namna ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ngufumu

    Namna ya kuzuia Kichechefu wakati wa Ujauzito

    Je unaelewa nini kuhusu Kichechefu wakati wa ujauzito/ Morning sickness? Kichefuchu ni dalili ya kawaida ya ujauzito, hasa wakati wa kipindi cha kwanza cha mimba(miezi 3 ya mwanzo). Hali hii inaweza kukufanya uhisi kuchefuka au kuwa na kizunguzungu na kukuacha bila hamu ya kula. Ingawa ni...
  2. A

    SoC04 Namna ya kuhifadhi mazao mepesi kuharibika (perishable crops) baada ya kuvuna

    Utangulizi; mazao mepesi kuharibika ni nguzo imara ya kipato kwa wafanya biashara wadogo wadogo kama vile mbogamboga na matunda, lakini changamoto kubwa ni kuharibika kwa uharaka hasa yawapo sokoni jambo ambalo hupelekea hasara kwa wafanya biashara hawa. Utatuzi; ili tuweze kuishi Tanzanian...
  3. PAZIA 3

    Elimu ya talaka, namna ya kudai talaka, vigezo na masharti ya kuandika talaka

    Habari za Leo wanajforum? Tafadhari, naomba tupeane elimu ya talaka hapa jamvini. Elimu ya talaka ni muhimu sana lakini bado haitolewi vya kutosha, tangu nisome elimu yangu, sikuwahi kukutana na mada ya kutalikiana kwa wanandoa, huenda ni elimu ya watu wazima tu. Lakini hatuna budi kujifunza...
  4. O

    SoC04 Namna ya kuboresha elimu Tanzania

    Kumekuwa na mikakati kabambe ya kuboresha elimu nchini Tanzania. Ata hivyo njia hizo bado zinazalisha wahitimu tegemezi kwa serekali katika masuala ya ajira. Hii imepelekea wahitimu wengi kukosa ajira na kuiona elimu kama haina maana. Serikali inaweza kufanya yafuatayo ili kuboresha elimu kwa...
  5. J

    SoC04 Namna ya kudhibiti matumizi holela ya dawa za binadamu mtaani

    Dhana ya kufanya biashara kwenye maduka ya dawa Muhimu (DLDM) inahatarisha maisha ya wananchi wanao kimbilia kupata huduma kwenye maduka haya .Maduka ya dawa yamerahisisha huduma ya upatikanaji wa dawa za binadamu wakati huohuo yameongeza hatari ya kupata madhara yatokanayo na dawa hizo.Hii...
  6. complexi

    Msaada, namna ya kufuta course ajira portal

    Naomba kujuzwa namna ya kufuta course ambayo nimesave kwenye mfumo wa ajira portal. Nimeweka level ya education ni diploma na nimesave but nikijaribu kufuta inakataa, lengo niombe kazi kwa kutumia level ya certificate na siyo Diploma. Naomba mnisaidie kama kuna namna ya kufuta.
  7. Limbu Nation

    Namna ya kukagua ubora wa nondo zilizofungwa kwenye site yako

    Suala la ujenzi linahitaji utaalam wa hali ya juu ili kuhakikisha pesa zako hazi potei bure maana ujenzi ni gharama sana. Zipo namna nyingi za kukusaidia kujua ubora wa kazi yako, na hapa nakujuza mbinu moja. Ikiwa unataka kukagua ubora wa nondo zilizo unganishwa (overlapped rebar) ni rahisi...
  8. Kulwa Paschal

    SoC04 Namna ya kutatua tatizo la ajira Tanzania

    UTANGULIZI. Kuna Msemo unasema kuwa "Ajira ni chache ila kazi ni nyingi". Hii inatupa tafsiri kuwa, ajira zinapatikana kwa uchache sana ila kazi (Kujiajiri)/Fursa, zipo nyingi na hii inategemea na uwezo wa mtu (Taifa) kuziona fursa hizo na kuzibadili kuwa fedha na kutengeneza ajira kutoka katika...
  9. lee Vladimir cleef

    Naomba kufahamishwa namna ya kupika nyama ya kopo.

    Nawasalim kwa jina la TZ. Naomba kufahamishwa jinsi ya kuipika,ama kuiandaa kwa ajili ya kula nyama ya kopo. Ninapoenda supermarket hua naiona sana nyama hii ya kopo,natamani kuinunua,lkn sijui kuiandaa kwa ajili ya kula,ama kuipika maana najua tayari hua imekwisha kupikwa. Je ninaiandaaje kwa...
  10. Yoda

    Namna ya shambulizi la Israel huko Isfahan-Iran inathibitisha Israel wamedhamiria na wanawaalika Iran kwa vita kamili.

