eneo

  1. Optimist_Tz

    Mkwamo wa Magari eneo la Ruvu kwa saa nyingi sababu ni gari la Jeshi la Wananchi?

    Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya kila asomae. Kuna mtihani mkubwa umewakumbuka wananchi wengi Leo unaosemekana kusababishwa na gari ya jeshi kuharibika na kipande cha barabara kufungwa kwa muda usojulikana. Kwenye Magari kuna wagonjwa ambao wanaenda hospital je hali zao itakuwaje? Kuna...
  2. A

    KERO Mkandarasi anayechimba mchanga Mto Tegeta anaharibu eneo kubwa la barabara, TARURA wapo kimya tu

    Asante sana JF kwa kutupa Wananchi platform kama hii za kueleza kero, dukuduku na mengine yote ambayo inaweza kuwa ngumu kuyafikisha kwenye mamlaka mbalimbali za binafsi na Serikali hasa kwa sisi Wananchi wa kawaida. Kero yangu ambayo pia naweza kusema ni kero yetu inahusu mamlaka ya Wakala wa...
  3. Iruru

    KERO Hewa chafu eneo la Mchicha Vingunguti

    NEMC na taasisi zingine za uthibiti, eneo la Mchicha Vingunguti kuna hewa kali sana ambayo ukipita lazima ushindwe kupumua na kupata kikohozi kikali. Watu wanasema sulphur inayotoka viwandani. Je, mmeamua kutua kwa sulphur baada ya kimbunga Hidaya kutusamehe?
  4. Mkalukungone mwamba

    Taka zimejazana sana eneo la Boko Magengeni, magari ya kubeba taka hakuna kwani?

    Uchafu umejazana sana eneo la Boko Mgengeni kwa siku kadhaa sasa na hakuna hatua iliyochukuliwa kutoa taka hizo ambazo zinasambaza halufu mbaya zaidi. Mbaya zaidi taka hizo zimewekwa mbele ya maduka ya vyakula na dawa ambapo inaweza kupelekea mlipuko wa magonjwa ya mlipuko kama kipindupinu n.k...
  5. Dx and Rx

    Je, ni kweli Ada ya kumuona Daktari (Consultation Fees) inavutia Daktari kwenda kufanya kazi katika Hospitali fulani katika eneo fulani?

    Katika Hospital za Rufaa za Mikoa na Hospital za Ngazi ya Taifa na Kanda, Madaktari wana maslahi tofauti kimishahara, Daktari wa Hospital ya Ngazi ya Taifa na Kanda anamzidi mshahara Daktari wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wakiwa na elimu sawa. Kuwaona hawa madaktari wakati wa kuanza matibabu...
  6. MINING GEOLOGY IT

    Bahati Kubwa! Ugunduzi wa Madini ya Dhahabu na Copper Yenye Thamani Kubwa: Mgunduzi ni Mining geology IT

    "Asili ya Dhahabu: Ugunduzi Mpya katika Ardhi ya Tanzania! Kupitia juhudi za kisayansi na utaalamu wa jiolojia, nimeweza kufanya ugunduzi wa eneo lenye thamani kubwa ya madini ya dhahabu na copper katika ardhi ya Tanzania. Eneo hili lenye hekta 20 limegunduliwa kuwa na kiwango kikubwa cha...
  7. ndege JOHN

    Lijue eneo lenye makaburi mengi zaidi duniani

    Panafahamika kama peace valley huko Iraq.. Unaweza ukadhani ni mji kumbe hapo kuna kabauri zaidi ya million 5. ====== The world's largest cemetery, in Iraq's Shi'ite holy city of Najaf, is expanding at double its usual rate as Shi'ite militias bury their dead from the war against Islamic...
  8. Sir John Roberts

    Marekani yakiri Israeli hawezi kuishinda Hamas kwa kuvamia eneo la Rafah

    Katika hali inayoonesha kuwa ngoma hii ni ngumu Msemaji wa ikulu ya Rais wa marekani John Kirby leo ameeleza wazi kuwa kitendo cha IDF kuingia katika mji wa Rafah kitasababisha Wanamgambo wa Hamas kuwa imara zaidi na kukwamisha mazungumzo ya usitishwaji Vita huko Gaza. Israeli imesema kuwa...
  9. Truth Bot AI

    DOKEZO/KERO:Tumechoshwa na Biashara ya Ngono Inayofanyika Katika Eneo la Shule maana Mabaki ya Kondomu Yanazagaa Uwanja Mzima Kirumba mwanza

