Habari,
Msanii Angel Bernard ameolewa kwa mara ya pili.
Mara ya kwanza aliolewa na Producer wa Nyimbo za Injili Godsave Sakafu.
Angel akiwa na Godsave Sakafu siku ya Sendoff yake Julai 2015
Picha zake na mume wake mpya hizi hapa:-
Kulikoni wanamuziki wa nyimbo za injili wa kike?
Mdhibiti Mkuu wa Faragha wa Data Nchini Marekani ameshutumu kampuni hiyo inayomiliki mitandao ya Facebook na Instagram kuwa haiweki udhibiti mzuri kwa ajili ya kuwalinda Watoto wanaotumia mitandao hiyo.
Tume ya Biashara ya Shirikisho (FTC) pia imesema Meta inapaswa kupigwa marufuku kutengeneza...
Msiojua kingereza mnisamehe
Bongozozo has left naked the self-proclaimed patriots who seasonally migrate like wildebeest with their pregnant wives to the US to give birth. January, Nape, Bashungwa, Kinana, Kabudi, Mulamula and a bunch of other public thieves have kids with foreign passports...
Urusi ndio taifa pekee ambalo limekua likipelekeshana na Marekani kichwa kwa kichwa kwenye masuala yote yakiwemo ya kijeshi tangu tangu, Marekani ilijaribu mbinu nyingi sana za kuizamisha Urusi ila ikawa ngumu, hawakua wanaingilika.
Lakini chini ya uongozi wa Putin, Urusi imeshushwa mpaka basi...
Hawa watu tukiwa nao huku Africa wanajidai kuishi kama miungu watu.
Kumbe huko ulaya na usa hawana muda nao
---
President William Ruto has complained over hospitality to African leaders in global summits
Ruto said African leaders are in some instances mistreated when they travel abroad to...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya mauzo ya nje ya bidhaa za China (China's crossborder transactions) mauzo kwa kutumia Yuan yameipita US dollar.
Mwaka 2010 mauzo ya nje ya bidhaa kutoka China kwa kutumia Yuan yalikuwa ni 0% na point kadhaa tu wakati mauzo kwa kutumia US dollar yalikuwa ni...
Ubalozi wa Marekani utauza kwa njia ya mnada wa kimtandao (online auction) vifaa mbalimbali vikiwemo samani, vifaa vya nyumbani, vifaa vya kielektroniki na magari ya serikali:
Mnada utafunguliwa ili kuona vitu vinavyouzwa siku ya Jumatatu tarehe 1 Mei kuanzia saa 00:00, na kufungwa siku ya...
Marekani utafiti umeonyesha kwamba ni vigumu sana kufanya kazi na kizazi Z ama generation Z ambao wamezaliwa kuanzia mwaka 1997.
Meneja na wakurugenzi wa wakuu wa utumishi walioulizwa kwenye utafiti wamesema ni ngumu sana kufanya kazi na kizazi Z kwani ni wabishi, wajuaji, hawana nidhamu wala...
Habari ndugu,
Ninaomba msaada wa kufahamu utaratibu wa kuomba tenda za kazi ndogo ndogo zinazotolewa na Ubalozi wa Marekani . Nimefuatilia kwenye website yao, lakini maelezo yao hayajitoshelezi.
Hivyo yeyote mwenye ufahamu au mwenye ndugu/rafiki/jamaa ambaye yupo Ubalozi wa Marekani ninaomba...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema pendekezo la kuhamisha makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka New York hadi nchi nyingine ni wazo zuri na linafaa kuzingatiwa.
Sergei Lavrov, ambaye yuko mjini New York, amewaambia waandishi wa habari kando ya mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la...
Majenerali hasimu nchini Sudan wamekubali kusitisha mapigano kwa siku tatu, waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken alisema Jumatatu, baada ya siku 10 za mapigano katika maeneo ya mijini ambayo yameua mamia ya watu na kujeruhi maelfu ya wengine.
Makubaliano ya awali ya kusitisha...
Habari zenu wakuu, naomba msaada hapa jinsi ya kufile kwa ajili ya kuomba visit visa.
Mfano: Ikiwa mtu muda huu hana kazi wala biashara yoyote, yaani hayupo vizuri kichumi, ikiwa ina maana hawezi kuuthibitishia ubalozi kupitia taarifa za benki, kwa maana salio la benki ni chini ya millioni 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.