walimu

  1. K

    Hivi serikali inawatafuta nini walimu kwenye ujenzi? Sasa huu mfumo wa manunuzi wa NeST imekuaje mmewahusisha?

    Mwalimu mkuu/Mkuu wa shule anaingiziwa hela kwenye akaunti ya shule. Anaandikiwa barua ya kukaimishwa uafisa masuhuli na mkurugenzi ili asimamie kikamilifu fedha hizo zifanye kazi lengwa. Mpaka hapa, safi tu. Anatakiwa aunde kamati mbalimbali zinazoshirikisha walimu wenzake, watendaji wa...
  2. Kyambamasimbi

    Tangu TAMISEMI waseme wamepata kibali Cha kuajiri kada ya Afya na Walimu tangu mwezi wa pili mwaka huu sijui shida huwa nini?

    Hapo Mimi huwa sielewi kibali tayari, nini huwa kinakwamisha au bajeti na mchakato kuchambua maombi utachukua mda Gani na hao watumishi wapya mfano Walimu wataripoti lini au mwezi wa 9? Au Kuna nn kama Mhe. Rais ametoa kibali?
  3. Erythrocyte

    Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni

    Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja. Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na...
  4. matunduizi

    Walimu wengi wa ndoa ni wachonganishi wa familia: Pesa zote zinapaswa kusalimishwa kwa Mume kichwa cha familia

    Mwanaume ameaminiwa na Mungu na kuwekwa kuwa kichwa cha familia. Kichwa ndio Injini ndio ubongo wa familia. Kwa mtazamo huu Rasilimali na vipato vyote vya familia vinapaswa kuwasilishwa kwa kichwa mara tu vinapopatikana. Mwanamke hata uwe CEO wa Google(kampuni inayoongoza kwa kulipa mishahara...
  5. M

    USHAURI: Nahitaji kurudia mitihani ya Kidato cha Nne katika michepuo ya sanyansi

    Nahitaji kurudia mitihani ya kidato cha nne katika michepuo ya sanyansi. Naombeni msaada wapi nitapata walimu wazuri.
  6. Single Digit

    SoC04 Kuna umuhimu wa Serikali kuboresha mishahara ya Walimu na Polisi

    Imekuwa kilio kisichokua na majibu miaka nenda rudi suala la mishahara ya walimu, pamoja na polisi katika kuboresha mishara yao. Japo Kuna watu wanasema inatosha ni sawa ila bado haitoshelezi ukilinganisha na kazi wanayo fanya kila siku. Hii husababisha Mambo mbali mbali mbali Kama...
  7. TheForgotten Genious

    Walimu msubiri Mei mosi ya 2025

    Walimu ndio wanaojazana kwenye sherehe za Mei mosi na fulana zao za CWT, sijuagi wanafuataga nini maana hakuna la maana wanalopambaniaga kwa masilahi yao, haya mwakani mvae tena fulana zenu mkapigwe na jua pasipo faida.
  8. R

    Watumishi wa umma wakiwemo walimu, simamieni HAKI katika chaguzi zijazo 2024&2025.

    Salaam, shalom!! Leo ni mei mosi, siku pekee na muhimu Kwa wafanyakazi Nchini. Watumishi wa umma wanasherehekea mei mosi katika mazingira magumu, mishahara isiyotosheleza, Kodi kubwa, kukosa motivation wakiwa kazini mf walimu ,kikokotoo Kwa wastaafu, mfumuko wa Bei, nk nk. Kwa kuwa Sheria za...
  9. Stephano Mgendanyi

    Nyumba za Walimu 562 Kujengwa kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

    Naibu Waziri OFISI YA RAIS TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainab Katimba amesema katika mwaka wa fedha 2024/25 serikali inatarajia kuenga jumla ya nyumba za walimu 562 zitakazochukuwa familia 1,124. Katimba ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma katika kipindi cha Maswali na Majibu akijibu...
  10. W

    Walimu Waruhusiwa kuingia na Bunduki Shuleni

    Wabunge wa jimbo la Tennessee nchini Marekani wamepitisha mswada wa kuwaruhusu walimu na wafanyikazi wengine wa shule kubeba bunduki shuleni siku ya Jumanne. Imeelezwa kuwa wabunge hao ambao ni wanachama wa Republican wa Tennessee House walipitisha sheria hiyo kwa walimu na wafanyakazi wengine...
  11. Prof_rutta22

    Matumizi ya mfumo wa Bemis kwa walimu wakuu

    Habari njema kwa wakuu wote wa shule nchi nzima katika wakati huu Dodoma ITech company tumekuja na huduma ya mafunzo ya matumizi ya mfumo wa Bemis School Information System(SIS) na technical support pia data entry masaa 24 wasaliana nasi whatssap DODOMA ITECH 💻🖱️ simu namba: 0687476872...
  12. Raia Fulani

    Walimu wa leo wana kipi cha kujivunia?