    Tukio la Jana la Israel kushambulia kwa ndege nchini Iran kujibu shambulizi la drones la Iran lililotangulia ni la kiwango cha juu kuashiria vita kamili . Hili Shambulizi lilipangwa kwa mkakati kama vile jeshi lililoko vitani serious na sio kama michezo ya kidali poo anayojaribu kufanya Iran...
  11. sinaham

    Namna gani naweza kumuona Waziri nayemuhitaji?

    Naomba ushauri nmana bora ya kukutana na Waziri yoyote ninayemuhitaji
  12. Mufti kuku The Infinity

    Msaada: Kuna namna ya kupakua tamthilia za Mexicans, Brazilians?

    Sana sana nahitaji Da Cor do Pecado /Shades of sin. Mwenye anajua namna ya kuipata hii mtandaoni, hata kwa kulipia 🙏🏻🙏🏻
  13. Kaveli

    Msaada: namna ya ku-recover WhatsApp Video call (outgoing) if possible.

    Kwa tech gurus wote kwenye jukwaa hili, title ya uzi yahusika. Naombeni namna ya ku-watch/download WhatsApp Video call (outgoing). Urgently naihitaji video husika ila haipatikani kwenye storage. Naishia kuona video call 'history' tu ya tarehe husika. N.B: Nahitaji video husika urgently for...
  14. Dalton elijah

    Kampuni imebuni namna ya kutumia teknolojia ya AI kama njia ya “kufufua” wafu na kuwaunganisha na wapendwa wao walio hai

    Kampuni hiyo kutoka China imekuwa ikitumia teknolojia inayoiga akili ya binadamu (AI technology) kubuni nafsi ya kidijitali ya aliyefariki na kuwezesha jamaa zake kuwasiliana naye jinsi ilivyokuwa kabla ya kufa kwake. Teknolojia hiyo imesifiwa na wengi kwa kuwa inawapa waliofiwa faraja ya muda...
  15. Excel

    Mbinu mbalimbali zitumiwazo na wezi wa Magari na namna ya kuzizuia

    1. Wizi wa kutumia mfumo wa Keyless. Wizi wa keyless au wizi wa relay ni wizi ambao huusisha watu wawili ambao hufanya uhalifu huu kwenye magari ambayo yameegeshwa nyumbani. Wizi huu huusisha vifaa viwili ambavyo ni "relay transmitter" na "amplifier", hivyo wanatumia vifaa hivi kuidanganya gari...
  16. GENTAMYCINE

    Yaani nimenunua Mwenyewe Nguo ya Mamelodi Sundowns halafu Waziri wa Tanzania anipangie namna ya Kuivaa Jumamosi?

    Nina Miaka 20 sasa sijamvunja Mtu Kolomero na kuyageuza Macho yake Kisogoni. Sasa ole wake nione Askari yoyote Siku ya Jumamosi amakuja kunifuata GENTAMYCINE Uwanja wa Mkapa Kunikamata kwakuwa Mimi ni Mtanzania ( Shabiki wa Simba SC ) nimevaa Jezi ya Wageni Mamelodi Sundowns FC. Uzalendo...
  17. Vincenzo Jr

    Jinsi ya connect simu yako na Computer/ laptop kwa kutumia Xender

    1. Washa hotspot yako ili uweze kuunga simu yako na computer/ laptop hii ni free haihitaji kuwa na data/ bando kwenye simu yako 2.ingia kwenye Xender yako gusa neno Connect to PC itakupeleka sehemu hii hapo picha ya pili kwa chini 3.Kuna number hapo kwenye steps 3 izo ni web address...
  18. D

    Ushauri wa namna ya kujiajiri Kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu

    Habari wakuu Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika fani ya Computer science (degree mwaka wa pili), Naomba ushauri kutoka kwenu juu ya fursa ambazo naweza kujiajiri nazo ,( kwenye fani hii ya Computer science) nikimaanisha nitajiajiri vipi? Pale nitakapo maliza degree yangu ya Computer science...
  19. Mama Mwana

    Namna ya kujiunga na UTT AMIS

    Hellow friends, naomba kuelekezwa namna ya kujiunga na hii kitu
  20. Stephano Mgendanyi

    Riba za Mabenki kwa Watumishi wa Umma na Sekta Rasmi ni Kubwa Sana, Serikali Iangalie Namna ya Kupunguza Riba kwa Watumishi

    MBUNGE ZAYTUN SWAI: Riba za Mabenki kwa Watumishi wa Umma na Sekta Rasmi ni Kubwa Sana, Serikali Iangalie Namna ya Kupunguza Riba kwa Watumishi "Naomba kutoa pole kwa watanzania wakiwemo wananchi wenzangu wa Mkoa wa Arusha hususani Jimbo la Monduli kwa kuondokewa na mpendwa wetu Waziri Mkuu...
Back
Top Bottom