nidhamu

Nidhamu is a recording by the jazz musician Sun Ra and his Astro-Intergalactic-Infinity Arkestra, documenting their first visit to Egypt.
Tracks 1-3 were recorded live at the Ballon Theatre in Cairo on December 17, 1971; track 4 is a solo keyboard performance recorded a week previously.

View More On Wikipedia.org
  1. ndege JOHN

    Mfano wa wazi kuwa nidhamu inalipa ni MC Eliud

    Huyu Jamaa kwa sasa nadhani ndo anatrend nafasi ya kwanza kwenye upande wa macomedy lakini ni wazi hata kwenye maisha ya kawaida ili upende usiboe watu inafaa uwe na nidhamu ya hali ya juu. Nidhamu itakuletea Michongo ile ya muda mrefu ukiaminika ila ukiwa huna nidhamu utaweza kukubalika ila...
  2. Bob Manson

    Ni ipi tofauti kati ya Heshima na Nidhamu? Je mtu anaweza kuwa na heshima na akakosa Nidhamu?

    Habari za wakati huu waungwana, ni matumaini yangu nyote ni watu wazima na wenye uzoefu na haya maisha. Naomba kufahamu tofauti iliyopo katika mambo hayo mawili muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku.
  3. J

    Je, ni kweli Adhabu ya Viboko inasaidia kuongeza Nidhamu na Uelewa kwa Mtoto?

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye Sheria inayoruhusu Adhabu ya Viboko kwa Wanafunzi Shuleni licha ya adhabu hiyo kutajwa na kupigwa marufuku kwenye takriban Mataifa 51 ikielezwa kuwa ni ya Kikatili na inayoumiza badala ya kufundisha Ili kufahamu zaidi, Shirika la Save the Children na WILDAF...
  4. MamaSamia2025

    Utovu wa nidhamu alioulea mwenyewe umemgeukia Lema. Hii ni aibu kwa chama kikuu cha upinzani

    Hakika hii ni wiki mbaya sana kwa chama cha Mbowe. Kitendo cha makada kutukanana mitandaoni ni kukivua nguo chama. Kilichonishtua sana leo ni kuona bingwa wa kulea vijana wasio na nidhamu ndugu Lema akijibiwa kwa dharau ya hali ya juu mtandaoni na mmoja wa vijana wa chama chake. Hakika hili ni...
  5. King Jody

    Tumia Pesa ya mkopo kwa nidhamu ya hali ya juu

    Ni ukweli ulio wazi kwamba maisha yana kupanda na kushuka, wakati mwingine inatokea mambo yanakuwa magumu kama vile biashara kuyumba nk, Kwa mfanya biashara ukichukua mkopo ili ku boost biashara yako pale ukwamapo siyo mbaya, Niwape kisa kimoja Kuna rafiki yangu alichukua mkopo kama ML 15...
  6. Pdidy

    Madereva wa Mwendokasi hawana nidhamu

    Nimeonaaaa hiiiii itv Mbunge wa ilala amesema pamoja na piklpik kuvunja sheria kwa kuingia barabara ya Mwendokasi. Badoo madereva hawa hawana nidhamu barabarani Amesemaaa kuna wakati unaonaa gari inavyokimbizwa unawazaa ndani kabeba watu ama mbuzi. Hakuishia hapoo akaombaa wafundishwe...
  7. S

    Bila nidhamu taifa haliwezi kwenda mbele

    Watanzania tuna mazingira mazuri sana ya kupiga hatua kwenda mbele zaidi ya hapa tulipo. Lakini tatizo letu ni nidhamu katika maisha yetu, kila kitu kinafanyika kiholela holela hakuna njia thabiti za kuhakikisha sheria na taratibu zote zinafuatwa. Barabarani bodaboda hawana nidhamu, na hakuna...
  8. C

    Feitoto aituliza nchi

    Feisal ni kijana mashuhuri kutoka Zanzibar , ni kijana mwenye uwezo mkubwa na mara zote huwa na juhudi na kuyafikia malengo aliyojiwekea. Leo katika mchezo wa Azam vs Yanga kijana huyu alimaarufu kwa jina la "Feitoto" aibuka shujaa dimbani, baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi na...
  9. U

    Financial freedom: Shilingi bilioni 1 inaweza kumfanya mtu mwenye nidhamu ya pesa aishi maisha standard mpaka 2060?

