marekani

  1. I

    Marekani yapiga marufuku bidhaa za nguo za viwanda 26 vya China.

    Marekani ilisema Alhamisi inazuia uagizaji kutoka kwa kampuni kadha za nguo za China, ikitaja wasiwasi wa China kutumia nguvu kazi ya kulazimishwa katika utengenezaji bidhaa. Kati ya nyongeza 26 mpya kwenye orodha ya taasisi ya Sheria ya Kuzuia Kazi ya Kulazimishwa ya Uyghur, 21 zilichukuliwa...
  2. M

    Marekani Dunia anaionaje?

    Yeye anapeleka silaha Ukrain- China akisaidia Urusi anamuwekea vikwazo. Yeye anawapa silaha zote Israe, Wengine wakisaidia anakasirikisha na kutisha Yeye anawakandamiza raia wanaondamana wake wengine wakifanya anakemea. Yeye anafanya baishara atakavyo- wengine wakifanya anawaekea vikwazo...
  3. BARD AI

    Ubalozi wa Marekani - Tanzania wasitisha Miadi ya Wageni kutokana na tatizo la Intaneti

    Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania umesema kutokana na changamoto ya intaneti inayoendelea Nchini Tanzania, umesitisha miadi yote ya Watu wanaotaka kutembelea Ubalozi kesho. Taarifa fupi ya Ubalozi huo imesema Ubalozi utapanga ratiba ya kupokea Watu watakaofika Ubalozini hapo kwenye tarehe za...
  4. Webabu

    Azimio la kuitambua Palestina lapita UN kwa kura 143. Kikwazo bado ni Marekani tu

    Uamuzi wa Hamas kulitetea taifa la Palestina unaendelea kuzaa matunda kwa mataifa mengi zaidi kuendelea kulitambua taifa hilo katika ngazi ya Umoja wa mataifa. Katika kura zilizopigwa jana kwenye baraza kuu la UN jumla ya kura 143 ziliunga mkono,Tisa tu ndizo zilizokataa na 25 wakaamua kutopiga...
  5. Sir John Roberts

    Marekani yakiri Israeli hawezi kuishinda Hamas kwa kuvamia eneo la Rafah

    Katika hali inayoonesha kuwa ngoma hii ni ngumu Msemaji wa ikulu ya Rais wa marekani John Kirby leo ameeleza wazi kuwa kitendo cha IDF kuingia katika mji wa Rafah kitasababisha Wanamgambo wa Hamas kuwa imara zaidi na kukwamisha mazungumzo ya usitishwaji Vita huko Gaza. Israeli imesema kuwa...
  6. Sir John Roberts

    Marekani yazuia silaha kwenda Israeli. Ni vilio kila kona kwa wanasiasa wa Marekani wanaofadhiliwa na Taasisi ya AIPAC.

    Rais Joe Biden ametoa msimamo wake kuwa Marekani haitakuwa tayari kupeleka silaha Israel endapo Israel itaendelea na mpango wake wa kuvamia eneo la Rafah huko Gaza. Tamko hili limemtoa nyoka pangoni ambapo imedhihirika bayana kuwa wabunge wengi wamepinga jambo hilo huku ikibainika kuwa wabunge...
  7. Roving Journalist

    Balozi wa Marekani, Michael A. Battle atembelea ofisi za JamiiForums

    Leo Mei 6, 2024, JamiiForums (JF) imetembelewa na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael A. Battle, kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi, ambapo amepitishwa kwa kina na kufahamu utekelezaji wa programu 8 za kitaasisi unaoendelea Balozi Battle aliyeongozana na...
  8. mchawi wa kusini

    Fahamu kuhusu marekani Kaskazini,marekani Kusini,USA,Na Jimbo la ALASKA

    Habar Ya mchana JF nimewaletea Elimu Ya Kujifunza hapa. ELIMU YA BURE: FAHAMU KUHUSU MAREKANI KASKAZINI, MAREKANI KUSINI, USA, NA JIMBO LA ALASKA. ------------------------------------------------------- Naamini sote tunataka kufahamu vizuri kuhusu tofauti kijiogorafia kati ya Marekani...
  9. MK254

    Asilimia kubwa ya waliokamatwa kwenye maandamano ya vyuo Marekani sio wanafunzi, walijichomekea tu

    Itabidi wafurushwe na kurejeshwa kwenye nchi zao..... New York City officials say nearly half of the 282 people arrested at pro-Palestinian protests on two campuses this past week are not currently affiliated with either school. The arrest breakdown was released on Thursday by the New York...
  10. MK254

    Marekani watoa sharti kwa Qatar kwamba HAMAS wafukuzwe mara moja kama watakaidi azimio la sasa la Israel

    Sijui watahamia wapi au waje huku kwa wanaopenda kufia haya mavitu... US Secretary of State Anthony Blinken warned Qatar last month that they should expel Hamas senior officials if the terror group rejects another ceasefire proposal, the Washington Post reported Saturday morning. Qatar...
  11. 6WaS9

    Majibu na Maombi ya Ukaazi wa Kudumu katika Nchi ya Marekani: US Green Card | Diversity Visa Lottery | United States of America. 2024 na kuendelea!

