nauza

  1. Chance ndoto

    NAUZA MAJIKE YA NGURUWE YENYE MIMBA

    Samahani waislamu, Kwa mahitaji ya majike ya nguruwe yenye mimba. Napatikana Mbezi kwa msuguri. Mbegu ni large white. Bei chee kabisa ofa ya sikukuu. 500,000 kwa jike moja. 0783985530 Karibuni sana. Ofa mpaka january 15 2022. Niwatakie siku njema.
  2. Dith

    Car4Sale Nauza gari min bus ldv convoy

    Nauza gari, ni min bus yenye usajili wa number C. Aina ya LDV convoy. Gari ipo mwanza kwimba. Linahitaji marekebisho kadhaa na halijatumika muda mrefu. Bei ni 4.7M (mazungumzo yapo). Kwa mawasiliano na maswali zaidi piga 0769917961. Asante
  3. V

    Nauza nguo kwa bei nafuu

    Karibuni vunja Bei kariakoo online wauzaji wa nguo za kiume pamoja na viatu Utapata jeans kardet vest T-shirt shirt kwa Bei pouwa Njoo WhatsApp 0657710078
Back
Top Bottom