    Mada inazungumzia kwa upekee uandishi na matamshi ya lugha ya kiswahili. Kingereza si lugha yetu hivyo sitalaumu sana huko. Ukiwasikiliza vijana wengi sasa unagundua hawajui hata hicho kiswahili kinachoongewa kila siku. Nakumbuka shule ya msingi tulisoma "imla". Kwa kingereza ni dictation...
  13. A

    DOKEZO Sikonge: Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiswahilini tunateseka kwa kukosa huduma muhimu

    Nina kero kadhaa kuhusu Shule ya Msingi Kiswahilini inayopatikana Wilaya ya Sikonge, Kata Igigwa, Kijiji cha Tumbili, Kitongoji cha Kiswahilini yenye Wanafunzi 300 ina changamoto kadhaa 1. Mbali na kuwa na Wanafunzi 300, shule hiyo ya Mkoani Tabora ina matundu ya vyoo mawili tu tena yenye...
  14. Pfizer

    Serikali: Walimu 52,551 kuneemeka na upandishaji madaraja kwa njia ya mserereko

    Kauli hiyo imetolewa leo na Naibu Waziri wa Nchi, Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete wakati anajibu maswali yaliyoulizwa na Mbunge wa Ngara Ndg. George Ruhuro Bungeni Dodoma. Akieleza Naibu Waziri Kikwete amesema kuwa baada ya uhakiki wa taarifa za walimu ilibainika kuwa Walimu...
  15. Mpwayungu Village

    Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

    Hili sio uongo lipo wazi kabisa moja ya watumishi wa Serikali wanaodharaulika kwenye jamii ni hili kundi la walimu. Hata muonekano wao umekuwa ni too primitive huku wakijidifence eti ni dressing code ya mwalimu lakini nguo zao huwa ni zilezile shati kubwa ndefu na suruali iliyopwalaruka. Hata...
  16. Mtemi mpambalioto

    Serikali kupitia Bunge iongeze adhabu kwa walimu wanaobaka na kulawiti!

    Kumekuwa na wimbi la walimu kulawiti watoto na kubaka kitendo ambacho huwa kinaleta picha mbaya zaid kuliko hata wabakaji wa mtaani! Shuleni tunategemea malezi yawe yenye umakini. Na ya kimaadili! Shule iwe ya madrasa, sjui mafundisho makanisani, au shule za masomo ya elimu ya msingi...
  17. Edsger wybe Dijkstra

    Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

    Juzi nilipita eneo fulani kulikuwa na kikao cha walimu tena wakuu wa shule aisee! Kwanza picha linaanza nimeshuka kwenye gari subaru forester xt sport nyeusi tii inayoshine, aisee hayo macho ya walimu wakuu waliogeuka kuishangaa gari sijapata kuona, nikawapita kwenda duka la mpesa wapo...
  18. Kiboko ya Jiwe

    Wanafunzi na walimu ni kama maadui

    Mwanangu alirudi nyumbani siku moja huku akiongea kusema "Ile shule siitaki , usiponihamisha siendi tena" Imagine mtoto wa darasa la kwanza Mwalimu anamwadhibu kwa kumpigisha ukutani. Hilo nikamtuma wife akaongee na mwalimu aliyefanya huo ujinga likaisha. That was January. Maisha ya shule huyu...
  19. HaMachiach

    Dumuzi aendelea kukitafuna Chama cha Walimu Tanzania

    Chama cha walimu Tanzania ndio chama kikubwa kuliko vyote vya Wafanyakazi hapa nchini japo leo hii kina sura tofauti mbele ya jamii. Yanayojitokeza hivi sasa ni muendelezo tu wa vurugu zilizoanza baada ya kifo cha aliyekuwa katibu mkuu Alhaj Yahya Msulwa 2017. Hiki ndicho kipindi ambacho...
Back
Top Bottom