msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhafidhina07

    Kama unachangamoto yeyote katika maisha huu soma huu uzi

    Wakati nasoma chuo nilikuwa ni mtu mwenye mawazo mengi yakinitawala kwa wakati huo kichwa changu kilikuwa ni kama jalala kimejaa matatizo kibao ya kibinafsi,hasa katika mambo ya kigiza I actually sijawahi kuexperience ndoto mbaya kama wakati huo,sikuweza kuexperience maisha magumu zaidi kama...
  2. complexi

    Msaada, namna ya kufuta course ajira portal

    Naomba kujuzwa namna ya kufuta course ambayo nimesave kwenye mfumo wa ajira portal. Nimeweka level ya education ni diploma na nimesave but nikijaribu kufuta inakataa, lengo niombe kazi kwa kutumia level ya certificate na siyo Diploma. Naomba mnisaidie kama kuna namna ya kufuta.
  3. aBuwash

    Biashara ndo zinachangamoto hivi aisee? Msaada tafadhari

    Mimi ni mfanya biashara mgeni kwenye nafaka sasa na leo ni siku ya pili kwenye hii biashara yangu. Kasumba niliyokutana nayo wadau ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga ndogo tatu thamani ya shilling laki tatu na 87. Ile hela kanipa nimehesabu kwa macho yangu imetimia...
  4. T

    Msaada Kwa waliowahi kufanya interview utimishi wa uma Kwa upande wa clinical officers

    Nisaidieni Kwa anaefahamu kwenye ritten wanauliza maswali yapi je ni essay au short answers na oral je wanauliza maswali yapi mwenye uzoefu nisaidieni
  5. I LOVE YOU DUCE

    Wakuu naombeni msaada, naona msongo wa mawazo una ninyemelea

    Nadhani naingia kwenye msongo wa mawazo, nahitaji neno la faraja kwenu wa TANZANIA wenzangu, ndugu, kaka, dada, mama na baba zangu. Wakuu juzi, niliwashirikisha juu ya dhiki ya njaa Inavyotaka kuniua (mwezi wa nne sasa na kula mlo mmoja tu tena wakati wa usiku). Sasa hapa nimemaliza Kuweka...
  6. A

    Nyuki wananisumbua sana - Naomba MSAADA wenu

    Habari zenu ndugu zangu. Hapa ninapoishi kuna nyuki wapo ndani ya ceiling board. Nimeshawahi kupuliza dawa ya Rungu na kuwaua wote. Lakini kila bàada ya muda mfupi mfano mwezi wanahamia nyuki wengine, napuliza dawa wanakufa, halafu baada ya muda wanakuja wengine. Hawa waliokuja awamu hii ni...
  7. Tanki

    Msaada ndugu zangu. Anayejua hili kuhusu NSSF

    Ndugu zangu, kwasasa nipo nje ya ajira. Nahitaji kuchukua mafao yangu ya NSSF. Sasa, jina langu la kwenye account ya NSSF limetofautiana kidoogo na jina langu la kwenye kitambulisho Cha kupigia kura ambacho ndicho kitambulisho pekee nilichonacho. Yaani Kwa mfano, kwenye NSSF jina ni ZIGONDWA...
  8. Trainee

    Naomba msaada nikiingia RITA cheti cha kuzaliwa simu inaandika DNS_PROBE_FINISHED_NXDOMAIN

    Nimeomba msaada Google nikaambiwa; How Do You Fix DNS_PROBE_FINISHED_NXDOMAIN? Release and Renew IP Address. Restart DNS Client Service. Change DNS Servers. Reset Chrome Flags. Disable VPN and Antivirus Temporarily. Check Your Local Hosts File. Check DNS of Your Domain. Restart Your Computer...
  9. Melki the Storyteller

    Msaada wa kisaikolojia: Sijiskii kuwa kwenye mahusiano kabisa

    Habari wana JF. Mimi ni ME wa humu JF. Tatizo langu kubwa, nimepoteza hamu kabisa ya watoto wa kike. Ninapokuwa karibu yao ndo napata muwashawasha wa kuwa nao kwenye sita kwa sita. Ila ninapowapa mgongo, habari zao kwisha Sijiskii kabisa kuwa kwenye mahusiano, na si hivyo tu, bali hata...
  10. Spacefox

    Msaada kuhusu domain na hosting

    Wakuu kama kichwa kinavojieleza hapo, naomba mwenye kufahamu niwapi nitapata cheapest domain. Pia,ninahitaji kujua mfumo mzima kama hosting inakuaje na gharama zake.
  11. Pdidy

    Wapangaji wananila chabo msaada?

