Migomo vyuo vikuu imeangusha serikali; Marekani siyo kisiwa, la sasa halimwachi salama!

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
28,113
36,080
1. Vyuo vikuu au taasisi za elimu ya juu ni sehemu nyeti kwa usalama wa taifa kama ilivyo kwa jeshi na sehemu zingine kama hizo.

IMG_20240430_060336.jpg

"Columbia University students say protest highlights ‘Bigger cause’

"The students remain defiant and they remain here in the campus.

"Hundreds of students have not only been carrying out a sit in-in the middle of campus – but also protesting against genocide (in Gaza) and they have lots of demands."

2. Ni ukweli usiofichika kuwa "bongo" bora kabisa katika nchi katika kizazi husika hupatikana katika vyuo vikuu.

IMG_20240430_060411.jpg

They say would like to see financial transparency from this university. They would like to see university funds, for example, not being invested in companies that profit from the war. They would also like to see an amnesty for the students and faculty who have been disciplined. Those are their demands.

3. Ni katika mataifa ya hovyo tu ambako huwabagaza wasomi wao; kwenye mataifa yanayojitambua vyuo vikuu husikilizwa kwa utatuzi wa changamoto zote katika nchi: iwe ni mafuriko, matetemeko, vimbunga, katiba ya nchi, magonjwa, uchumi, maendeleo nk.

4. Hapo #3, changamoto za ajali barabarani, corona, umeme nchini, bungeni kwenye sera, serikalini kwenye maamuzi, mafuriko (rufiji, jangwani, mto msimbazi, nk), tabiri za hali ya hewa, mwendo kasi, vivuko, mabadiliko ya tabia nchi, madini, gesi, mafuta, nk; vyuo vikuu haviwezi kuwekwa pembeni.

5. Vyuo vikuu vimekuwa ni chachu ya mabidiliko kote duniani.

6. Yaliyotikisa China Tianamen Square (1989), kuporomoka kwa zilizokuwa dola za ki communist duniani, kimbembe Cha Arab spring (Medani ya Tahrir na Hosni Mubarak, Misri huko ni mfano wake), Massacre za Sharpeville SA (1990), kuanguka kwa strong man wa ufilipino Fernando Marcos (Snr), nk; mstari wa mbele walikuwa wasomi vyuo vikuu jambo ambalo: CHADEMA waneshindwa kujifunza!

7. Mchango wa migomo ya wanafunzi kwenye nchi zenye kujitambua hauwezi kudogoshwa:

a) Kupatikana mfumo wa vyama vingi kenya.
b) Kupatikana kwa katiba ya haki Kenya.
c) Kupatikana Kwa mfumo wa vyama vingi Tanzania.
d) hatimaye kuanzishwa kwa mfumo wa "boom" Kwa wanafunzi nchi nzima,
e) Maslahi ya wahadhili kuboreshwa, nao kuanza kushirikishwa serikalini kwenye maamuzi na hata bungeni huko.
f) Utaratibu wa uwakilishi kwenye shughuli za vijana duniani kuwashirikisha pia wasomi vyuo vikuu kwa haki dhidi ya uliokuwapo uliokuwa umejaa ufisadi na nepotism za ma zealots (chawa) wa CCM na uvccm (rejea Pyongyang 1987).
g) kuachiwa kwa madaktari kutoka gerezani "ukonga" 1990; kung'oka kwa "untouchable meya" KK Dar Jiji; kupambana na fyongo nyingi za awamu ya pili.
h) nk.

8(a). Hapo #7, Kenya chachu ya mabadiliko imekuwa, vinara siku zote ni University of Nairobi; wakati kwa Tanzania vinara ilikuwa ni UDSM campus ya mlimani. Rais Mwinyi katu hakuwahi kuipenda UDSM mlimani, akiita kumtusi matusi ya nguoni ilhali hai ndiyo walikuwa Wana vipenzi jeuri wa kuhoji akiwataka JKN siku zote.

8(b) Nyerere alikuwa akifika kwa hotuba masomo yalisimama si kwa ratiba za chuo, bali Kwa mahaba niuwe yaliyokuwapo na kuhimiza kwake vijana kuwa jeuri kweli kweli!

