bei nafuu

  1. salmon appliances

    Njoo ujichagulie laptop nzuri na bei nafuu

    NEW ARRIVAL🚨 💥 High Quality Used clean Laptop. A Grade🔥 👉Dell 3189 x360 Touch screan 👉Intel Pentium 👉SSD 128 👉 RAM 4GB DDR4 👉Touchscreen Display 👉Price ONLY Tshs 420,000/-* 255713520180
  2. Z

    INAUZWA Nauza viatu vya ngozi (Sandals) vya kiume na kike kwa bei nafuu.

    Viatu ni vizuri na imara sana. Bei: 12,000 tu Napatikana Dsm Segerea mwisho. Mawasiliano: 0744252541 Ukihitaji huduma ya delivery utaletewa kwa gharama zako. Mikoani pia utatumiwa kwa gharama zako.
  3. mangiTz

    Biashara TV, pata tv pendwa Hisense kwa bei nafuu

    Bei ya Hisense smart tv 32" - 380,000 40" - 580,000 43"- 650,000 50" - 899,000 55"- 1000,000 58"- 1,200,000 Warranty mwaka mmoja (miezi 12) Tv mpya dukani karibuni, location Mwenge. WhatsApp number 0753430357
  4. Q

    Vitu vya ndani kwa bei nafuu

    Vinauzwa kwa bei nafuu; Kitanda. 5x6. = 120,000/= Godoro dodoma 5x6 inch 8 = 120,000/= Kabati la nguo. = 120,000/= Mtungi wa gesi, jiko na Meza. = 150,000/= Coffee table. = 70,000/= Friji ndogo [Mr uk] = 200,000/= Vipo Dar es Salaam. Anayehitaji tafadhali piga namba 0693 733 218. Karibuni...
  5. R

    Phone4Sale Google Pixel 5a, 5G inauzwa bei nafuu

    Brand : Google Pixel Model : Google Pixel 5a Network: 5G Ram : 6 GB Storage: 128 GB Screen Size: 6.34 inches CPU : 2.4 GHz Cover la sim gumu unapewa bure Bei: 430,000/= Sim bado ipo kwenye hali nzuri kama mpya, haina mikwaruzo, vidoti n.k Nipo Dar es salaam Karibuni sana
  6. MFALME WETU

    Je, Unahitaji Kumiliki Simu Ya Ndoto Yako Kwa Bei Nafuu? Usiache Kupitia Huu Uzi

    Wewe ni Mkazi wa Dar es Salaam na unahitaji Simu Kali kwa Gharama Nafuu? Huitaji kuhangaika mambo yawe mengi tucheki moja kwa moja dukani. MZIGO NI MPYA & GENUINE Pia tunafanya huduma zote ya 🔝 & Xchange [kama una simu yako na unataka Simu nyingine Kali zaidi kwa kuongezea kiasi kidogo cha...
  7. MEGATRONE

    Natafuta furniture kwa bei nzuri

    Habari nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata furniture kwa bei nafuu kidogo! Nimewapigia lifemate wameniambia bei yao inaanza 5m🤣🙌🏽. Naombeni muongozo!
  8. Kakondele

    Car4Sale Basi linauzwa bei nafuu sana

    Zhongtong Caesar Inauzwa Namba B Siti 60 2by2 Engine scania 93 Gearbox scania Diff scania Bei Tzsh 35,000,000/= Gari haina tatizo lolote Bima ipo hai Call, sms, whatsap 0759399805
  9. Laptop bei nafuu

    List ya laptop za bei nafuu

    LAPTOP ZA BEI NAFUU ZAIDI KWA PICHA ZA LAPTOP NICHEK INBOX NITUMIE JINA LA LAPTOP HP PROBOOK X360 ITEL SSD 128 RAM 4GB BEI 335,000 🔥🔥🔥🔥 DELL 3189 SSD 128 RAM 4GB BEI 350,000🔥🔥🔥🔥 HP 640G1 CORE i5 HDD 500 RAM 4GB BEI 400,000🔥🔥🔥🔥🔥 HP FOLIO 9470 CORE i5 HDD 320 RAM 4GB BEI 400,000🔥🔥🔥🔥 HP...
  10. D

    AGIZA NAMI KWA BEI NAFUU

    1 Habarini, Kwa wale wafanyabiashara, wafanyakazi, wajasiriamali haswa mliokuwepo mkoani hata ambao mpo ndani ya dar es salaam ambao mlikuwa mnapata shida kuagiza kitu au bidhaa yeyote kutokana na kukosa nafasi au mtu wa kumuagiza bidhaa. Kijana yenu nipo hapa kwa mtu yeyote ambaye...
  11. D

