KUENDELEA NA SAFARI Magari ya Mizigo, Mabasi na magari mengine madogo yaliyokwama kwa siku sita katika barabara ya Lindi-Dar es Salaam eneo la njia nne (Mikereng’ende) hadi Somanga yakitokea Lindi kuelekea Dar es Salaam yaanza kuruhusiwa...
  10. Stephano Mgendanyi

    Magari na Abiria Waliokwama Lindi Waanza Kuruhusiwa Kuendelea na Safari

    MAGARI NA ABIRIA WALIOKWAMA LINDI WAANZA KURUHUSIWA KUENDELEA NA SAFARI Magari ya Mizigo, Mabasi na magari mengine madogo yaliyokwama kwa siku sita katika barabara ya Lindi-Dar es Salaam eneo la njia nne (Mikereng’ende) hadi Somanga yakitokea Lindi kuelekea Dar es Salaam yaanza kuruhusiwa...
  11. Mhafidhina07

    Kwanini msafara wa Rais unasafiri kwa spidi kubwa na nchi nyingine wapo kama sisi?

    Picha linaanza magari yanaweza kufika hata 20 alafu barabara nzima wapo wao wanakimbia kwa kasi kubwa mno, hivi why tunaambiwa mwendo mkali unaua wakati wao viongozi wakuu wanakimbizana kama magari ya mbagala rangi tatu? Nchi nyingine wapo na mfumo huu?
  12. M

    KERO Wezi wamezidi usiku Arusha. Wizi wa vifaa vya magari majumbani mwa watu UMEZIDI. Mamlaka chukueni hatua

    Kumekuwa na wizi unaendelea majumbani mwa watu nyakati za usiku wa manane hapa Arusha , wanaiba haswa side mirrows za Land Cruisers, Exels za Land Cruisers na vifaa vingine vya magari ya Watalii! Vifaa hivyo huuzwa kwa Wadau ambao huviuza tena kwa wahanga!! Vilio ni vingi mno! Sakina, Kwa...
  13. AKILI ZAKO

    Tuliambiwa mchina anaenda kumpiku Marcedes Benz

    Nimeikuta facebook baada ya jamaa kununua gari la kichina kwa wakala huko sauzi Hakuchukua muda mrefu Chuma inayoshikilia tairi limekatika
  14. GENTAMYCINE

    Kwanini nafurahishwa sana na nazikubali mno Nyodo na Dharau za Dotto Magari ambazo ni Chungu Kwetu Wasomi, Wabaguzi na wenye Dharau kwa Masikini?

    1. Wasomi wengi tuna Dharau kwa wale Wasiosoma 2. Wasomi wengi ni Wabaguzi hasa kwa wale Wasiosoma 3. Wasomi wengi tunadhani Kusoma sana ndiyo kuyapatia Maisha 4. Wasomi wengi tunaishi Maisha ya Kuigiza wakati kiuhalisia tuna Shida Milioni kidogo 5. Wasomi wengi tuna Roho Mbaya iwe Makazini...
  15. Mad Max

    Hizi Trend za Magari ya Siku Hizi mnazionaje?

    Wakuu. Sijui umri unanienda au? Kuna baadhi ya "trend" za magari naona zinazidi kushika kasi. Najua "maybe" ata Automatic transmission zinavyoingia kuna watu waliona jau, ila ishazoeleka sahivi. Ngoja niwape mifano yangu muone: 1. Gear Knobs za kuongeza kama Sauti Hizi nimeona kwenye Disco...
  16. Stephano Mgendanyi

    Huduma ya Magari ya Mwendokasi (BRT) Ianze Mbagala

    HUDUMA YA MAGARI YA MWENDOKASI (BRT) IANZE MBAGALA KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wake, Mhe Lazaro Nyamoga imefanya ziara ya kikazi ya kukagua mradi wa ujenzi wa miundombinu na uendeshaji wa mabasi yaendayo haraka Akiongea...
  17. Mad Max

    Unavyotafuta gari ya kununua, RANGI uwa unaipa kipaumbele au kanyaga twende?

    Wakuu, kwema. Kwa wale ambao wamewahi kununua gari, kwa kuagiza, kwa mtu au showroom, hivi rangi ya gari uwa unaiweka katika options zako za muhimu au? Kwa upande wangu, rangi ya gari nilikua naichukulia poa. Nikakutana na Runx nyeusi, nikanunua fresh. Shida ikaja, AC kuna kipindi ilizingua...
  18. D

    Natafuta kazi ya ufundi magari

    Habari za mda huu Naitwa Denis manase mmi Ni fundi wamagari nipo Arusha natafuta kazi hususan Ni ufundi wa magari naweza kutengeneza Magari kama -Toyota _Mistubish _subaru _tata _nk Kama Kuna mtu Ana huitaji wa fundi au company nipo tayari napatikana kwa number 0616484807
  19. Lycaon pictus

    Tungepambana na magari ya umeme badala ya kuhangaika na kuweka mfumo wa gesi kwenye magari

    Dunia inaelekea kwenye magari ya umeme. Cha kushangaza sisi bungeni tunahangaika na kuweka mifumo ya gesi kwenye magari. Miaka ishirini mbele maga karibu yote yatakuwa ya umeme. Habari ya magari sasa ni mabetri, lithium, graphite nk nk, mambo yanayosaidia kuendesha magari ya umeme. Badala ya...
  20. FRANCIS DA DON

    Barabara ya Tabata Mawenzi ina mashimo ya kutisha, magari yote mwezi ujao lazima yafurike gereji

    Kwa magari yanayopita hapo daily, next month andaeni bajeti ya Shockabsorbers, ball joints na bushes za aina mbali mbali. Kuhusu picha mi nimeona aibu kupiga picha, mwenye ujasiri wa kupiga picha aende akapige mwenyewe.
Back
Top Bottom