IMG_20240430_060243.jpg

Students march on Columbia University campus in support of a protest encampment supporting Palestinians, despite a 2 pm deadline issued by university officials to disband or face suspension, in New York City, on April 29, 2024

9. Kufukuzwa, kukamatwa, kutekwa na hata kuuwawa Kwa wanafunzi kwenye harakati za mabadiliko makubwa ni jambo la kawaida kwenye nchi na vyuo vyenye kujitambua:

IMG_20240430_042220.jpg

A pro-Palestinian protester is taken away by police at the University of Texas in Austin, Texas, on April 29, 2024
10. Hapo #9, palikuwa na wanafunzi wa University ya Nairobi walioikimbia serikali ya Kenya katika kupigania haki wakapata hifadhi Tanzania na kuendelea na masomo. UDSM mlimani. Katika testimonies zao:

"University of Nairobi kwenye student baraza, traitor alijulikana Kwa kutokuwa na ndoo ya mawe wakishangaa UDSM kuwa kama wachumba tu, hata enzi hizo za miaka ya 1990s kiulinganifu:

IMG_20240428_070446.jpg

11. (a) Hapo #9 walitekwa nyara viongozi wa wanafunzi udsm jijini Dar, kwenye kizungumkuti cha ufisadi na nepotism mkutano wa kimataifa Pyongyang.

(b) Kina Mwakyembe, Migiro nk walitinga bungeni na serikalini ukiwa mwanzo wa wasomi tuwaonao leo kuwapo kwenye nyanja nyeti za maamuzi; kabla ya hapo nyuma, huko ilikuwa mahsusi kwa ma zealots (chawa) tu aina ya kina mnyamwezi na kipikipiki.

(c) Na Mengi ya ahueni tuyaonayo Leo. Izingatiwe kabla ya harakati nyingi hizi hata ma VC, CACO, CADO hawakuwa maprofesa.

CACO - chief academic officer
CADO - chief administrative officer.

Leo wakiitwa DVCs academic na administration.

(d) nk nk

Izingatiwe: mafanikio haya hayakupatikana kupitia mezani yaani maridhiano style Wala haikuwa rahisi!

12. Uwepo wa makachero wa serikali na maofisa usalama kama tiss ya kwetu kwenye vyuo vikuu ili ku shape siasa na kusimika watu wao, kwenye serikali za wanafunzi, nk; kwenye nchi zenya demokrasia kandamizi ni jambo la kawaida.

13. Hapo #9 kina Warioba, Mwabulambo, Garang, Museveni, Kikwette, nk waliokuwa kwenye serikali za wanafunzi na wakaja kuufuma urais, si kwa ajali!

14. (a) Hapo #9, kina Lt. Eugene Maganga na wenzake wakiwa wanafunzi UDSM - mlimani, walikamatwa kwenye njama za jaribio ya mapinduzi ya nchi miaka ya 1980s.

(b) Palikuwa wanafunzi kadhaa wa UDSM Mlimani waliokuwa mashahid muhimu wa jamhuri i kwenye kesi hiyo ya njama hizo za mapinduzi ya akina Lugangira na Capt. Hatty MacGhee.

15. Mlimani ni kizazi kipi chenye kujitambua kilichosoma pale bila kufukuzwa, kusimamishwa shule, wengine kufutiwa ufadhili, misukosuko na polisi, nk; kwenye madai yaliyofikia kwenye maslahi ya taifa kutokea kwenye mambo madogo kama ubovu wa chakula, maji au malazi tu?

IMG_20240430_064709.jpg

Cornell announces more suspensions over Gaza war encampment

Martha Pollack, the President of Cornell University in the state of New York, says the university will suspend more students after they refuse to relocate a Gaza war protest encampment.

16. Marekani inapita sasa kama Tanzania ya miaka ya 1990 na kabla ya UDSM mlimani halisi ya akina Matiko Matare, Bazigiza, Haroun Kimaro, nk iliyopelekea matukio konki kama ilivyoelezwa hapo #7 na tulipo twala matunda pasi na kujua maumivu yaliyo wasibu mashujaa hao:

(a) kuja kwa mfumo wa vyama vingi.