    Chabo vyuoni wanaita deo, yaani nimeleta wapangaji hawana miezi miwili ikifika saa sita naanza kuhondomola shemeji yenu nasikia kama panya anakwaruza ukuta. Mwanzo nkavumilia nkahisi pakaa sasa asbh ya leooo niliposikia nikampanga mke apige makelele ya mapenzi gafla nasikia dirisha...
  12. H

    Msaada wenyeji wa Ruhuwiko namtafuta ndugu yangu

    Habarini za leo wakuu tafadhali kwa wenyeji wa maeneo ya RUHUWIKO(songea) naomba mjitokeze unisaidie kuna ndugu yangu namtafuta sana hap
  13. B

    Makonda aipongeza Benki ya CRDB msaada wa Pikipiki kwa Jeshi la Polisi kuimarisha Usalama kwa Watalii Jijini Arusha

    Arusha 16 Mei 2024 - Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi mkoani Arusha ili kuimarisha doria zitakazoongeza usalama kwa watalii wanaokuja nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alipopokea pikipiki hizo zenye thamani...
  14. hp4510

    Msaada wa Kufanya configurations ya Modem

    Nina Mifi router ya tigo, inaitwa HOME INTERNET Sasa nataka kuconnect na laptop yangu Nifanye configuration Ili niweze kutumia WIFi Msaada Kwa mtu ambae ana router kama hii tafadhari.
  15. R

    Msaada kwa mwenye kujua hili

    Kama kuna mtu au wataalamu wa kupuliza dawa majumbani ninaomba tuwasiliane kuna wadudu wanakula mbao za dali ninaitaji sana kama yupo tuwasilane kwa kazi hii
  16. kagombe

    Msaada wa tafsiri za ndoto hizi

    Habari zenu wakuu najua humu nitapata ushauri or tiba sahihi, Kuna ndoto usiku wa kumkia Leo imenitesa Sana mpaka saa 11.36 alfajiri nilivyo kuja kumshwa Tena kwakua nilikua nawakela watu kwa kelele za kuwafukuza watu, hii ndoto imejirudia zaidi ya Mara 6 nikisinzia nahamishwa katika uwanja wa...
  17. issac77

    Wakuu msaada wa Ngoma nzuri ya kujifariji na kumsimanga Ex

    Nataka nidownload nizijaze kwenye flash niwe nazigonga asubuhi na jioni wakati nafanya home workout. Msaada tafadhali waungwana!
  18. B

    Msaada: Unatakiwa kufanya nini baada ya kumfikisha polisi mtu aliyekufanyia vurugu na kukujeruhi?

    Mtu akikufanyia fujo na kukujeruhi kwa kutumia silaha (Chupa za soda zilizovunjwa) unatakiwa kufanya nini baada ya ya kumfikisha kituo cha polisi? Je, hii ni aina gani ya case?
  19. Minjingu Jingu

    Nahitaji msaada wa Lodge au Hotel Mwanza

    Mimi ni mgeni jiji la Mwanza week hii naenda huko ntakaa mwezi mzima.30 days. Naombeni mnisaidie wapi nitapata Lodge au Hotel nzuri sehemu tulivu ambapo pia si mbali na Mjini. Cost iwe tsh 30,000 mpaka 40,000. Sehemu isiwe yenye kelele. Iwe nzuri pia ja yenye heshima.isiwe katika mji sehemu...
  20. B

    Msaada wa kazi, Mimi ni IT expert with five years experience at work

    Mimi ni IT expert Nina experience ya hii field miaka mitano sasa Nina uzoefu wa nyanja mbali mbali Kama Networking, IT SUPPORT ,Security system, System developer kama kuna ajira yoyote kuhusu IT naweza do iyo kazi private company, or any other institution
Back
Top Bottom