ngozi

Chimamanda Ngozi Adichie ( (listen); born 15 September 1977) is a Nigerian writer whose works range from novels to short stories to nonfiction. She was described in The Times Literary Supplement as "the most prominent" of a "procession of critically acclaimed young anglophone authors [who] is succeeding in attracting a new generation of readers to African literature".Adichie has written the novels Purple Hibiscus (2003), Half of a Yellow Sun (2006), and Americanah (2013), the short story collection The Thing Around Your Neck (2009), and the book-length essay We Should All Be Feminists (2014). Her most recent book, Dear Ijeawele, or A Feminist Manifesto in Fifteen Suggestions, was published in March 2017. In 2008, she was awarded a MacArthur Genius Grant.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Hospital gan ya Ngozi nzur Kwa ZNZ

    Wakuu Habar Zenu, naombeni ushauri kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Dogo ugonjwa wa Ngozi unamsumbua. Ahsante!!
  2. E

    Natafuta wanaotengeneza Buckles za Mikanda ya ngozi

    Habari! Mimi nina design mikanda ya ngozi na nimekua nikitafuta sana Buckles (bakoz) za kufungia mikanda ambazo ni nzuri , imara, na high quality lakini sijapata hapa Tanzania! Nimepata sehemu ipo Kenya tu. Nina uhakika lazima kuna sehemu au kiwanda hapa hapa Tanzania wanaoweza kunitengenea...
  3. The Eric

    Mafuta gani yanafanya kubaki na ngozi asilia, bila kubadili mwonekano.

    Salaam wanajukwaa huru la urembo, mitindo na utanashati yaani lifestyles..... Mimi ni mwanaume mweusi (weusi wa chocolate yaani maji ya kunde), recently natamani sana nibakie kwenye weusi wangu asilia yaani from my origin. Kipindi cha nyuma like few years past niliona kunga'aa ni good looking...
  4. USSR

    Ugonjwa wa ngozi kuwasha Dar wizara ya afya mpo kimya kama hampo

    Hapa kwenye taasisi nayofanyia kazi karibu kila mtu analalamika ugonjwa wa kuwashwa ngozi na kujikuna as if mtu anapiga gitaa . Huko mitaani nako hali sio hali watu wanajikuna sio mchezo sana na leo nilikuwa hospitali (kitegule) Dk akaniambia kuna huo ugonjwa na watu wengi wanafika hapo wakiwa...
  5. Damaso

    Je ni kweli kuoga maziwa kunaleta afya ya ngozi?

    Habari, nimepata taarifa kuwa mtu akioga maziwa fresh kutamsaidia sana kwenye afya yake ya ngozi. Maziwa ya wanyama kama Punda, Farasi, Ngamia, Mbuzi na Ng'ombe ni tiba nzuri ya ngozi. Pia kuna sehemu nimesoma kuwa Malkia wa Misri, Cleopatra alikuwa na kawaida ya kuoga maziwa ili apate ngozi...
  6. Yoda

    Ni kweli kuna wakati kulikuwa na wachuna ngozi za binadamu nchi hii?

    Miaka ya tisini nilikuwa nasikia sana stori za uchunaji ngozi maeneo mbalimbali ya nchi, stori zenyewe zilikuwa za kutisha sana kwamba watu wanamkamata mtu hasa watoto wadogo wanawachoma sindano fulani ngozi yote inaumuka kisha wanaichana na kuivua tu. Hizi story za uvunaji ngozi ya binadamu...
  7. Damaso

    Je, kuna athari zozote mtu kuoga mara kwa mara?

    Kuoga ni sehemu ya muhimu sana katika maisha ya binadamu, baadhi imekuwa ni kama ibada au kujitwaharisha. Wapo wanaopenda kuoga kuendana na mtindo wao wa maisha, mara moja kwa siku au mara moja kwa siku tatu, na kadhalika. Swali langu ni hili, Je kuna madhara yoyote endapo mtu akioga mara...
  8. T

    Fangasi za korodani zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!