    Mwanza. Ni jambo ambalo halikutarajiwa na wengi na isivyo bahati, uwe mgeni ama mwenyeji hapa mjini Mwanza ukipita pembezoni mwa mazingira ya shule za msingi Kitangiri A na C zilizopo pembezoni mwa uwanja wa CCM Kirumba kuanzia majira ya saa moja jioni utakutana na makundi ya wanawake wanaofanya...
  10. I

    Kitendo cha kutaka kuhamisha familia 400 zinazozunguka eneo la kimondo cha Ndolezi Mbozi bila fidia ni cha kishenzi

    Wananchi wa kijiji cha Ndolezi kilipo kimondo maarufu cha Mbozi wamekuwa wakiishi hapo kabla ya wanasayansi kuthibitisha kuwa jiwe lile ni kimondo, hivyo kulipa jiwe hilo hadhi ya pekee kulinganisha na mawe mengine yaliyopo kijijini hapo. Baada ya uthibitisho huo wanasayansi, watalii, na watu...
  11. Ritz

    Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kupanua eneo la operesheni hadi Bahari ya Mediterania ikiwa operesheni ya Rafah itaanzishwa na Israel

    Wanakumbi ⚡️⭕️🔻#YEMEN : Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kupanua eneo la operesheni hadi Bahari ya Mediterania mara moja na kuidhinisha usafirishaji wa kampuni zote ambazo zina uhusiano na #Israel ikiwa operesheni ya Rafah itaanzishwa : Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Yemen: Vikosi vya Wanajeshi...
  12. L

    Eneo - Kibamba- Kibwegere, Kiluvya

    Wakuu kwa Mil 3- 5 naweza pata kiwanja cha makazi kwa maeneo tajwa hapo juu ?
  13. P

    SoC04 Safisha eneo lako Dar iwe safi

    SAFISHA ENEO LAKO DAR IWE SAFI Hapo zamani za kale ilijulikana kama mzizima ila kwa sasa hivi inaitwa Dar es salaam ni mkoa wa nchini ya Tanzania pia ni moja wapo la jiji la Tanzania, inawakazi wengi sana kuliko mkoa mwengine wowote Tanzania na ni mkoa mdogo kieneo ukilinganisha na mikoa...
  14. BARD AI

    Mbunge wako na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wanafika eneo lako kushughulikia Kero au ndio wamepotea hadi Uchaguzi ujao

    Tunaelekea mida ya kuanza kuwaona Waliotuomba Kura 2019 na 2020 wakitaka nafasi za Ubunge na Wenyeviti wa Serikali za Mtaa wakijipitisha tena kama vile walikuwepo. Vipi hapo kwako Kiongozi uliyemchagua anashughulika na Kero zenu au ndo hata hujui alipo?
  15. BARD AI

    Hali ya Mazingira na Miundombinu ikoje katika eneo lako kutokana na Mvua zinazoendelea?

    Ripoti mbalimbali zinaonesha maeneo mengi ya Nchi yanakabiliwa na Mvua zinazoendelea kunyesha na kuathiri shughuli mbalimbali za kila siku ikiwemo Miundombinu Hali ikoje katika eneo lako na je, kuna usalama?
  16. Webabu

    Israel wameshindwa na Iran, wameelekea Rafah.Wameharibu mazao mashariki ya eneo hilo

    Harakati za kijeshi za Israel eneo la Rafaha zimeongezeka sana katika siku mbili zilizopita. Hilo linatokea wakati dunia ilihofu sana kwamba angejibu kwa nguvu shambuio la Iran lililopiga kambi zake mbili kuu za kijeshi hapo Jumamosi iliyopita. Taarifa zinaonesha kuwa idadi ya vifo katika eneo...
  17. Pfizer

    Serikali imesema kuwa imeanza taratibu za tathmini ya eneo la makaburi ya Idefu

    Serikali imesema kuwa imeanza taratibu za tathmini ya eneo la makaburi ya Idefu - Makambako na taratibu za malipo zitaanza baada ya kuidhinishwa na Mthamini Mkuu wa Serikali. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), alipokuwa akijibu swali...
  18. JanguKamaJangu

    Waziri Silaa aagiza Mwenyekiti wa Mtaa akamatwe kwa kuuza eneo la Mchina akijua kafa na Corona

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameagiza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Mwanjelwa aliyejulikana kwa jina la Brayan Mwakalukwa na Ezekiel Mwanje mwakilishi wa mmiliki wa anayedaiwa kuuziwa Nyumba ambayo ni mali halali ya Li Shi Cai ambaye ni mwekezaji...
Back
Top Bottom