(b) kuachiwa kwa madaktari waliokuwa wameshikiliwa gerezani ukonga; kwenye sekeseke la Mwinyi, Isambe na kanda bongoman.

NB: Si kuwa serikali ya CCM ilipenda kuwaachia madaktari hawa kutoka gerezani au hata kuleta mfumo wa vyama vingi kwa kupenda au kuwa ilifanya kwa hiari.

c) kuongezwa Kwa maslahi ya wahadhili vilivyo na kujumuishwa kwao serikali na sehemu za nyeti za mamuzi; hii ikiwa baada ya wanafunzi na walimu kuungana vilivyo Tahrir, 1990.

(I)Bahati mbaya baadhi ya waliofika kwenye ngazi za maamuzi wakayatelekeza ya yaliyokuwa maono ya harakati hizi. Wao kama kunguru wa Nuhu alipotumwa kuona kama gharika imeisha, kuiona mizoga imetapakaa Kila mahali, arudi safinani kwenye njaa kufanya nini?

(Ii) Dhahiri ikawa Tena mwenye shine hamjui mwenye njaa, ikawa "Not yet Uhuru.'

(d) Kwenye kutekwa nyara Kwa wanafunzi waliokwenda Pyongyang baada ya kufichua iliyokwenda kuwa kashfa kubwa ya aibu ya ufisadi na nepotism CCM; majina mazito mazito ya vigogo na watoto wao yalitajwa, nchi ikatikisika!

17. Serikali makini haiwezi kucheza mbali na vyuo vikuu. Huhakisha kuna utulivu wa kutosha vyuoni kisiasa na ki maslahi. Lengo likiwa kuvidhibiti vyuo vilivyo; ambapo inafahamika hilo si kwa maguvu ya musuli, bali akili kwa akili kubwa.

18. Hapo #18, nabii jiwe aliyekuwa UDSM miaka ya 1990 bila shaka naye akiisakata hii ngoma, aliijua hilo vyema Ikumbukwe kipindi chake alihakikisha hakuna migomo vyuoni kwa kuwanyima sababu. Mikopo na mahitaji yao yalikuwa siku zote ni kipaumbele. Mtu alitumbuliwa mara moja na bila huruma kwa kujaribu kuwakwaza washupavu hao kwa lolote vyuoni huko!

IMG_20240430_062502.jpg

Tense standoff at University of Texas in Austin following student arrests

This is a standoff. We have Austin police and state troopers who are keeping a line here preventing these student protesters from getting any closer to the building where (the police) had been holding those dozens….

19. Ukweli mchungu, kucheza na vyuo vikuu ni sawa na kucheza na moto (jeshi,).

IMG_20240430_121002.jpg

20. Joe Biden amelikanyaga:

IMG_20240430_121905.jpg

Na kwa Hakika: "halita mwacha salama!"
 
Kwa hiyo amelogwa na hamas siyo?🤣🤣🤣🤣🤣

1. Hapana kuna kitu anataka ficha kwa chungu:

IMG_20240428_070927.jpg

2. Wasiotaka ujanja ujanja wanataka afungue (anataka, hataki) chungu waone Watu wote.

3. Kama si mwizi Kwanini anakataa?

4. hIyo si ndiyo demokrasia?

IMG_20240430_064902.jpg

5. Ukweli mchungu, Gaza mvamizi na gaidi ni Israel wamarekani imefika mahali wanasema bIg "NO!"

6. Marekani ni ya wamarekani, si Biden au Blinken. wala jogoo uchwara yeyote kokote aliko.

NB: Server ya IEBC Odinga, MK254, kisumu huko wanaiita "Chungu" kwa kiswahili.
 
1. Hapana kuna kitu anataka ficha kwa chungu:

View attachment 2977158

2. Wasiotaka ujanja ujanja wanataka afungue (anataka, hataki) chungu waone Watu wote.

3. Kama si mwizi Kwanini anakataa?

4. hIyo si ndiyo demokrasia?

