Kama Unathamini Laptop/Desktop yako Usikubali Hii Ikupite.
Habar Ndugu, hata kama umekuwa Ukitafuta Vifaa vya Laptop/Desktop kwa Kipindi cha nyuma bila Mafanikio leo kuna Suluhisho la Changamoto yako hiyo, Fuatana nasi leo. Je, unajua kuendelea kutumia Kifaa chako katika utaratibu uliouzoea na...
Laptop LENOVO inauzwa kwa Gharama ya 200k maongezi yapo.
Anapatikana Tabata Magengeni.
Condition-Used, inakaa na chaji dakika tano tu hivyo inatumika ikiwa kwenye umeme
Specs- RAM 4RAM HDD 300 PROCESSOR 1.7GHZ
Wasiliana na muuzaji Moja kwa moja 0718378427.
Kama Unathamini Laptop/Desktop yako Usikubali Hii Ikupite.....!
Habar Ndugu....
Hata Kama umekuwa Ukitafuta Vifaa vya Laptop/ Desktop kwa Kipindi cha nyuma bila Mafanikio leo kuna Suluhisho la Changamoto yako hiyo, Fuatana nasi leo..!!
Je Unajua kuendelea kutumia Kifaa chako katika utaratibu...
Dondoo Mbalimbali Muhimu kwa Kuhusu Betri ya Laptop..!!
1. Je unajua Kuwa Unaponunua Betri Mpya Yafaa Uichaji kwa Dk. 20 kabla ya kuanza kujaribisha? Maana Betri nyingi zinakuwa Hazina Chaji. Hii husaidia katika utunzaji wa Betri ya Laptop yako.
2. Je unajua Kuwa kupata Joto sana...
Wana ndugu naomba msaada. Nina laptop aina ya hp elite book, nilinunua ya mtumba na haikuwa na shida yoyote but hivi karibui kitufe kimoja cha backspace kimekuwa kinasumbua kwa kikataa kurespond au kinafanya kazi baada ya kubonyezwa kwa nguvu hadi imekuwa kero hasa napokuwa na kazi kubwa...
Kama laptop au computer yako ina port chache bas hii USB HUB itakusaidia kusulisha tatizo lako kwa kuweza kuchomeka flash disk zaidi ya 8 kwa wakati mmoja.
Utaipata kwa Tsh 25,000 tu
Pigasimu 0687391033
WhatsApp 0652565597
1. Washa hotspot yako ili uweze kuunga simu yako na computer/ laptop hii ni free haihitaji kuwa na data/ bando kwenye simu yako
2.ingia kwenye Xender yako gusa neno Connect to PC itakupeleka sehemu hii hapo picha ya pili kwa chini
3.Kuna number hapo kwenye steps 3 izo ni web address...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.