Habari zenu wadau,
Naomba kushea hii kitu, kuna mtu nimekutana naye ana shida ya uzazi lakini mwanzo aliweza kubeba ujauzito na kujifungua mtoto mmoja. Baada ya hapo hakuweza tena kubeba ujauzito wala kupata hedhi kwa muda wa miaka 4 hadi sasa.
Mwenza wake alijuzwa na madaktari kuwa mkewe...
Kama hutaki njoo Niue nipo tandale huku naishi chumba Cha Giza Cha Kodi ya TSH 25,000/= ( simu zangu naachaga Kwa mangi kipindi Cha mvua maana mafuriko yakitokea huenda yakaondoka na simu zangu 😂😂🙌 )
Sikia rafiki ikiwa unafanya kazi ya ulinzi kama Mimi😂 ya kulipwa 120k per month siyo case...
Maana ya Ndoa
Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa.
Aina za ndoa kwa mujibu wa sheria
Kuna aina mbili tu za ndoa zinazotambulika na sheria ya ndoa Tanzania
Ndoa ya mke mmoja na mume...
1. Kwamba kinachoendelea Marekani ni jitihada za Serikali ya huko kupinga haki ya watu kujieleza?!
2. Kutokuheshimiwa huku kwa wazi kwa misingi ya kawaida kabisa ya utawala wa sheria, ni wa kulaaniwa vilivyo na kila mtu na hasa mtanzania aliye mzalendo.
3. Kwamba CHADEMA chama tegemeo kwa...
Hapo zamani mitandao ilileta routers na modem za kampuni maarufu kama Huawei na zote,
Ma IT na mafundi wengi waliweza kuzifungua kwasababu wazungu, wachina, wahindi, waarabu, n.k. walikuwa wanaumiza vichwa kubuni mbinu za kuzifungua, mafundi wetu walikuwa wanafuata maelekezo, modem na router...
Congo ni taifa lenye historia ndefu na utajiri wa kitamaduni katika eneo la Afrika ya Kati. Kuna Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Jamhuri ya Congo (pia inajulikana kama Congo-Brazzaville).
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ni nchi kubwa zaidi katika eneo la Afrika ya Kati, iliyopo...
Kuelekea maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani,wafanyakazi nchini wako kwenye mjadala wa kikokotoo,bima ya afya,nyongeza ya mishahara,kupanda n.k. huku wakikosa umoja na mtetezi atakayesimama kuwasemea ili kufika pale wanapotaka.
Kwa miaka kama tisa au kumi tangu utawala wa Rais...
Imagine mwanamme unaitwa babe sijui baby, yaani mtoto?
Hii sio kweli.
Kwa mwanamke ni sawa, sababu hata kwa kiswahili tunawaita watoto yaani 'totoz' au 'bebez'.... kwa mwanamme ina maana gani?
Kama ni kwa mahaba, basi iishie siku za mwanzo tu za uchumba ile kudanganyia.... ukishanasa haina...
Katika maisha ya soka dunia nzima vijana ndio msingi mzuri wa maendeleo ya soka. Katika taifa letu la Tanzania jamii ikiongozwa na TFF kwa msaada wa serikali imekuwa ikijitahidi kuinua mchezo wa soka, lakini inasikitisha kuona wanachokifanya ni KUTENGENEZA PAA LINALO MEREMETA WAKATI MSINGI NI WA...
Kumekuwa na kasi kubwa ya wanawake wengi hasa mijini kukosa nguvu za kike, nao moja tu uaanza kulalamika eti amechoka na visingizio kibao mara amechoka,mara anamaumivu mara anamawazo na n.k
Nini kifanyike hawa viumbe wawe kama zamani unalala unaikoboa na bado asubuhi wanadai .
Kazi ya kucheka...
Zaidi ya wananchi 1,000 wa Kijiji cha Namwangwa, Kata ya Hezya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, wamekosa huduma za afya kwa miezi mitatu sasa, baada ya tabibu anayehudumu kwenye zahanati ya kijiji hicho kustaafu.
Wananchi hao wamekumbwa na changamoto hiyo baada ya mhudumu wa awali kustaafu tangu...
Kwa nini Tanzania madini mengine yanakosa soko hapa ndani ukilinganisha soko la dhahabu.
Kuna sababu kadhaa zinazoweza kuchangia aina fulani za madini kutokuwa na soko kubwa ndani ya Tanzania ikilinganishwa na dhahabu. Baadhi ya sababu hizo ni pamoja na:
Ubora na Wingi wa Malighafi: Baadhi...
Nina kero kadhaa kuhusu Shule ya Msingi Kiswahilini inayopatikana Wilaya ya Sikonge, Kata Igigwa, Kijiji cha Tumbili, Kitongoji cha Kiswahilini yenye Wanafunzi 300 ina changamoto kadhaa
1. Mbali na kuwa na Wanafunzi 300, shule hiyo ya Mkoani Tabora ina matundu ya vyoo mawili tu tena yenye...
Salama mtasalimiwa na Refa.
Japo lawama zote zinaenda kwa refa na jopo lake lkn mimi nadhan tunapaswa pia kuwalaumu wachezaji wa yanga.Tujiulize;
1. Kwanini hawakukusanyika kwa referee na kumtaka akaangalie VAR?
2. Je walikosa uzoefu wa mashindano?Hawaoni hata wachezaji wenzao huko ULAYA...
Kocha wa Mamelodi Sundowns ametoa la moyoni kwenye media za South Africa akielezea kusikitishwa kwake Kwa timu Yao kukosa support ya mashabiki mpaka kufikia wanachukua ubingwa wa PSL last season uwanja ukiwa empty.
Katika Kile kinachoonekana dhahiri Leo tena Mamelodi wanacheza kama hawapo...
Habari jamani naomba msaada.
Mimi ni msichana nasumbuliwa na matatizo ya uzazi nimetumia Dawa nyingi za hospital lakini bila mafanikio na zamitishamba pia hakuna matokeo ila yanakujaga kidogo lakini tatizo linarudi pale pale.
Kiufupi sijawahi pata hamu ya tendo sijui inaradha gani, pia...
Kama kawaida sisi mashabiki wa Yanga sio watu wa kwenda uwanjani ni wazuri wa kelele barabarani na kwenye vijiwe.
Wakati wenzetu Simba wakijaza uwanja kama kawaida yao sisi hatutajaza na tutakuja na visingizio kibao na lawama kwa uongozi.
Daima mbele nyuma mwiko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.