View attachment 2977160

5. Ukweli mchungu, Gaza mvamizi na gaidi ni Israel wamarekani imefika mahali wanasema "NO!"

6. Marekani ni wamarekani si Biden au Blinken.

NB: Server ya IEBC Odinga anaiita Chungu kwa kiswahili.
Hauleweki zaidi ya kutangaza ushoga.
 
Vyuo vikuu Tanzania walikuwa wanaweza kufanya siasa sababu elimu ilikuwa Bure sasa hivi ni ya kulipia au alipe mzazi au bodi ya mikopo au mfadhili kwa hiyo mtu anatakiwa kusoma

Marekani wanavyuo wanaogoma wengi ni wanaosoma Bure Kwakwa gharama za serikali na wengi Wana asili ya nchi za kiarabu za kiislamu wanapgharimiwa Bure na nchi zao
 
Mungu anawdhalilisha kutoka huko huko kwao raia wanapingq matendo ya Serikali yao wanaharakati wote wa Ulaya na Marekani pamoja vyombo vyao vya habari ambavyo vilikuwa msatari wa mbele kushambulia mataifa mengine yanayokataza maandamo vyote vimeufyata unafiki mbaya sana. Nimegundua Tanzania tupo mbali sana kwenye uhuru wa kujieleza leo kila mtu akitaka kuandamana anapewa kibali😀
 
Vyuo vikuu Tanzania walikuwa wanaweza kufanya siasa sababu elimu ilikuwa Bure sasa hivi ni ya kulipia au alipe mzazi au bodi ya mikopo au mfadhili kwa hiyo mtu anatakiwa kusoma

Marekani wanavyuo wanaogoma wengi ni wanaosoma Bure Kwakwa gharama za serikali na wengi Wana asili ya nchi za kiarabu za kiislamu wanapgharimiwa Bure na nchi zao

1. Hoja yako ya elimu bure si kweli. Vipi UNBO, Sharpevile, Arab spring, Ulaya mashariki, China na Sasa Marekani?

2. Kumbuka kina kikwette, Warioba, Shivji, Sengondo, Lwaitama, Museveni, Garang, Lissu, Mkenda, Mbatia, Zitto nk ni product za UDSM mlimani, vijana jeuri! Wawili wa mwisho pale Kigwangala namweka kwenye fridge tu lakini ni DARUSO yule yule!

3. Nitakuwa ninaandaa mada nyingine kueleza Nini kilitokea baada ya miaka ya 1990, kama MK254, denoo JG nitaku tag mjomba! Stay tuned.

4. Hadi CHADEMA watakapokua kuwa hii nchi haitakombolewa na mamburumbu na kuwa umbumbumbu ujuaji ni laana, Bado tupo tupo sana!

5. Hapo #4, ndiyo sababu hutawaona hapa joka kuu, Economist, Retired, Allen Kilewella, denoo jg @lucas_mwashambwa, MK254 na wengine nikiwa tag hapa watang'aka kuliko aliyegongwa na nyoka! Hata utambikie uchi hapa nakwambia hawaji ng'oo! Si kuwa Hawajui kuwa ni ukweli?!

Hiiiiiii ... iii bagosha!

NB: Tambua hapo tofauti zetu ni majina.

6. Hapa tegemea kuwaona aina ya kina Pascal Mayalla nao kimachale machale kupisha ute*ng*uzi.

Au nasema uongo ndugu zangu?

Cc: Elli, Msanii, Zawadini, Sir John Roberts na wapambanaji katika solidarity.
 
Niwe mkweli sijaisoma yote kwanza ndiyo kumekucha kichwa kina mambo mengi lakini nikiendelea mbele kwenye post za mleta mada naona ni kama wanafunzi wa vyuo hapo America wameamua kugoma/andamana ili hapo Mashariki ya Kati patulie.

Lakini kama Mzayuni anaweza kupingana wazi wazi na maamuzi ya United Nation (ambaye protocole ni boss wake) kwanini tuamini taifa moja litaweza kumlazimisha aache kuuwa?
 