    Majibu na Maombi ya Ukaazi wa Kudumu katika Nchi ya Marekani: US Green Card | Diversity Visa Lottery | United States of America. 2024 na kuendelea! Leo 4th May 2024 saa moja usiku, kwa saa za africa mashariki Majibu ya walioomba Diversity Visa Lottery yatatangazwa kupitia official website ...
  12. LINGWAMBA

    Wanajeshi wa Russia waingia kambi ya wanajeshi wa Marekani nchini Niger

    Wanajeshi wa Russia wameingia katika kambi ya Jeshi la Anga la Niger ambayo pia ina wanajeshi wa Marekani baada ya serikali ya Niger kuamuru vikosi vya jeshi la Marekani kuondoka nchini humo. Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin amethibitisha tukio hilo leo Ijumaa huku akisema kuwa hakuna...
  13. Webabu

    Marekani yaanza kujibabadua kutoka ubashiri wa michezo (Betting).Athari zake zinaharibu uchumi na kutesa watu

    Kwa ushamba wa nchi za kiafrika hawatendi mpaka kitu kiwe kimeanzia kwa wazungu na hawaachi kutenga mpaka wazungu waseme kina madhara. Michezo ya kamari katika michezo imekuwepo kwa miaka mingi nchini Marekani na hata kutungiwa sheria na majimbo mbali mbali ili ifanyike bila matatizo.Hata hivyo...
  14. Webabu

    Wanafunzi wa vyuo vikuu Marekani wakaribishwa kusoma Iran na Yemen kama watafukuzwa kwa kuandamana

    Vuguvugu linaloendelea nchini Marekani kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana kuhusiana na vita vya Israel na Palestina limeingia hatua nyengine baada ya viongozi wa Iran na Yemen chini ya Houth kutoa nafasi kwa wanafunzi wa vyuo hivyo kama watafukuzwa kwa kutekeleza wajibu wao wa kidemokrasia...
  15. B

    Ule Moto wa nyika wa migomo Marekani, wapindukia Canada!

    1. Uliokuwa moto wa nyika Marekani; sasa unawaka ndani ya Canada! 2. Kwamba kinachoendelea ni udhwalimu? Kwani hata inahitaji lipii kuliona au kulitambua hilo? 3. Tangu lini jumuiya ya wanafunzi popote duniani waliwahi kuwa upande usio sahihi? 4. Tangu lini zile "bongo bora" kabisa...
  16. Mto Songwe

    American Israel Public Affairs Committee (AIPAC ) ndio moja ya makundi yanayo iendesha marekani juu ya Israel kwa kiasi kikubwa ?

    The American Israel Public Affairs Committee (AIPAC) is a lobbying group that advocates pro-Israel policies to the legislative and executive branches of the United States. One of several pro-Israel lobbying organizations in the United States, AIPAC states that it has over 100,000 members, 17...
  17. M

    Picha: Tanzania vs Marekani

    A Professor in Wisconsin was BRUTALLY ARRESTED for OPPOSING GENOCIDE!
  18. I

    Mali yamuua kamanda wa kikundi cha kigaidi cha Isis aliyewaua askari wa Marekani mwaka 2017

    Wale ambao hupenda kusingizia kwamba vikundi vya kigaidi vya vinafadhiliwa na Marekani sijui watasema nini baada ya kusoma taarifa hii hapa chini 👇 ******************** Kamanda mkuu wa kundi la Islamic State anayesakwa kuhusiana na moja ya mashambulizi mabaya zaidi dhidi ya vikosi vya...
  19. Ikaria

    Rais William Ruto kuhutubia kikao cha pamoja cha bunge la Marekani

    Kamati ya Bunge la Marekani🇺🇲 kuhusu Mambo ya Nje imemuandikia barua Spika wa Bunge kuomba ridhaa yake ili Rais William Ruto ahutubie kikao cha pamoja cha Bunge hilo Iwapo Mheshimiwa Spika atakubali, Rais William Ruto atakuwa : • Kiongozi wa kwanza kutoka Kenya kuwahi kuhutubia Bunge la...
  20. B

    CHADEMA kukosa neno, utawala wa Sheria Migomo Marekani; ni Pigo kwa Chama, na pia kwa Ukombozi!

    1. Kwamba kinachoendelea Marekani ni jitihada za Serikali ya huko kupinga haki ya watu kujieleza?! 2. Kutokuheshimiwa huku kwa wazi kwa misingi ya kawaida kabisa ya utawala wa sheria, ni wa kulaaniwa vilivyo na kila mtu na hasa mtanzania aliye mzalendo. 3. Kwamba CHADEMA chama tegemeo kwa...
Back
Top Bottom