    Wakuu kwema. Hivi karibuni nilikuja humu kuomba msaada wa jinsi ya kutibu hizi fangasi baada ya kushindikana hospital Nimekuwa nikipewa dawa ileile kwa kila daktari nayemtembelea, nimeenda hadi kwa daktari specialist wa ngozi lakini dawa aliyonipatia ni kama niliyokuwa napewa na wengine...
  9. bahati93

    Ngozi ya miguu yangu ni nyororo kuliko baadhi ya nyuso za watu

    Mimi ni kijana nayependa sana miguu yangu, Haya mapenzi yameanza zamani wakati nasoma shule ya msingi kipindi nilipoanza kuoga mwenyewe. Nishagombana sana na ndugu zangu wa damu na mama yangu mzazi pale ilipofika zamu yangu kuingia bafuni eti kisa natumia muda mwingi. Mimi oga yangu naosha...
  10. T

    Kama uzuri wa sura, umbo, ngozi na mguu ndiyo vigezo vyako muhimu kwa kuoa basi umepotea sana

    I know you got me, you heard me correctly! Ndio ukweli hata kama utakataa, chunguza magonjwa ya kurithisha kama kifafa, ukichaa katika familia ya mrembo, chunguza uwepo wa historia ya uchawi na ulonzi ndani ya familia ya mrembo, Angalia kwa makini vitu vibaya vingine vya kurithisha. Kibaya...
  11. I

    Nini kinafanya Sekta ya Ngozi nchini ishindwe kukua kulinganisha na nyingine?

    Je, Wewe unafahamu Nini kuhusu sekta ya NGOZI nchini hapa Tanzania? Na nichangamoto gani zinaifanya ishidwe kukua hapa nchini? Ukilinganisha na nchi zingine kama Ethiopia n.k?
  12. Trainee

    Tatizo la kuchunika ngozi husababishwa na nini?

    Mtoto anachunika ngozi mikononi na miguuni. Inaanza kama kidoti fulani kisha ukivuta ile sehemu ndo inatoka kipande kikubwa cha ngozi . Hahisi maumivu yoyote na hospital nimeenda wakasema ni kawaida tu wakanipa dawa za minyoo
  13. E

    Naumwa wakuu, nina fangasi sehemu za Siri

    Ndugu zangu naumwa fangasi kwa muda sasa ila pia sehemu ya kichwa cha uume kumekuwa kama na Ile ngozi iliyopo kwenye korodani. Sasa selewiii tiba ni nini.
  14. Z

    INAUZWA Nauza viatu vya ngozi (Sandals) vya kiume na kike kwa bei nafuu.

    Viatu ni vizuri na imara sana. Bei: 12,000 tu Napatikana Dsm Segerea mwisho. Mawasiliano: 0744252541 Ukihitaji huduma ya delivery utaletewa kwa gharama zako. Mikoani pia utatumiwa kwa gharama zako.
  15. RASHID ELLY KENAN

    SoC04 JamiiForums ijitanue katika utetezi wa watu wenye uhitaji maalum

    Jamii Forums ni jukwaa na chombo cha kupasha habari kilicho nchini Tanzania ambacho kipo ndani ya sera ya habari na mawasiliano nchini. Habari na mawasiliano ni taasisi huru kimazungumzo lakini kuna sheria kandamizi katika chombo cha habari katika utoaji wa taarifa. Jamii Forums miaka sita...
  16. R

    Ngozi ya mtoto ya vidole kukakama

    Hello wataalamu ,ngozi ya mtoto ya vidole vya mikono vimekakama na kumenyeka ngozi nimpake dawa gani wataalamu
  17. DeMostAdmired

    Kwanini watu weusi tunathamini sana wazungu kuliko tunavyothaminiana?

    Hiii! Kuna siku nilipanda bajaji from town kwenda home. Kutoka kituo nilichopandia abiria tulipanda ile Bajaj tulikuwa watu mimi na mama mmoja akiwa na mtoto wake mdogo range kama 2-3 years. Kwa uelekeo tulokuwa tunaenda na jinsi nilivyomsoma yule mama ni kama alikuwa anampeleka chalii hosii...
  18. U

    Je, supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya Mbagala ina usalama kiafya?

    Je supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya mbagala inausalama kiafya Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Supu ya ngozi imayochanganywa na mapupu & bandama ambayo hupelekea rangi yake kuwa nyeusi ni maarufu maeneo tajwa Wadau je kiafya kuna Usalama? Karibuni tujadili
  19. Mwizukulu mgikuru

    Wale tuliopewa muonekano na ngozi nzuri hata kama tuna changamoto za kimaisha tukutane hapa

    Kuna wale ambao mungu ametupendelea hata tukikaa jela miezi kadhaa huwa hatuchuji, tunafanyiwa figisu za hapa na pale ili tuharibikiwe na kufubaa lakini bado tunazidi kung'aa tu na maadui zetu wakituona huwa wanazidi kuchanganyikiwa zaidi tukutane hapa 😊
Back
Top Bottom