Marekani watoa sharti kwa Qatar kwamba HAMAS wafukuzwe mara moja kama watakaidi azimio la sasa la Israel

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,748
48,644
Sijui watahamia wapi au waje huku kwa wanaopenda kufia haya mavitu...

US Secretary of State Anthony Blinken warned Qatar last month that they should expel Hamas senior officials if the terror group rejects another ceasefire proposal, the Washington Post reported Saturday morning.

Qatar reportedly responded that they told Hamas leadership to be prepared for a scenario in which they would be forced to leave the country.

Three senior officials cited in the report claimed Qatar was preparing for Hamas’s expulsion for months due to frustration with Hamas’s unwillingness to accept ceasefire proposals, frustration that has grown with Hamas's lack of response to the current proposal.

Poleni brazaj
 
Sasa kama HAMAS ni magaidi na USA inawatambua kama Magaidi kwa nini haiiambii Qatar iwakamate viongozi wake wakuu ili washitakiwe?. Kwa nini inaishia kusema kuwa iwafukuze tu?

Ndiyo maana ninakwambia wewe Islamophobe MK254 kuwa unashangilia vitu usivyovijua!. Hao HAMAS wamesaidiwa na Israel kuwa hapo walipo ili kuvuruga umoja wa wapalestina wasiwe sauti moja katika kudai Taifa lao!
 
Fahamu kuna HAMAS magaidi wa dini ya kiislamu na kuna HAMAS viongozi wa kisiasa ambao walichaguliwa na Wapalestina kwenye uchaguzi wa kisiasa, fuatilia huu mgogoro wacha mihemko na kulishana hayo mavitu huwa mnahubiriana huko.
 
In Islam you cannot separate religion snd politics,they are one.
 
Si ndio kuingilia mambo ya ndani ya nchi za wenzake huko.
Na kwa upande mwengine Marekani bado haijaijua vizuri Qattar.Nchi kibao za kiarabu ziliiwekea vikwazo vya kifisadi na hawakuweza kuiyumbisha mpaka mwisho.
 
Fahamu kuna HAMAS magaidi wa dini ya kiislamu na kuna HAMAS viongozi wa kisiasa ambao walichaguliwa na Wapalestina kwenye uchaguzi wa kisiasa, fuatilia huu mgogoro wacha mihemko na kulishana hayo mavitu huwa mnahubiriana huko.
Tumia akili hao viongozi wa kisiasa,ni dini gani,kama sio waislamu.
 
Fahamu kuna HAMAS magaidi wa dini ya kiislamu na kuna HAMAS viongozi wa kisiasa ambao walichaguliwa na Wapalestina kwenye uchaguzi wa kisiasa, fuatilia huu mgogoro wacha mihemko na kulishana hayo mavitu huwa mnahubiriana huko.

Naona unapuyanga tu, hujui unachokisema.

Kwa hiyo unataka kusema kuwa uongozi wa HAMAS ulioko Qatar hauhusiki na October 7?

Chuki yako kali inakufanya usione vitu obvious
 
Sijui watahamia wapi au waje huku kwa wanaopenda kufia haya mavitu...

US Secretary of State Anthony Blinken warned Qatar last month that they should expel Hamas senior officials if the terror group rejects another ceasefire proposal, the Washington Post reported Saturday morning.

Qatar reportedly responded that they told Hamas leadership to be prepared for a scenario in which they would be forced to leave the country.

Three senior officials cited in the report claimed Qatar was preparing for Hamas’s expulsion for months due to frustration with Hamas’s unwillingness to accept ceasefire proposals, frustration that has grown with Hamas's lack of response to the current proposal.

Poleni brazaj
Pini imewakaa, Hamas wamewashika pabaya mayahudi na huu ndio mwisho wao
 
Sasa kama HAMAS ni magaidi na USA inawatambua kama Magaidi kwa nini haiiambii Qatar iwakamate viongozi wake wakuu ili washitakiwe?. Kwa nini inaishia kusema kuwa iwafukuze tu?

Ndiyo maana ninakwambia wewe Islamophobe MK254 kuwa unashangilia vitu usivyovijua!. Hao HAMAS wamesaidiwa na Israel kuwa hapo walipo ili kuvuruga umoja wa wapalestina wasiwe sauti moja katika kudai Taifa lao!
Utafiti unaonyesha kwamba watu wengi wenye islamphobia ni waislamu wenyewe.
Ndiyo maana kila kukichwa wanazikmbia nchi zao wenyewe.
 
Waisrael weusi wanashikiana akili wanakubaliana kila uharo😀
 
Back
Top Bottom