kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Jamii imewatelekeza vijana wa kiume na kuweka nguvu kubwa kwa upande wa kike

    Ukweli inatakiwa usemwe wazi kwamba leo hii jamii imesahau kabisa kuhusu mtoto wakiume ikiamini anaweza kujipambania bila hata ya kupata msaada kutoka kwa jamii inayo mzunguka. Ni wazi kwamba Taifa lijiandae kupambana na kumuinua kijana wa kiume ifikapo 2030+ Kwasababu leo hii jamiii yetu...
  2. L

    Ni Aibu na Fedheha kubwa sana kwa CHADEMA Nzima kushindwa kumpatia Gari la Ofisi Makamu Mwenyekiti wake Mpaka anaamua kutumia la kukodi

    Ndugu zangu Watanzania, Inasikitisha sana,ni aibu kubwa ,inafedhehesha,inaleta maswali mengi sana juu ya umakini na akili za chama hiki cha CHADEMA. Hii ni baada ya kusikika kwa taarifa kuwa Lissu alikuwa hana gari la kutumia katika shughuli za chama, na kwamba gari alilokuwa akitumia lilikuwa...
  3. Ziroseventytwo

    Gharama za hospital ni kubwa. Jitahidini muwe na bima

    Mpaka sasa nimetumia 133,000/= kwa ajili ya vipimo. Na kuna kipimo ki1 nimeacha sababu ya kukosa pesa. Nina maumivu mgongoni. Kuanzia usawa wa mbavu kuja juu. Nimekuja kumwona dr baada ya kumpa maelezo kaniandikia kufanya vipimo vya ultrasound, xray, na vipimo v3 vingine kutoka kwenye damu...
  4. M

    JE UNATUMIA SIMU KUBWA NA HAIKUINGIZII KIPATO CHA KUKIDHI MAHITAJI YAKO?

    Vijana wengi tunachangamoto ya kupata kianziO au mtaji kwajili ya kuanzisha biashara ndogondogo masikani kwetu. Unaweza kutimiza Ndoto zako sasa na kujitengenezea kipato kikubwa kitakachokidhi mahitaji yako bila kujairiwa na mtu yeyote Karibu kwenye site ya mafunzo ya kufanya biashara...
  5. MINING GEOLOGY IT

    Antaktika ndio Jangwa kubwa zaidi kuliko Sahara

    Jangwa linatambulika kwa sifa zake za kuwa na unyevu wa chini sana (upungufu wa mvua) badala ya kuwa na hali ya joto au baridi. kigezo kikubwa cha utambuzi wa jangwa ni kiasi cha mvua kinachopokea kwa mwaka. Sababu Antaktika inapokea wastani wa chini ya 200 mm (8 inches) za mvua kwa mwaka...
  6. MSAGA SUMU

    Upendo Peneza: Wakati naingia Chadema haikuwa kubwa kiasi hicho.

    Mwanasiasa Upendo Peneza anasema wakati anaingia Chadema kilikuwa chama cha kawaida kabla ya yeye kukisaidia kukua kwa kasi.
  7. A

    KERO Mkandarasi anayechimba mchanga Mto Tegeta anaharibu eneo kubwa la barabara, TARURA wapo kimya tu

    Asante sana JF kwa kutupa Wananchi platform kama hii za kueleza kero, dukuduku na mengine yote ambayo inaweza kuwa ngumu kuyafikisha kwenye mamlaka mbalimbali za binafsi na Serikali hasa kwa sisi Wananchi wa kawaida. Kero yangu ambayo pia naweza kusema ni kero yetu inahusu mamlaka ya Wakala wa...
  8. MSAGA SUMU

    90% ya Watanzania hawafahamu kama ziwa Tanganyika kuna Submarine kubwa sana

    Kama sio mfuatiliaji wa mambo au mvuvi unayefika kina kirefu ndani ya ziwa Tanganyika huwezi kujua hii inshu. Siku moja saa 8 usiku tulikuwa tuko katikati tunarekebisha nyavu, tukakutana na submarine nadhani walikuwa wanajaza mafuta. Ilikuwa ni kubwa sana japo kuwa asilimia kubwa ya chombo...
  9. ndege JOHN

    Kama Rushwa nchini Tanzania isingekuwa kubwa basi tungejua hizi kesi 3 zimeishaje

    1. Wizi wa mafuta kigamboni 2. Mchimba Madini Mtwara 3. Mtandao wa POS fake katika halmshauri Hakuna kazi life is not fair.
  10. jingalao

    Matatizo ya Mkongo wa Taifa ni funzo kubwa la kiusalama!