Kwa hiyo ile ni picha yako uliyopiga ukicheza ngoma ya mpapa?

1. Huyo si mimi na hiyo si ngoma ndugu.

2. Huyo ni MK254 anataka server (chungu) ya IEBC ifunguliwe.

3. Au hata IEBC nayo huijui Chadema uchwara we?!

4. Hii nchi haitakombolewa na wajinga. Hilo tunalijua na tunawajua, na Chadema hatutoki!

5. Kwani umewaona kina joka kuu, Retired, Economist, imhotep, Nanye Go au wale wengine wakijiita wenyewe wenyewe hapa? Au unadhani watakuja?

6. Hata atambikie mtu uchi, haji mtu hapa nakuambia!

7. Mwendo pendwa ni ule ule:

"juu kwa juu, kimya kimya, kama vile hawapo, wakijisemea hiiiiiii ... iii!"
 
1. Huyo si mimi na hiyo si ngoma ndugu.

2. Huyo ni MK254 anataka server (chungu) ya IEBC ifunguliwe.

3. Au hata IEBC nayo huijui Chadema uchwara we?

4. Hii nchi haitakombolewa na wajinga. Hilo tumalijua na tunawajua. Na Chadema hatutoki!

5. Kwani umewaona kina joka kuu, Retired, Economist, imhotep, Nanye Go au wale wengine wakijiita wenyewe wenyewe hapa? Au unadhani watakuja?

6. Hata atambikie mtu uchi, haki mtu hapa!

7. Mwendo pendwa ni ule ule:

"juu kwa juu, kimya kimya, kama vile hawapo wakijisemea hiiiiiii ... iii!"
Vema.Mpaka hapo umekidhi viwango na umepewa rasmi kazi ya kugawa chakula Gaza.
 
Mimi kuna Mfuasi wa Ayatolah kanimaindi nimekula Ban ya Mwezi nimeachiwa leo.

1. Pole mjomba, wako wengi hao.

2. Namna ya kwenda nao usicheze watakavyo unacheza kikwetu kwetu.

3. Jibu mapigo kama anavyokuja. Akikupiga tusi, mpige tusi hilo hilo. Usimwanze yeye. Akianza yeye hana pa kukimbilia.

4. Huu mchezo hautaki hasira. Fahamu kuna wengine ni timu na wengine ni mtu mmoja mwenye iDs hata mia.

5. Kwa kutumia #4 hukubaliana nani apigwe ban, hivyo target huwa provoked.

6. Hapo #5 hupongezana hadharani ambapo unahitaji jicho la 4 juu ya Lile la 3.

7. Kauli zao pendwa huwa hizi: "nakuaminia mjomba, hujapata kumiangusha." Waongea kibondei bondei hao kwamba ni mabingwa wa rivasi.

8. Kuwa macho na posts zako zote na kuzirelea mara kwa mara, si nadra kukuta kadhaa zimepotelea kusikojulikana.

9. Hapo #8 kama kupotea imo kumbe vipi kuhusu kubadilika hata kimaudhui Kwa alichoandika mtu 2010 huko?!

9. Hilo #8 niliwahi kuwa copy Mod, @invincible, na hata Mzee mzima Maxence Melo kwa ushahidi na maboresho zaidi ya mitambo.

10. Hapo #9 hofu ya usalama wa raia na mali zao ni real!

11. Kumbuka mali zetu humu ni contents zetu. Specific post yangu ya 2010 niliyokuwa naitembelea mara Kwa mara Hadi 2024 Jan, ipotee je wiki iliyopita ambapo miye sikuifuta na ni sole operator wa ID yangu?

Au nasema uongo bwana denoo JG ?

12. Usinichoke bwana denoo JG mema ya nchi uyatakayo hata miye ni hayo hayo ila ugoigoi wa washirika beberu anasema una "irk.!"

Ngoja ngoja huumiza matumbo na Michele mmoja mapishi mengi.

Au siyo bwana Zawadini Kizimkazi, Zanzibar pale?
 
1. Vyuo vikuu au taasisi za elimu ya juu ni sehemu nyeti kwa usalama wa taifa kama ilivyo kwa jeshi na sehemu zingine kama hizo.