    Kijana yenu nipo hapa kwa mtu yeyote ambaye anataka kuniagiza kitu

    Habarini, Kwa wale wafanyabiashara, wafanyakazi, wajasiriamali haswa mliokuwepo mkoani hata ambao mpo ndani ya dar es salaam ambao mlikuwa mnapata shida kuagiza kitu au bidhaa yeyote kutokana na kukosa nafasi au mtu wa kumuagiza bidhaa. Kijana yenu nipo hapa kwa mtu yeyote ambaye anataka...
  12. Jo Assistant

    Phone4Sale Nauza simu ya Galaxy S8 plain used Dar es Salaam kwa bei nafuu

    Habari wadau, Nauza simu yangu kwa mtu anayetaka kuinunua hapa Dar es Salaam. Nakupa na chaja yake bure. Simu ipo rooted na unaweza kutumia line 2 za simu. Kama utataka nikufungulie social media accounts (Instagram, Facebook, X, nk), nitakufungulia bure. Pia kama utataka links za websites za...
  13. L

    Car4Sale IST inauzwa bei nafuu

    TOYOTA IST INAUZWA BEI NZURI LOC: MBEZI BEACH. YEAR OF MANUFACTURER:~2002 PRICE:8750000 ml ENGINE CAPACITY: 1490 CC ENGINE : 2NZ MAWASILIANO ----0784379396 ---- 0673805806 NOTE: GARI HAINA CHANGAMOTO YEYOTE YA KIUFUNDI, KARIBU NA FUNDI WAKO UJE UKAGUE UJIRIZISHE TUFANYE BIASHARA.
  14. salmon appliances

    Pendezesha nyumba au ofisi yako na home appliance za bei nafuu

    Tupo Kariakoo unaletewa bidhaa ndo unalipa kwa aliyeko Dar-es-Salaam punguzo lipo. 0713520180
  15. Q

    Nauza mifuko ya Cement kwa bei nafuu sana - 15,000

    Habarini wadau. Nauza cement grade 42.5 kampuni ya Camel kwa bei ya 15,000 kwa mfuko. Eneo ni Tabata Saanene. Bei ni nafuu kwa kuwa ninafunga biashara. Imebaki mifuko 200 tu. Wahini sasa. Risiti ya EFD ipo. Kwa mawasiliano zaidi, piga namba 0687320462.
  16. W

    Tunauza rangi nzuri za kupaka kwenye nyumba kwa Bei nafuu

    Habari karibu CHAMPION PAINT SHOP ni wauzaji wa rangi za nyumba, pia tuna mashine ya kuchanganya rangi mbalimbali Kwa kutumia kompyuta, BEI ZETU ni nafuu sana tunapatikana Mwenge-Lufungira Karibu sana mawasiliano 0789 026 963 calls & Sms Whatsapp 0715 128 827
  17. Troubleshooter

    Tunachapa vitabu, mabango, brochures kwa bei nafuu

    Habari GStar publishers ni kampuni inayojihusisha na uchapaji wa vitabu, mabango, brochures na business cards kwa bei nafuu. Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Jangwani au tupigie kwa simu. 0719682352. Unapata kazi kwa uharaka na kwaubora wa hali ya juu, vitabu tunaprinti kuanzia kopi 10 na...
  18. stevhinoz

    Wapi nitapata jiwe la kaburi (Headstone) kwa bei nafuu hapa Dar?

    Anaefahamu wapi naweza pata jiwe la kaburi lililotengenezwa kwa granite au marble. Headstone. Anasaidie wapi naweza kulipata kwa bei nzuri. Asante
  19. B

    Gharama za gesti za bei nafuu Newala na Masasi

    Habari zenu wana Jf, Nina safari ya kwenda Masasi kesho insha'allah then nitaenda Newala kisha Mtwara mjini. Naomba kuulizia anayefahamu gesti za bei nafuu kwa Newala na Masasi bajeti ya sh elfu kumi hadi kumi na 5. Asanteni sana ndugu zanguni
  20. Kakondele

    Tunauza Magari Makubwa na madogo ya aina mbalimbali

    Basi lenye Terias injini ya scania 113 hoarse power 320 body limetengenezewa kenya linauzwa lipo katika hali nzuri na hivi sasa linatembea na injini yake haijawai kuguswa.bei yake ni rahisi ambayo hata watu wahali ya chini wanaweza kumudu kwa mawasiliano zaidi bei ni tzsh mil 50,000,000 sababu...
Back
Top Bottom