1. Kwamba kinachoendelea Marekani ni jitihada za Serikali ya huko kupinga haki ya watu kujieleza?!
2. Kutokuheshimiwa huku kwa wazi kwa misingi ya kawaida kabisa ya utawala wa sheria, ni wa kulaaniwa vilivyo na kila mtu na hasa mtanzania aliye mzalendo.
3. Kwamba CHADEMA chama tegemeo kwa ukombozi wa nchi hii kipo kimya?! Siku yakiwakuta kwenye harakati za ukombozi kama ilivyokuwa enzi za "nabii jiwe," kwa hakika mkale mliko peleka mboga!
4. Vipi ghafla kutaka kuwa popo? Haki ni haki tu!
Kama tunataka Katiba Mpya, Tusiionee "Haya" Haki ya awaye yote
Za wapalestina nazo ni haki kama zilivyo za waandamanaji!
5. Haki za wanyonge ni haki za kupiganiwa na kila mwenye akili timamu:
6. Kulikoni kutaka kuchanganya mambo? Mnyonge ni yeyote adhulumiwaye na awaye yote aliye na nguvu (kupitiliza) zaidi; za musuli!
7. Kwenye dunia iliyostaarabika hushindanishwa hoja si misuli! Labda kwenye ndondi tu!
8. Mashindano ya musuli, ni kwa wanyama mwituni huko.
9. Heko wamarekani na wote mliotokea kuzipinga dhulma hizi za wazi za waisrael na mabwana zao. Wenye kujitambua tuko nanyi; tuko na Palestina!
10. Viva resistance; viva Palestine; viva HAMAS!
Aluta Continua!
______
NB; screenshot zote isipokuwa ya Mandela ni kutoka kwenye andiko moja kumnukuu mtu huyo huyo mmoja.