View attachment 2977145
"Columbia University students say protest highlights ‘Bigger cause’

"The students remain defiant and they remain here in the campus.

"Hundreds of students have not only been carrying out a sit in-in the middle of campus – but also protesting against genocide (in Gaza) and they have lots of demands."

2. Ni ukweli usiofichika kuwa "bongo" bora kabisa katika nchi katika kizazi husika hupatikana katika vyuo vikuu.

View attachment 2977149
They say would like to see financial transparency from this university. They would like to see university funds, for example, not being invested in companies that profit from the war. They would also like to see an amnesty for the students and faculty who have been disciplined. Those are their demands.

3. Ni katika mataifa ya hovyo tu ambako huwabagaza wasomi wao; kwenye mataifa yanayojitambua vyuo vikuu husikilizwa kwa utatuzi wa changamoto zote katika nchi: iwe ni mafuriko, matetemeko, vimbunga, katiba ya nchi, magonjwa, uchumi, maendeleo nk.

4. Hapo #3, changamoto za ajali barabarani, corona, umeme nchini, bungeni kwenye sera, serikalini kwenye maamuzi, mafuriko (rufiji, jangwani, mto msimbazi, nk), tabiri za hali ya hewa, mwendo kasi, vivuko, mabadiliko ya tabia nchi, madini, gesi, mafuta, nk; vyuo vikuu haviwezi kuwekwa pembeni.

5. Vyuo vikuu vimekuwa ni chachu ya mabidiliko kote duniani.

6. Yaliyotikisa China Tianamen Square (1989), kuporomoka kwa zilizokuwa dola za ki communist duniani, kimbembe Cha Arab spring (Medani ya Tahrir na Hosni Mubarak, Misri huko ni mfano wake), Massacre za Sharpeville SA (1990), kuanguka kwa strong man wa ufilipino Fernando Marcos (Snr), nk; mstari wa mbele walikuwa wasomi vyuo vikuu jambo ambalo: CHADEMA waneshindwa kujifunza!

7. Mchango wa migomo ya wanafunzi kwenye nchi zenye kujitambua hauwezi kudogoshwa:

a) Kupatikana mfumo wa vyama vingi kenya.
b) Kupatikana kwa katiba ya haki Kenya.
c) Kupatikana Kwa mfumo wa vyama vingi Tanzania.
d) hatimaye kuanzishwa kwa mfumo wa "boom" Kwa wanafunzi nchi nzima,
e) Maslahi ya wahadhili kuboreshwa, nao kuanza kushirikishwa serikalini kwenye maamuzi na hata bungeni huko.
f) Utaratibu wa uwakilishi kwenye shughuli za vijana duniani kuwashirikisha pia wasomi vyuo vikuu kwa haki dhidi ya uliokuwapo uliokuwa umejaa ufisadi na nepotism za ma zealots (chawa) wa CCM na uvccm (rejea Pyongyang 1987).
g) kuachiwa kwa madaktari kutoka gerezani "ukonga" 1990; kung'oka kwa "untouchable meya" KK Dar Jiji; kupambana na fyongo nyingi za awamu ya pili.
h) nk.

8(a). Hapo #7, Kenya chachu ya mabadiliko imekuwa, vinara siku zote ni University of Nairobi; wakati kwa Tanzania vinara ilikuwa ni UDSM campus ya mlimani. Rais Mwinyi katu hakuwahi kuipenda UDSM mlimani, akiita kumtusi matusi ya nguoni ilhali hai ndiyo walikuwa Wana vipenzi jeuri wa kuhoji akiwataka JKN siku zote.

8(b) Nyerere alikuwa akifika kwa hotuba masomo yalisimama si kwa ratiba za chuo, bali Kwa mahaba niuwe yaliyokuwapo na kuhimiza kwake vijana kuwa jeuri kweli kweli!

