Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,040
- 16,922
Rais Joe Biden ametoa msimamo wake kuwa Marekani haitakuwa tayari kupeleka silaha Israel endapo Israel itaendelea na mpango wake wa kuvamia eneo la Rafah huko Gaza.
Tamko hili limemtoa nyoka pangoni ambapo imedhihirika bayana kuwa wabunge wengi wamepinga jambo hilo huku ikibainika kuwa wabunge hao walipokea mamilioni ya dola kutoka katika taasisi ya AIPAC ambayo ina ushawishi mkubwa sana kwenye taifa la marekani. Fedha hizo ndio huwawezesha kushinda uchaguzi na kuapa kuwa watakua upande wa Israeli kwa namna yeyote ile. Mambo yote hadharani.
Wananchi wa marekani wameshikwa na hasira sana baada ya kugundua kuwa bunge la marekani lipo mfukoni mwa hiyo Taasisi ambayo nayo haikuficha imeweka wazi kila kitu. Wamarekani wanajiuliza kati ya israeli na marekani nani anapaswa kupewa kipaumbele?
Naona mpasuko mkubwa sana katika siasa za marekani kwa siku za mbele hasa baada ya jambo hili kujulikana.
Israel kabaki njiapanda hajui afanye nini kwa sasa anategemea huruma za Joe Biden na wabunge huo kupiga kelele ili aweze kupatiwa mabomu hayo kwenda kuuwa watoto huko Rafah.
Hili ni somo kubwa sana kwa Israel kuwa usitegemee kula ukanye kwenye choo cha jirani mwenyewe akikataa unajinyea.