    Bado kuna umuhimu wa back up ya Hardcopy katika maswala yote ya kiserikali na kijamii ili kuepuka kusimama kwa huduma na mengineyo. Hili ni somo kubwa kwa wanausalama nchini. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  11. MINING GEOLOGY IT

    Bahati Kubwa! Ugunduzi wa Madini ya Dhahabu na Copper Yenye Thamani Kubwa: Mgunduzi ni Mining geology IT

    "Asili ya Dhahabu: Ugunduzi Mpya katika Ardhi ya Tanzania! Kupitia juhudi za kisayansi na utaalamu wa jiolojia, nimeweza kufanya ugunduzi wa eneo lenye thamani kubwa ya madini ya dhahabu na copper katika ardhi ya Tanzania. Eneo hili lenye hekta 20 limegunduliwa kuwa na kiwango kikubwa cha...
  12. Ndagullachrles

    Mwalimu ajinyonga huko Moshi kisa riba kubwa ya mkopo

    Mwalimu wa shule ya sekondari ya Ebenezer iliyopo Sango mkoani Kilimanjaro, Anthony Sulle amefariki dunia kwa kujinyonga. Habari kutoka Moshi zinadai kuwa kabla ya kujinyonga marehemu aliandika ujumbe unaoelezea kisa cha yeye kuchukua maamuzi hayo magumu. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo...
  13. vibertz

    Fighting spirit ni jambo kubwa katika mpira ukiachana na ubora na mbinu

    Kwenye mpira wa miguu hakuna kitu kizuri kama kupambania timu na hilo ndilo ambalo limeifanya Yanga wafikie hapa walipo ukiachana na mbinu na ufundi wa kocha Gamondi. Viongozi wa Yanga wanaonesha wanataka kitu, wachezaji wanaonesha wapo tayari kupambana kufikia lengo na kila mechi wanacheza kama...
  14. mdukuzi

    Asilimia kubwa ya wanawake/ wasichana wa kanda ya ziwa wana chale mwilini

    Unatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa dawa. Hii kitu nawezw kusema ni asilimia zaidi ya 80 ya wanawake wa kanda ya ziwa,bila kujali kabila...
  15. R

    Kamari yatafuna Taifa kimya kimya, Serikali ilizazame hili Kwa makini.

    Salaam,Shalom!! Nimesoma tafiti iliyofanywa na Taasisi inayotambulika Kwa Jina la SAUTI KUBWA: Isemayo. " Kamari yatafuna Taifa kimya kimya" iliyoandikwa na mwandishi aitwaye, Arodia Peter , makala hiyo imeandikwa 24 April 2024. Kwa uchache nasummarize; Ripoti ya Taasisi ya Utafiti na...
  16. Liverpool VPN

    Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Maana ya Ndoa Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa. Aina za ndoa kwa mujibu wa sheria Kuna aina mbili tu za ndoa zinazotambulika na sheria ya ndoa Tanzania Ndoa ya mke mmoja na mume...
  17. ndege JOHN

    Sababu Kubwa kwanini biashara ya mgahawa wa chakula ni bonge moja la idea.

    1.watu ni lazima wale wapate nguvu mtu hawezi kufanya matendo ya kununua nguo, viatu, computer, kusafiri, kufukuzia mchumba kama hajala yaani lazima tu kipaumbele kiwe kula 2.rahisi kuikuza kwani ubunifu wako ndo utafanya upate wateja mfano mtu anakula pale mezani ila kuna vipeperushi vya menu...
  18. Kaka yake shetani

    China wazindua meli kubwa inayotumia umeme kujiendesha

    Kampuni ya COSCO Shipping, ambayo ni mali ya serikali ya China, imeanzisha meli kubwa zaidi inayoitwa Green Water 01. Meli hii kubwa, yenye uzito wa zaidi ya tani 10,000, inafanya kazi kwa kutumia umeme pekee. Ina urefu wa mita 119.8, upana wa mita 23.6, na kina cha mita 9. Inaweza kutembe...
  19. R

    Kwa akili kubwa aliyonayo John Pambalu upo uwezekano akasajiliwa kama wakina Nassary

    Nchi haitaki watu wenye akili kubwa kuliko watoto wa viongozi wakuu wa nchi. Viongozi waandamizi wanatamani wangezaa watoto kama John Pambalu lakini bahati haikuwa yao. Wao wamebahati kuzaa watoto wanaofundishwa siasa na maisha wakati wakina Pambalu uzaliwa na akili ya kipaji. Vipaji vingi vya...
Back
Top Bottom