View attachment 2977150
Students march on Columbia University campus in support of a protest encampment supporting Palestinians, despite a 2 pm deadline issued by university officials to disband or face suspension, in New York City, on April 29, 2024

9. Kufukuzwa, kukamatwa, kutekwa na hata kuuwawa Kwa wanafunzi kwenye harakati za mabadiliko makubwa ni jambo la kawaida kwenye nchi na vyuo vyenye kujitambua:

View attachment 2977151
A pro-Palestinian protester is taken away by police at the University of Texas in Austin, Texas, on April 29, 2024
10. Hapo #9, palikuwa na wanafunzi wa University ya Nairobi walioikimbia serikali ya Kenya katika kupigania haki wakapata hifadhi Tanzania na kuendelea na masomo. UDSM mlimani. Katika testimonies zao:

"University of Nairobi kwenye student baraza, traitor alijulikana Kwa kutokuwa na ndoo ya mawe wakishangaa UDSM kuwa kama wachumba tu, hata enzi hizo za miaka ya 1990s kiulinganifu:

View attachment 2977152

11. (a) Hapo #9 walitekwa nyara viongozi wa wanafunzi udsm jijini Dar, kwenye kizungumkuti cha ufisadi na nepotism mkutano wa kimataifa Pyongyang.

(b) Kina Mwakyembe, Migiro nk walitinga bungeni na serikalini ukiwa mwanzo wa wasomi tuwaonao leo kuwapo kwenye nyanja nyeti za maamuzi; kabla ya hapo nyuma, huko ilikuwa mahsusi kwa ma zealots (chawa) tu aina ya kina mnyamwezi na kipikipiki.

(c) Na Mengi ya ahueni tuyaonayo Leo. Izingatiwe kabla ya harakati nyingi hizi hata ma VC, CACO, CADO hawakuwa maprofesa.

CACO - chief academic officer
CADO - chief administrative officer.

Leo wakiitwa DVCs academic na administration.

(d) nk nk

Izingatiwe: mafanikio haya hayakupatikana kupitia mezani yaani maridhiano style Wala haikuwa rahisi!

12. Uwepo wa makachero wa serikali na maofisa usalama kama tiss ya kwetu kwenye vyuo vikuu ili ku shape siasa na kusimika watu wao, kwenye serikali za wanafunzi, nk; kwenye nchi zenya demokrasia kandamizi ni jambo la kawaida.

13. Hapo #9 kina Warioba, Mwabulambo, Garang, Museveni, Kikwette, nk waliokuwa kwenye serikali za wanafunzi na wakaja kuufuma urais, si kwa ajali!

14. (a) Hapo #9, kina Lt. Eugene Maganga na wenzake wakiwa wanafunzi UDSM - mlimani, walikamatwa kwenye njama za jaribio ya mapinduzi ya nchi miaka ya 1980s.

(b) Palikuwa wanafunzi kadhaa wa UDSM Mlimani waliokuwa mashahid muhimu wa jamhuri i kwenye kesi hiyo ya njama hizo za mapinduzi ya akina Lugangira na Capt. Hatty MacGhee.

15. Mlimani ni kizazi kipi chenye kujitambua kilichosoma pale bila kufukuzwa, kusimamishwa shule, wengine kufutiwa ufadhili, misukosuko na polisi, nk; kwenye madai yaliyofikia kwenye maslahi ya taifa kutokea kwenye mambo madogo kama ubovu wa chakula, maji au malazi tu?

View attachment 2977163
Cornell announces more suspensions over Gaza war encampment

Martha Pollack, the President of Cornell University in the state of New York, says the university will suspend more students after they refuse to relocate a Gaza war protest encampment.

16. Marekani inapita sasa kama Tanzania ya miaka ya 1990 na kabla ya UDSM mlimani halisi ya akina Matiko Matare, Bazigiza, Haroun Kimaro, nk iliyopelekea matukio konki kama ilivyoelezwa hapo #7 na tulipo twala matunda pasi na kujua maumivu yaliyo wasibu mashujaa hao:

(a) kuja kwa mfumo wa vyama vingi.

(b) kuachiwa kwa madaktari waliokuwa wameshikiliwa gerezani ukonga; kwenye sekeseke la Mwinyi, Isambe na kanda bongoman.

