nauza

  1. R

    Nauza Saa aina tofauti

    Nauza saa aina tofauti zenye ubora hakika kwa uaminifu. Karibu Napatikana Tabata, Segerea Mawasiliano: 0677009608
  2. E

    Phone4Sale Nauza Smartphones aina ya iPhone 12 PLAIN

    *iPhone 12 Plain No Face 128GB* 💰790,000/= Call/WhatsApp 0683731404 Free delivery around Dar es salaam Boundaries Location Kkoo
  3. M

    Nauza calculator original kwa bei ya jumla na rejareja

    Bei ya jumla ni PC 10 kwa 130k tu lakini piah ni 25,000/- Kuna edition nne za Scientific calculator na bei zinatofautiana lakini Casio fx 991 Ms first edition ndo bei zake hizo nafuu #usipigwe na kitu kizito Whatsapp 0699358049 Karibu sana wewe mwanachuo,mwanafunzi,mwalimu, wafanyabiashara...
  4. Z

    INAUZWA Nauza viatu vya ngozi (Sandals) vya kiume na kike kwa bei nafuu.

    Viatu ni vizuri na imara sana. Bei: 12,000 tu Napatikana Dsm Segerea mwisho. Mawasiliano: 0744252541 Ukihitaji huduma ya delivery utaletewa kwa gharama zako. Mikoani pia utatumiwa kwa gharama zako.
  5. A

    Nauza TV mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    Habari zenu ndugu zangu? Ninauza TV mbili za inch 32 Brand Hisense na PS3 moja kwa 900,000 tu! Nilikuwa nachezesha PS mtaani (DSM) lakini nimepata ajira na nina hama Mkoa. Unaweza kuja ofisini kwangu kujihakikishia kama utapenda Mkuu. Mali hizi ni nzima namimi ndio mmiliki halali. Hizi ni...
  6. MASTERCHIEF 255

    SOFTWARE Nauza Mfumo wa kusimamia huduma za mikopo na ukopeshaji.LOAN MANAGEMENT SYSTEM

    Je unafanya biashara ya ukopeshaji na ungependa kupata mfumo wa computer utakaokusaidia shughuli zako za ukkopeshaji? LOAN MANAGEMENT SYSTEM Mfumo wa usimamizi masuala ya kuweka pesa na kukopa Mfumo maalumu kwa ajili ya vikoba, microfinance, taasisi za ukopeshaji na watu binafsi wanao...
  7. manka1

    Nauza bata wa kienyeji

    Natafuta wateja wa bata wa kienyeji Madume 25,000 Majike 20,000 Mbagala charambe ndipo nilipo
  8. A

    Nauza Tv mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    Habari zenu ndugu zangu? Ninauza Tv's mbili za inch 32 Brand Hisense na Ps3 moja kwa 900,000 tu! Nilikuwa nachezesha PS mtaani (DSM) lakini nimepata ajira na nina hama Mkoa. Unaweza kuja ofisini kwangu kujihakikishia kama utapenda Mkuu. Mali hizi ni nzima namimi ndio mmiliki halali. Hizi ni...
  9. B

    Nauza kuku broiler

    Wana jamii forum nasafisha Banda kuku broiler wa wiki nne na siku 2 - 85 wamebaki na kila mmoja nauza 5500 ..wanapatikana mbweni jkt. Kwa mawasiliano 0612630936
  10. EP cosmetics

    Nauza mashine ya kunyolea nywele ni mpya kwenye boksi lake, KEMEI Model 809A

    Bei 50,000/= KEMEI model 809A. Ni ya kuchaji, inatunza chaji mpaka masaa 4. Ni mpyaa, kwenye boksi lake na kila kifaa chake kipo ndani ya boksi.
  11. G

    Nauza mihogo

    Habari wa kuu ,Nina mashamba ya mihogo hekta 15 hapa Morogoro. Karibu tufanye biashara, mihogo mizuri inaiva maji kidogo sana. 0762502983
  12. NecZec

    Nauza Pikipiki Honda Ace 125 Individual

    Ninauza pikipiki aina ya Honda Ace 125 Individual. Bei milioni mbili laki moja tu. Imekimbia kilometa 601,bado mpya, ni pikipiki nzuri kwa matumizi ya usafiri binafsi zaidi. Ipo Kigamboni na kadi yake ipo. Karibuni tufanye biashara
  13. Y

    Nauza laptop

    Laptop lenovo think pad inauzwa location mbeya mjini Ram 4gb,storage 500gb,processor 2.6 core i5. bei sh 350,000 mawasiliano 0673-107669
  14. Waibi fredy

    Plot4Sale Nauza place yangu Heka 3 Heka moja laki 9.5

    Habari wapendwa nahitaji mnunuzi mwenye kujua thaman ya uwekezaji Nauza place yangu heka 3. Location: njia ya bagamoyo mkenge Document: Zipo na linatambulika na serikali ya kijiji Nilinunua 2019 Nauza nimeshindwa kufanya chochote kutokana nipo mbali napo. WhatsApp 0715160365 Call 0747464694
  15. Kipondo Cha ugoko

    Nauza saloon ya kiume (Barber shop)

    Habari zenu wakuu! Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nauza saloon yangu ya kiume(barbershop) iliyopo makongo stend (mageuzio). Nimepata uhamisho wa kikazi hivyo haina budi kuiuza kwani sitoweza kusimamia nikiwa nje ya dares Salam ( mkoani). Saloon iko full ina viti vya kunyolea (barbershop...
  16. MOSintel Inc

    Vunja bei: Nauza mafuta ya alizeti katika ujazo wa lita 5 kwa bei sawa na bure

    Habari, Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 5 kwa TZS 24,000/- : * Mafuta ni masafi * Hayana harufu, * Sio ya kuchemsha na * Si machungu * Muonekano wake unaita. Mzigo upo Kibaha mjini. Kama una uhitaji karibu PM au nicheki kupitia namba 0787454580...
  17. Yofav

    Nauza simu yangu | Samsung note 9 Gb 128 Pamoja na charge yake

    Only For Tsh.360,000 Problem ni mic pekee sometimes yes/sometimes no. Double line☑️ Only for serious buyer nicheki WhatsApp au piga 255673269533 Simu ipo Tabata Mwananchi
  18. Hamad yusuph

    Phone4Sale Nauza simu aina ya iPhone 6 s

    Nauza simu jamani wana jamiiform IPHONE 6s lak 180000 had 165000 haina shida yoyote pasipo kua utapata usb ios apple :gb 128,gold km ndo hivo unavyo ona hapo chini👇👇👇👇👇👇 Contact:0782821751 Nipo dar/magomeni/kw binyau
  19. vumiliag

    Nauza viti vya mbao vyakutumia bar, grocery au mgahawani

    Nauza viti vya mbao ambayo unaweza kutumia bar,grocery au mgahawani... viti vinapatikana shekilango nyuma ya ofisi za abood bus au shabiby ■ kiti cha watu 2 vipo vi3 ■meza 3 ■stuli 6 inamaanisha kiti cha watu2+meza+stuli 2=150000 (mzunguko uko mara 3) inamaana ukichukua vyote ni laki450000 bei...
  20. M

    INAUZWA Nauza TV, PS4 na steering wheel yake

    Habarini za jioni! Kama kichwa kinavyojieleza. Miezi sita ilopita nilitamani kufungua kijiwe cha games za Ps na kwa bahati nilifanikiwa kununua baadhi ya vitu lakini baada ya kupata kibarua mbali na eneo nililotaka kufungua hiyo ofisi nimeona bora niviuze kuliko kumwachia mtu anitunzie. 1...
Back
Top Bottom