    Muhimu: thamani ya pesa inashuka kulingana na muda, shilingi 50 ya 2000 ilikuwa nauli ya daladala kwenda na kurudi lakini hauwezi fananisha na ya 2020 onayonunua pipi moja tu. Ikiwa mtu ana sifa hizi. Kashajenga umri miaka 35.... watoto wanne: first yupo la tano, second yupo la nne, third...
  10. Jaji Mfawidhi

    Maadili na mamlaka zinazosimamia nidhamu ya Mawakili wa kujitegemea, Mawakili wa Serikali, Mahakimu na Majaji (Ethical Values and Disciplinary Authori

    Wanasheria au Mawakili, Mahakimu na Majaji hawako juu ya Sheria, nao pia wanaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na hata kushtakiwa Mahakamani kama mtu mwingine yeyote. Makala hii inahusu jinsi ya kuwawajibisha waliotajwa hapo juu kwa makosa ya kimaadili (nidhamu) tu na sio kuwashtaki...
  11. Zanzibar-ASP

    Huenda kwa sasa Tanzania hakuna mchezaji mwenye upeo, busara, nidhamu na kipawa kama Chemalone

    Kama wewe unajua mpira na unafuatilia soka la Tanzania huenda utakubaliana na mimi. Ni vigumu mnoo kuwa na mchezaji mwenye sifa hizi. 1. Usikivu wakati wote. 2. Utulivu wakati wote. 3. Umakini wakati wote. Kukosea kupo, lakini standard za uchezaji wa Chemalone zimebakia katika kiwango kile kile...
  12. Mganguzi

    Wachezaji kudai posho na malupulupu yao huo sio utovu wa nidhamu kama mmewaahidi pesa alafu mnageuka na kuwasimamisha ni ulimbukeni

    Nachojua ni msimamo wa chama kuhusu posho na ahadi ambazo wachezaji waliahidiwa kabla ya mechi na wydad! Wachezaji hawajapewa posho yoyote ,chama aliamua kuufuata uongozi ili kudai haki ya posho ambazo waliahidiwa ndipo akaonekana kama mtovu wa nidhamu ,kiongozi mmoja alimtolea chama lugha chafu...
  13. chiembe

    Emmanuel Nchimbi anafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, anaweza kujenga chama, kudhibiti nidhamu ya chama, akiwemo yule bwana mdogo

    Emmanuel Nchimbi ni mwanasiasa anayemudu mapambano, anayejua historia ya chama na misingi yake. Kwa kujenga chama na kuondoa makundi, ni yeye pekee ndiye ana uwezo mkubwa wa kuishika vilivyo nafasi hiyo. Ni fundi wa mikakati, na Siasa za saiti, hata ikibidi Siasa za mapambano. Namshauri SSH...
  14. DR Mambo Jambo

    Tunakoelekea kubaya kuliko tulikotoka

    Habarini za Asubuhi poleni n Elnino! Sitaki kuongea mengi angalia Kibonzo cha HAKIELIMU. Utapafa Majibu
  15. B

    Mbowe, Lissu nidhamu inaporejea wafundeni wafuasi heshima

    Hongereni kwa kurejea kwa nidhamu chamani. "Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama" Kwamba hii ni kwa maelekezo yenu au ni kwa heshima au kuhofiwa kwa majina yenu? Hilo wala si la msingi tena: "The end justifies the means." Kuhusiana na "heshima," huu ni ushauri mwingine...
  16. SHANTI

    Waziri Mkenda umechemka, acha kutumia vibaya cheo chako kwa nidhamu ya woga

    Nimefuatilia maamuzi ya waziri Mkenda kwa wakuu wa shule na walimu waliohusika kwenye kucheza wimbo wa zuchu Binafsi naona maamuzi ya Waziri Mkenda ni ya kukurupuka na hofu ya kutenguliwa nyadhifa yake. : 1. Maadili ya mtoto yaanzia nyumbani, Hawa watoto huu wimbo wamjifunza makwao kupitia...
  17. R

    Mbunge Kuchauka: Waziri akichaguliwa leo anakuta wizarani kuna watu ni 'mama wa wizara', ili aweze kudumu kwenye wizara anaungana nao!

    Mbunge Kachauka anasema anaona Wakurugenzi wanatumbukizwa kwenye bwawa lenye mamba kwasababu kuna mhasibu, mkaguzi wa ndani, afisa masuuli kwenye halmashauri ambao wana uzoefu mkubwa kuliko yeye. Kumpeleka mtu aliyekuwa mwalimu akagombea ubunge na kupelekwa pale kama Mkurugenzi je salama yake...
  18. B

    Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama

    "Huu ni ushauri wa bure kwenu waungwana." Ni muhimu kuyatambua yafuatayo: 1. CHADEMA kimekuwa ni chama chaguo la wengi kwa muda mrefu. 2. Si kwa sababu ni chama bora sana, ila ni kwa kuwa kinayo nafasi ya kufanya maboresho. 3. Kwamba ndani ya changamoto zilizopo, hatimaye tutafika. 4...
  19. Rashidi Jololo

    Wahuni Jeshini Wadhibitiwe haraka, Wanajeshi wafundishwe nidhamu ya kuishi na raia

    Kitendo cha serikali ya CCM kufumbia macho WAHUNI Jeshini waliojichukulia sheria mkononi na kupiga, kujeruhi na kuua raia wasio na hatia HAKIKUBALIKI asilani. Tunafahamu ni kwa muda mrefu sasa majeshi yetu yote (Jeshi la wananchi, Polisi,Magereze n.k) yamekuwa yakitumika na serikali hii ya CCM...
Back
Top Bottom