NB: Si kuwa serikali ya CCM ilipenda kuwaachia madaktari hawa kutoka gerezani au hata kuleta mfumo wa vyama vingi kwa kupenda au kuwa ilifanya kwa hiari.

c) kuongezwa Kwa maslahi ya wahadhili vilivyo na kujumuishwa kwao serikali na sehemu za nyeti za mamuzi; hii ikiwa baada ya wanafunzi na walimu kuungana vilivyo Tahrir, 1990.

(I)Bahati mbaya baadhi ya waliofika kwenye ngazi za maamuzi wakayatelekeza ya yaliyokuwa maono ya harakati hizi. Wao kama kunguru wa Nuhu alipotumwa kuona kama gharika imeisha, kuiona mizoga imetapakaa Kila mahali, arudi safinani kwenye njaa kufanya nini?

(Ii) Dhahiri ikawa Tena mwenye shine hamjui mwenye njaa, ikawa "Not yet Uhuru.'

(d) Kwenye kutekwa nyara Kwa wanafunzi waliokwenda Pyongyang baada ya kufichua iliyokwenda kuwa kashfa kubwa ya aibu ya ufisadi na nepotism CCM; majina mazito mazito ya vigogo na watoto wao yalitajwa, nchi ikatikisika!

17. Serikali makini haiwezi kucheza mbali na vyuo vikuu. Huhakisha kuna utulivu wa kutosha vyuoni kisiasa na ki maslahi. Lengo likiwa kuvidhibiti vyuo vilivyo; ambapo inafahamika hilo si kwa maguvu ya musuli, bali akili kwa akili kubwa.

18. Hapo #18, nabii jiwe aliyekuwa UDSM miaka ya 1990 bila shaka naye akiisakata hii ngoma, aliijua hilo vyema Ikumbukwe kipindi chake alihakikisha hakuna migomo vyuoni kwa kuwanyima sababu. Mikopo na mahitaji yao yalikuwa siku zote ni kipaumbele. Mtu alitumbuliwa mara moja na bila huruma kwa kujaribu kuwakwaza washupavu hao kwa lolote vyuoni huko!

View attachment 2977155

Tense standoff at University of Texas in Austin following student arrests

This is a standoff. We have Austin police and state troopers who are keeping a line here preventing these student protesters from getting any closer to the building where (the police) had been holding those dozens….

19. Ukweli mchungu, kucheza na vyuo vikuu ni sawa na kucheza na moto (jeshi,).

View attachment 2977378

20. Joe Biden amelikanyaga:

View attachment 2977380

Na kwa Hakika: "halita mwacha salama!"
Kwani Tanzania hamna vyuoo vikuu mbona havijaiondoa hii serikali feki ambayo haina ridhaa ya wananchi.
 
1. Hujasikia kuwa taifa limesheheni vijana wa hovyo?

2. Vijana wa hovyo wasiokuwa na ujasiri wa kuhoji, ni kama panya tu, "walioloa." Vijana kama hao wanafikaje huko kabla ya kuwafurusha walio feki vyamani?

3. Angalia kwenye uzi huu kuwaona vijana hao walio mzigo kwa taifa:

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

4. Wanachojua ni kusifu na kushukuru Watu au vyama ambao kwao hao ni malaika au vyama vimetoka mbinguni na yale mambo yetu ya Simba, yanga, arsenal, Chelsea na Simba mtu wa tandale.

5. Ninamalizia ki research kuhusu CHADEMA, CCM na kwanini kutamalaki uchawa huu ambao kwa hakika ni laana!

6. Zingatia chawa ni chawa tu, bila kujali wa nini au nani. Tofauti zao ni majina , yaani kama MK254, @lucas_Mwashambwa, imhotep, au Mzee Kigogo Juma au John Nk. "Ila wote kabisa maji ga nyanja!" -- JKN.

7. Ndiyo maana huwezi kuwaona hapa hata uwaitishe kwa hela!

Hiiiiiii .. iii bagosha! Kwa hakika wanatatiza mabadiliko!

Cc: Zawadini, Elli na waungwana mliobakia.
 
Back
Top Bottom